Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Aiseee..
Utagaragazwa na wa russia wa buza muda si mrefu..mpaka utakimbia siredi yako....
Ngoja waamke watakuja hapa kama viwavi jeshi,halafu ni wa taaalamu wa comments ndefu.

Wataflood huu uzi na non stop comments,wale ni wa taalamu wa vita ya mdomoni hapa Jamvini [emoji3]
 
Hakuna huo mkataba.
 
Nyinyi ndio mnaufanya huu uzi upoteze maana ,maana mmejaa utoto wakati ni mamtu mazima wenye familia.
Yaani wewe unaona mauaji yanayoendelea huko ndio utu uzima ila kumtaja mtu kwa namna alivyo ndio utoto? unaweza elezea nimeonyesha utoto gani?
 
Utamaduni ni zaidi ya lugha.
Rap, RnB, Country Music, Pop, pizza, coca cola na Pepsi, Basketball, movies, mfumo wa Urais vyote ni utamaduni wa Marekani.
Msaidie ufaransa wana lugha yao, uk, hispania, urusi kwa uchache atutajie lugha ya us kwa kifupi ni taifa lisilo na utamaduni
 
Wewe Mrusi wa Buza unayeshindia miguu ya kuku huwezi kuzishauri chochote Finland na Sweden nchi za ulimwengu wa kwanza ambazo zinakupa hadi misaada.

Raia wa hizo nchi wanazijua vizuri nchi zao na majirani wao kuliko wewe unavyojua mtaa wa pili jirani yako.
 
Finland inataka kujiunga na NATO, nayo itavamiwa na Urusi kama Ukraine??
 
Reactions: Tsh
It's amazing knowing the side that is winning wanashindwa kukomboa au tuseme kusaidia wanajeshi wao to the extent wake wa wanajeshi hao wanawaombea msaada waume zao nje ya nchi yao, oh wait, kwa Nchi rafiki wa adui yao.


Relatives of Ukrainian forces holed-up in Mariupol steel plant ask China for help.

🔹The relatives of the Ukrainian troops, who have holed up inside a sprawling steel plant in the southeastern Ukrainian port city of Mariupol, have pleaded with China to use "its influence on Russia" to let the encircled troops leave the complex.
 
GDP ya Russia ilikuwa kiasi gani kabla ya vita na sasa iko kiasi gani?

Sarafu ina mahusiano gani na GDP?
Walitegemea GDP ingeshuka maana walitegemea vikwazo vinge sababisha sarafu yake kuporomoka lakini matokeo yamekuwa tofauti kabisa.

Nadhani hata nchi za magharibi zinashangazwa na uimara wa sarafu ya Urusi.
 
Urusi kupiga Mariupol ni sawa na kuendelea kupiga Mochwari kisha kujisifu umeua.

Ukraine wanakomboa mji mmoja baada ya mwingine na huko Mariupol itafika zamu yake ya kukombolewa.

Kharkiv imekombolewa tayari
Kwani kuna miji ambayo RUSSIA aliiteka huko UKRAINE!!?
Hizo habari mbna hatujawahi kuziona wala kuzisikia
Maana kila leo tunasikia RF wanapelekewa moto tuu
Nyie watu bana[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…