Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
Ww uta bilingika una fanya ufanyavyo ila ukweli Marekani alishindwa vita maana walienda kuiangusha serikali ya Talban kwa hoja ya kuwa unadhani ugaidi lakini wameondoka wamewaacha haohao wadhamini wa ugaidi wakiwa madarakani.
kwani Talban wangeamuwa kusalimu amri na kutopigana Marekani angekimbia? alikimbia kwa sababu wanajeshi wake walikuwa wanauawa na silaha zao kuharibiwa na walikuwa wanapata hasara.
Haya ngoja tuachane na Afghanistan vipi kuhusu Vietnam ambapo Marekani alipigana zaidi ya miaka 8 akashindwa kuteka hata kijiji akaishia kupata kipigo cha mbwa koko akakimbia bila hata kuaga.
Wazee wa kazi, kilaza huwa hafundishiki. Maana hii mnayompa ni shule. Msipoteze muda wenu.Huoni kama unajitekenya then unacheka mwenyewe?
When Russia withdraw jeshi lake Kyiv mlizungumza nini? Hamkusema Russia kashindwa kuiteka Kyiv?
Ok so you are admitting vita ilikuwa bado inaendelea? So you are admitting that kama wasingetoka hivi sasa wangekuwa wanatafta mwaka wa 21 wakipigana na kikosi cha wa Taliban?
Yet you are admitting that, kama ukitoka hujamaliza ulichokusudia that means umeshindwa? If not kwanini walitoka kama hawajamaliza walichokwenda kukifanya Afghanistan?
If Russia today announce a withdrawals ya jeshi lake nchini Ukraine, kwa madai ya kuepusha wanajeshi wa Russia wasiendelee kuuwawa, Can you tell us what that means?
View attachment 2221702 Do you know what even Biden saying when they retreat from Afghanistan?
You tell us they win while themselves saying Afghanistan was a Failure, Hey buddy so who to believe? You or them?
1. How America Failed in Afghanistan
2. US failed in Afghanistan campaign must withdraw forces
3. Coming to terms with Americas undeniable failure in Afghanistan.
So hao wooote wamezungumza uongo, Wewe ndio unazungumza ukweli?
Napenda kujadiliana na watu kwa hoja. But nyie hamna hoja bali ushabiki which are far very far from reality.
Thanks for your time. Let's stop here.
Sijakukimbia mkuu kazi zimebanaNimekuelezea vizuri huko juu lakini umenikimbiaaa
You try hard to make 'United State' looks saint on this, unfortunately are all just your wishful thinking as usual, Maelezo meeeeengi yote out of theme.Amerika ilivamia Afghanistan kulipiza kisasi kwa waliopanga 911 na kuhakikisha shambulizi kama hilo halitokei tena. 20 years later hakuna shambulizi kama hilo limetokea tena na Osama bin Laden na wenzake wameuliwa. Huo ni ushindi mkubwa kwa raia wa amerika, Tanzania na Kenya ambao hawana tena hofu ya kulipuliwa na Al qaeda.
Nakukumbusha kwamba hao unaowatetea walifanya shambulio la kigaidi nchini kwako na Kenya 1998 na kama sio juhudi za Amerika kufanikiwa, wangeendelea kututesa. Chuki zako kwa amerika zisifanye uungane na watu ambao wakikupata popote wanakukata kichwa. Nairobi 1998[emoji116][emoji116]
View attachment 2221733
For 20 years amerika ilikua ikiilinda serikali ya Afghanistan, ikitoa mafunzo na kupigana na Taliban sleeper cells, wakijaribu Ku regroup wanapigwa na vitu vizito. Hii ndio sababu Taliban inayotawala haiwezi kujaribu ule ujinga wa 911. Amerika ilijiondoa baada kuona Taliban sio tena tishio kwao.
Kilichoanzisha vita Libya ni maandamano ya Arab Spring ambayo yenyewe yalianza Tunisia na kusambaa Nchi kiarabu. NATO iliingia wakati UN security Council ilipiga kura kuwe na intervention ya kuzuia raia wasiendelee kuuawa na vikosi vya Gaddafi. Kura zilikua 10 walikubali, 5 hawakupiga na 0 walipinga. Russia na China zenye Veto Power waliabstain kura, the whole freaking world was against Gaddafi.
NATO kwa idhini ya UN wakaweka 'No fly Zone' Libya lakini hawakutuma wanajeshi wa ardhini. Kazi ilikua kulepua military assets za Gaddafi ambazo zina wahangaisha wananchi. Na mwishoe Gaddafi akadakwa na rebels akijificha chini ya mtaro na wakamuua. NATO haikua the main party katika vita hivyo kwa hio lawama zako ziko misguided.
View attachment 2221775View attachment 2221776View attachment 2221777
Waarabu wenzake kina UAE na Qatar walimgeukia Gaddafi wewe mtanzania unaanzaje kumsapoti. Hivi hujui kwamba yeye ndo alimpa silaha Idi Amin wa Uganda awavamie Kagera. Msipokua makini mtasapoti adui zenu kwa chuki kwa Amerika.
Hii picha inanivunjaga mbavu sana aisee.[emoji1][emoji1]View attachment 2221780
Hii dunia utakiwi kuishi kwa stress ndugu yangu.Utashangaa Marekani na Urusi baadaye wakagongeana sisi tunabaki tumenuna .Burudika tu ,mimi nasikitika tu lazima nipambane na hali yangu ya vitu kupanda bei kwa sababu ya vita.Halafu ninyi wapenzi na washabiki wa msemaji mpya wa ikulu ya Marekani ndio mtakuwa waburudishaji
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Another funny fact, Walidai ni Osama alieratibu na kutekeleza shambulio la Sept 11.[emoji1][emoji1]View attachment 2221780
Habari nazozipenda, kama kweli Russia imefanya hii kitu, waambie wamenifurahisha sana mimi Mrusi wa Kibera, neno SHIBE halitakiwi kuwepo kwenye kamusi za Ukraine.Mavuno ya Ukraine - Warusi walianza kuiba nafaka ya Ukraine kutoka ghala katika maeneo waliyovamia.
Mkuu tumpw hint.You try hard to make 'United State' looks saint on this, unfortunately are all just your wishful thinking as usual, Maelezo meeeeengi yote out of theme.
Did I even ask a reason for them to Invade Libya? If not then what forcing you to bring them here?
Ok now get back to a Question. How long did they take to dismantle Gaddafi? Is it 1 day right?
In Taliban too, did I ask about the course or time they spend? Did I state anywhere that I hate America? Ok come on tell us how long did they take there.
Again, reminding you. Theme of the Question is How long did they take. So save your energy, save us a time too. Give a simple answer as short as possible.
State a number whether one day, half a day or an hour and so forth.
Qst.
1. HOW LONG DID NATO took in Libya War
2. HOW LONG DID US/NATO took in Afghanistan War
3. HOW LONG DID US took in Vietnam War
4. HOW LONG DID US took in Iraqi War
Mind you, never ever dare lying to us, we know it, don't change History. Don't change reality, We all know in case of Libya it was about NATO and Gaddafi usitudanganye hawakuwa involved directly.
Jibu maswali kama yalivyo.
Ulivyosema tu 'akili ya jews' nikajua wewe ni mtu design ganiNa Ukraine yupo Zelensky na anampelekea moto putin hatareee na meli kailipua na Kyiev kamfurusha na wenye hela yaan western washampiga vikwazo vya nguvu urusi kabaki analialia tu.
Na urusi anaihara NATO hatareee ndo maana hataki ukraine ijiunge NATO maana anajua hatari yake. So kama manhataan waliiba germany so ni akili ya western hapo inatawala tena ya jews.
We unacheze na nchi kama US ambayo ina kambi za kijeshi nchi mbalimbali inafadhili miradi mingi ya maendeleo duniani. Haya Finland inayo inataka kujiunga NATO......
Bruh you are something else.Jibu si vigumu.
1. Silaha hizi ndogo zilitosha kumaliza jeshi la putin katika kaskazini ya Ukraine. Ukraine in SAM300 chahce, zinatosha ili ndegevita za Urusi zinapaswa kupita chini sana na hapa Javelin zinazipata. Tokeo: jeshi la Anga la Urusi halina nguvu katika vita hii, isipokuwa kwa kurusha roketi kwa mbali.
2. Mifumo tata kama Patriot au ndegevita n.k. huwezi kutumia mara moja. Unahitaji kujifunza na kufanya mazoezi miezi, kwa mifumo tata zaidi miaka. Hii sababu NATO wametafuta silaha za Kirusi zinazopatikana kwenye soko la dunia na katika majeshi ya nchi za NATO kama Poland, Ucheki maana ni silaha zilezile ambazo wanajeshi wa ukraine wanajua tayari: vifaru T 72, SAM . . . .
3. Iskander hadi sasa haikuwa tishio kubwa, maana nguvu ya kombora la kasi kubwa ni kuepukana na mifumo ya kuzuia roketi, lakini hazina uharibifu mkubwa zaidi. Na kwa jumla inaonekana Urusi haina silaha nyingi za aina hiyo, hivyo tumeona mifano michache ya matumizi yake. Pia mfano wa juzi walipotumia makombora hayo Odessa, hawakulenga shabaha za maana bali kubomoa hoteli na supermarket. Mfano wa matumizi hovyo ya silaha hizo ambazo ni ghali. tuone akiba itaishia lini.
Nasubiri anijibu, short and brief like that, If and only if has a gut of doing so.Mkuu tumpw hint.
1. 7 Months Libya
2. 20 yrs Afghanistan
3. 19 yrs Vietnam
4. 8 yrs in Iraqi
[emoji23][emoji23][emoji23] Una ukoo na Medvedev mzeeNasubiri anijibu, short and brief like that, If and only if has a gut of doing so.
Kukubali ukweli huo ni kukubali NATO ni wadhaifu zaidi, The largest Coalition ever against weak Opponents without support wanahaha kupata ushindi.
Unfortunately its a kind of truth, that its too big for him to chew.
Labda watu wanajipigia pesa kwa kisingizio cha vitaWazee wa Michongo...
View attachment 2221834
On social networks, people are perplexed where the billions of aid from the EU and the United States are going, when Ukrainian servicemen have to buy everything for their own money.
Nazani kauli nzuri sio labda, but ndivyo.Labda watu wanajipigia pesa kwa kisingizio cha vita
For you to understand the end you must know the beginning. Kazi ya NATO Libya ilikua strictly ku enforce ' No fly Zone' na sio kumuua Gaddafi. In other words kuhakikisha ndege za Gaddafi haziruki na zikiruka zinaangushwa, hizo ndege ndo ziliwatesa raia wa Libya. NATO haikua the main belligerent katika hivyo vita na lengo lilikua Peace Keeping.You try hard to make 'United State' looks saint on this, unfortunately are all just your wishful thinking as usual, Maelezo meeeeengi yote out of theme.
Did I even ask a reason for them to Invade Libya? If not then what forcing you to bring them here?
Ok now get back to a Question. How long did they take to dismantle Gaddafi? Is it 1 day right?
Hapa Naona akili zimekuingia kwamba Amerika ilikua sahihi kuivamia Afghanistan na sio kama Russia kumuonea Ukraine.In Taliban too, did I ask about the course or time they spend? Did I state anywhere that I hate America? Ok come on tell us how long did they take there.
1. Invalid question, NATO wasn't the main belligerent, otherwise Russia inge veto hiyo UN resolution. Instead rephrase swali lako liwe 'How long did Libyan Rebels took to overthrow Gaddafi'Again, reminding you. Theme of the Question is How long did they take. So save your energy, save us a time too. Give a simple answer as short as possible.
State a number whether one day, half a day or an hour and so forth.
Qst.
1. HOW LONG DID NATO took in Libya War
2. HOW LONG DID US/NATO took in Afghanistan War
3. HOW LONG DID US took in Vietnam War
4. HOW LONG DID US took in Iraqi War
Amerika kabla haijaingia katika vita lazima ifanye formal declaration. Ndo huwa nashangaa mtu akiniambia USA ilipigwa na Somalia kwa sababu ya movie ya 'black hawk down'.Mind you, never ever dare lying to us, we know it, don't change History. Don't change reality, We all know in case of Libya it was about NATO and Gaddafi usitudanganye hawakuwa involved directly.
Jibu maswali kama yalivyo.
Kufananisha US invasion in Afghanistan vs Russian operation in Ukraine kunaonesha jinsi gani ujuzi wako kwenye haya mambo ulivyo, no offense!Et iliwachukua miaka 20 hahah,
Sasa miaka 20 nyuma Taliban alitolewa kwenye madaraka, kwahyo kwa hesababu rahisi haikuchukua hata mwaka US ku take over[emoji16]
Kaja regain power mwaka jana after us ku remove their troops,
Sasa tusubiri tuone Russia atachukua muda gani! View attachment 2221514