MR MAJANGA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 3,526
- 10,820
🤣🤣🤣🤣🤣Hizi akili kweli kuna watu wamechanganyikiwa na maisha
Asante Putin amepata cha kuwasimulia watu wake
Kila siku anaelekea kushindwa, mara atakufa na bla blah kibao... acheni utabiri angalieni uhalisia.Urusi wana mapokeo ya kitaifa: akishindwa vitani, mtawala anaondolewa baada ya muda mfupi. Warusi wanatunza mapokeo ya kitaifa sana!
Na putin anaelekea kushindwa, hii ni dhahiri. Kyiv alipaswa kukimbua, Donbas anakwama . . . . manowari zake zinapungua, roketi zake pia . . .
Sijaongea kuhusu kufa kwake... Kwa nini niache kutabiri? Wenzetu marafiki wa Putin wanatabiri kila siku mara nyapi, wanatuambia maono yao...Kila siku anaelekea kushindwa, mara atakufa na bla blah kibao... acheni utabiri angalieni uhalisia.
Sioni ni pigo kubwa. Itaharakisha jitihada za nchi za Ulaya kuachana na gesi ya Urusi. Labda itasaidia kulainisha kiburi cha Hungaria.....Naona pigo la mwisho kwa URUSI .Ukraine yakataa bomba la gesi na mafuta inalopita Ukraine wanaliondoa .Ikumbukwe gesi na mafuta yanayoenda Europe bomba linapita Ukraine. Sasa Putin aendelee na vita mwenzake hamnazo kameambia Putin akangoe bomba lake apitishe bahatini au kwenye ndege zake au vifaru.
Ilikuwaje mkuu sijaipata updateKichapo alichopata ukraine baada ya kujaribu kukikomboa kisiwa cha snake kilikuwa cha aina yak!e
Hawanaga akili wao WarubuzaSielewi. Habari ya mwisho kuhusu Snake Island ni shambulio la ndegevita 2 za Ukraine zilizoshambulia kituo cha Warusi huko (ajabu kwamba waliweza kufika mbali vile na ajabu kwamba Warusi hawana ulinzi huko).
Hii Habari ukiwa unaisoma huku upo karibu na bar unaweza ukapark pembeni ujipongeze walau kwa mbili Tatu ndipo uendelee na safariHabari nazozipenda mimi hizi, yaani nasoma huku nasisimkwa na machozi ya furaha yakinidondoka.
Damn!!!
Hapo itakuwa total warNaona pigo la mwisho kwa URUSI .Ukraine yakataa bomba la gesi na mafuta inalopita Ukraine wanaliondoa .Ikumbukwe gesi na mafuta yanayoenda Europe bomba linapita Ukraine. Sasa Putin aendelee na vita mwenzake hamnazo kameambia Putin akangoe bomba lake apitishe bahatini au kwenye ndege zake au vifaru.
Mtakuwa Mars nyie kama sio Makoloni madogo madogo ya hao wanaojiita "Dunia"... 😂***** kwa hiyo sisi hatupo duniani
Karibu wanajeshi 26,350 wa Urusi wameuawa, yasema Ukraine
Urusi imepoteza wanajeshi 26,350 tangu ilipoivamia Ukraine tarehe 24 Februari, Wizara ya Ulinzi ya Ukraine ilisema katika sasisho lake la hivi punde.
Ukraine inadai jumla ya hasara iliyopata Urusi ni pamoja na:
Vifaru 1,187
Magari 2,856 ya kivita
Mifumo 528 ya kivita
Mifumo 185 ya kurushia roketi
Mifumo minane ya ulinzi wa anga
Ndege 199
Helikopta 160
Ndege 290 zisizo na rubani
Makombora 94 ya meli
Meli 12 au boti
Magari 1,997 na malori
Vitengo 41 maalum vya vifaa
View attachment 2220563
Hizi taarifa huwa mnazitoa wapi? Wakati watu hapa Odessa hatulaliKaribu wanajeshi 26,350 wa Urusi wameuawa, yasema Ukraine
Urusi imepoteza wanajeshi 26,350 tangu ilipoivamia Ukraine tarehe 24 Februari, Wizara ya Ulinzi ya Ukraine ilisema katika sasisho lake la hivi punde.
Ukraine inadai jumla ya hasara iliyopata Urusi ni pamoja na:
Vifaru 1,187
Magari 2,856 ya kivita
Mifumo 528 ya kivita
Mifumo 185 ya kurushia roketi
Mifumo minane ya ulinzi wa anga
Ndege 199
Helikopta 160
Ndege 290 zisizo na rubani
Makombora 94 ya meli
Meli 12 au boti
Magari 1,997 na malori
Vitengo 41 maalum vya vifaa
View attachment 2220563
Alikiri kupitia wapi? Ukiweka source yako ya info itapendeza sanaPutin mwezi march alikiri kupoteza askar 1,500. Najua hii figure sio ya kweli, na hata hiyo alotoa Ukraine sio ya kweli. Ila ninachofahamu ni hiki, Russia aliingiza zaidi ya askari 150,000 ktk hii operation, walipofika kyiv kikosi kizima kilirudi nyuma kwa kasi ya ajabu mno. Askari 1,500 ni aslimia 1 tu ya kikosi kilichoingia ktk hii operation, sasa asilimia 1 ndo ikufanye urudi nyuma kwa kasi? Hapo ndipo naamini Russia ilipoteza askari wengi saana kiasi ikaona tishio, ikaamua irudi nyuma tu.
Unateseka nini?!Kaka jaribu kusoma unachonakili. Hakuna taarifa ya Uhindi. Gazeti moja la Kihindi linarudia taarifa ya jeshi la Urusi. Je unaelewa tofauti?
Hawa ni BBC, VOA, REUTERS,CNN, DW 🤣🤣Hizi taarifa huwa mnazitoa wapi? Wakati watu hapa Odessa hatulali