Hata hapo kasema Russia inasonga mbele maeneo mengine Donestic . Hawa wanazungumzia vi battle Russia ana seize miji na kuweka utawala wa kiserekali na misaada ya kibinadamu yupo serious.Ukraine wanapigana GuerrilaMuda ni rafiki ngoja tuwe wapole tu.. maana hapa tunashabikia vitu vidogo.... ni sawa na msemo unaosema " mnatufunga lakini chenga twawala" hiyo ukraine inazidi kuzama, jamaa Putin yuko serious sana tofauti na tynavyomsikia kwenye vyombo vya habari vya magharibi.. hiyo ukraine anazidi kuikata na sidhani kama ardhi aliyochuku atairudisha nafikiri tunakumbuka krimea.. angalia hiyo ramani.. miji yote ya kherson, Morioupa, donets, luhansiki yote kachukua.. sasahivi odesa bado masaa tu maana bandari yake kaifunga kabisa....
View attachment 2222951
Hakuna anayejua wanajeshi wangapi waliuawa kwenye madaraja hayo. Ila kutokana na picha nilizoona ni dhahiri battle group hiyo iliharibika, idadi ya vifaru na magari ni kubwa mno.Aseeee ..... Nyie ni wakutibiwa huo ugonjwa wa akili ... Hivi unakifahamu watu 1000!!?? Tena wanajeshi walundikane sehemu Moja ...hata mgambo hawawezi fanya huo upumbafu....
Nikweli walishambuliwa lakini si kwa kiwango hicho mnacho sema nyinyi, maana hata kwenye taarifa Ukraine ilisema imefanikiwa kuizuia msafara wa Urusi kuvuka mto kwa kuharibu daraja na kuharibu baadhi ya vifaa kwenye msafara huo ina maana sio vyote viliharibiwa ni baadhi ila hata hivyo bado ni hasara kubwa mno.Vifaru ni kati ya 70-100, angalia post#39,986
Una uhakika? Zipo za kutosha kutoka NATONa hapo Ukraine hajapewa MRLS
Warusi wa pugu kajiiungeni wanawacheki tuuuu na warusi wa Chanika ZingiziwaHuyu Putin kwisha habari yake,alivyowabana warusi sasa Mwendo ni sabotage tu..
Ila mwandishi hata source link tupate uhondo kamili,wasije warusi wa Kwa bibi nyau wakanizodoa [emoji1787][emoji1787]
HahahahaPoint ashajua mzee kashachoka judo anataka ambomoe ngumi huyu Zele bwana
Mkiona idadi haieleweki mnajifanya hakuna anayejua idadi, enhe hawa BBC wameitoa wapiHakuna anayejua wanajeshi wangapi waliuawa kwenye madaraja hayo. Ila kutokana na picha nilizoona ni dhahiri battle group hiyo iliharibika, idadi ya vifaru na magari ni kubwa mno.
Kuhusu makosa ya kijinga - hapo Urusi imeshaleta mifano kibao.
Ninahisi yako pia upande wa Ukraine , ila wako wazuri zaidi kutangaza mafanikio yao.
Unacho sema ni sawa kabisa ila hapo hakuna mazingira ya kuuawa wanajeshi 1000.Ukweli niupi sasa wewe ulio nao, unakuwa brain washed ni ushabiki wa ajabu, unafikili Russia hawezi kupeteza kwenye battle. Foolish kabisa, usa mwenyewe anaweza kuingia kwenye battle na akachapwa vizuri tu. Kinachoshinda vita ni courage ya kupambana na mbinu bora za kumdhibiti adui. Russia sio malaika anachapwa vizuri kama akiingia vibaya.
hujasoma vzr habari kuhusu hilo tukio pili hujui hata namna attacks zinavyokuwa pia hujui convoy zinavyokuwaKuna mtu anajaribu kucheza na akili za watu, hilo tukio linaleta maswali mengi kuliko majibu!
Kwanza, hao wanajeshi walipanda wote kwenye hilo pantoni kwa wakati mmoja pamoja na vifaru na magari yao na vifaa vingine,!?
Pili,hawakuwa na ulinzi wowote huko Urusi wanapotoka Wala Ukraine wanapokwenda?
Tatu, na Kama wengi walijirusha mtoni na kufa maji inaama wengi wao hawakuweza kuogelea au huo mto una Mamba wengi,Viboko, Papa au nyangumi waliowameza!?
Mambo Kama hayo huwatokea born town wanapokwenda picnic na wanafunzi wanapokwenda kutalii na sikwawanajeshi waliopo vitani...!!!
Idadi iliyotajwa ni kubwa Sana haikubaliki.
Artillery haiwezi KUUA askari 1000 kama hakukuwa na askari wa miguu wa UKRAINE kusafisha Na sidhani askari wangevuka daraja la pantoon wakiwa kwenye trucks na extended formation Daraja huvukwa single file.Ila hii ambush waliyofanya Ukraine ni hatari,siku mbili zilizopita drone za Ukraine ziligundua uwepo wa hilo pantoon bridge la Urusi wakijiandaa kupitisha vifaa vya kivita Kama vifaru,magari ya mizinga,na vifaa vingine vya kijeshi jamaa wakaacha warusi wajae waanze kuvuka wakashambulia Kwa artillery karibu vifaa vyote vimeharibiwa
Baada ya mashambulizi
Magari takribani 73 pamoja na vifaru vimeharibiwa vibaya na artillery za Ukraine.
Kweli Marekani hakukosea alovyosema sasa NI mwendo wa kupigana mizinga tu,hizi Howitzer alizotuma US kule Ukraine zitawatesa Sana warusi
Sidhani Kama kuna kuchezeana akili hapo.Kuna mtu anajaribu kucheza na akili za watu, hilo tukio linaleta maswali mengi kuliko majibu!
Kwanza, hao wanajeshi walipanda wote kwenye hilo pantoni kwa wakati mmoja pamoja na vifaru na magari yao na vifaa vingine,!?
Pili,hawakuwa na ulinzi wowote huko Urusi wanapotoka Wala Ukraine wanapokwenda?
Tatu, na Kama wengi walijirusha mtoni na kufa maji inaama wengi wao hawakuweza kuogelea au huo mto una Mamba wengi,Viboko, Papa au nyangumi waliowameza!?
Mambo Kama hayo huwatokea born town wanapokwenda picnic na wanafunzi wanapokwenda kutalii na sikwawanajeshi waliopo vitani...!!!
Idadi iliyotajwa ni kubwa Sana haikubaliki.
MAREKANI YAKUBALI UNYONGE KWA RUSSIA.Unacho sema ni sawa kabisa ila hapo hakuna mazingira ya kuuawa wanajeshi 1000.
Hata jenerali mmoja wa Uingeleza alikuwa anaulizwa kuhusu hiyo ambush akasema hilo shambulizi limesababisha hasara kwa Urusi lakini kuhusu kuuawa kwa wanajeshi 1000 ni uongo.
Artillery ni vifaru na mizinga huwezi kuua 1000 .Askari hawatembei kama nyumbu hasa maeneo kama hayo na hawavuki wakiwa kwenye trucks . Ni single file na kati ya mtu na mtu ni mita saba au kumi . Eneo lililoshambuliwa si zaidi ya mita 100Unacho sema ni sawa kabisa ila hapo hakuna mazingira ya kuuawa wanajeshi 1000.
Hata jenerali mmoja wa Uingeleza alikuwa anaulizwa kuhusu hiyo ambush akasema hilo shambulizi limesababisha hasara kwa Urusi lakini kuhusu kuuawa kwa wanajeshi 1000 ni uongo.
Samahani KUNA TANK inachukua hata askari 10?? Achilia mbali hao 72 vp Gari linaweza beba hao watu kwa pamoja.Vifaru 14 plus wanajeshi 1000 darajani.
An avarage of 72 personnel per Tank,
Duniani Nchi pekee yenye kifaru chenye uwezo wa kubeba wanajeshi 72 kinapatikana Russia according to Western media.
Wow! We are astonished with such an advancement. Ukraine is winning, hail to "Azov", Russia is loosing so much.
Ukiwa na mtindio wa Ubongo hizi taarifa zinafurahisha sana na Ni za kuaminika mno sio Propaganda.
Hata basi la hivyo halipoHicho kifaru au basi [emoji23]
Hakuna huo ujinga mzee.Vifaru ni kati ya 70-100, angalia post#39,986
Kuhusu mizinga hii ya M777 155mm: imekuja pamoja na akiba kubwa ya grenedi za GPS. Grenedi za GPS zinaweza kupiga shabaha 90-100%, kama majiranukta yake yanajulikana.Nilizungumza kuhusu hizi M777s hotwizers zenye uwezo wa kupiga 40 kms away Sasa kazi yake mmeiona. Yani kwa silaha za kuazima Ukraine wanamjambisha Putin, je wakipigana na USA baba lao 🤔 View attachment 2223541View attachment 2223542
Ukiwa na mtindio wa ubongo, matatizo kwenye uwezo wa kufikiri basi hizo taarifa zinafurahisha sana na ni za kuaminika sana sio Propaganda.Samahani KUNA TANK inachukua hata askari 10?? Achilia mbali hao 72 vp Gari linaweza beba hao watu kwa pamoja.