STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,601
Hii inshu ingetokea MOSCOWFrench President Emmanuel Macron has accepted Jean Castex's resignation as prime minister, the Elysee Palace has announced.
According to French media, the new Prime Minister of France will appoint Elizabeth Born, who holds the post of Minister of Labor.View attachment 2229077
US katoka wap tena ,bang hazijawah mwacha mtu salamaHii ni operation,wewe hayo ya vita umetoa wapi?
Pili,hivi kilikuwa na makubaliano kwamba operation hii zitatumika risasi tu?
Ingekuwa hivyo,US angekuwa anachapika kila anakokwenda!Military battle Kwa Sasa ni machines,mwenye nazo ndio mwenye nguvu!
Yuko kimya? Wakati Kila siku anayishia atapiga nuclear.Huyu naye haishi kulialia?Mbona mwenzake Yuko kimya anakimbiza mwizi kimya kimya?Vita ni mbinu,sasa unampangia mpigane Kwa kurushiana risasi na mabomu ya mkono wakati wewe umechimba mashimo na kujificha ukisubiri asogee ndio umshambulie Kwa kushtukiza!
Maskini UKRAINE [emoji23][emoji23][emoji23]The European Union will help Ukraine empty its grain stores by taking it to Europe, including by sea, to make room for a new crop, Borrell said.
View attachment 2229107
Mkuu vita ya juu unapaswa kujua adui yako hatakoma mpaka umshukie chini ndio utamaliza mchezo sasa ni wazi russia amefeli kuliko kufeli, wacha Finland na Sweden wajiunge Nato putini azidi kusononekaInavyoonekana mjamaa alikuwa amejipanga za chini, sasa kabadilishiwa za juu na hawezi kukinga ngumi nzito. Anafundishwa adabu ipasavho
Hii ni kufa kufaanaMaskini UKRAINE [emoji23][emoji23][emoji23]
hawa majamaa kumbe wajinga hv eeeeh!!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika MKUUUzuri ni kwamba ,Dunia inafuatilia sakata hili za Ukraine na Urusi kwa utulivu mkubwa sana,hatua kwa hatua.
Dunia inafuatilia vizuri sana juu askari hao waliokua wamejichimbia ndani ya handaki.
Unajua kwa Nini jambo hilo limevutia wengi?
Sababu ni moja kubwa.
Kwa mara nyingi,USA na UK na memba wengine baadhi wa NATO waliwahi kufanya baadhi ya Operation za kukomboa watu wao,Tena kwa kutumia Highly trained Special Forces na wakafanikiwa.
Mfano ni kama Ile ya Israel dhidi ya Uganda.maarufu kama 90 minute s in Entebe.
Na nyingine London,Na Ile iliyosifiwa sana ya kumuua Osama bin Laden.
Sasa watu wakawa wanasikilizia kuona je Hawa umoja wa nchi kubwa kabisa hapa duniani watafanya uokoaji dhidi ya Urusi kama walivyofanya huko awali?
Je Urusi itakua dhaifu kiasi hicho Cha vijiwanajeshi vingine kuja kuokoa watu wao mikononi mwao?
Hapa ndipo palipoifanya Dunia ifuatilie kwa makini sana sakata hili.
Na kwa halii hii,hata BBC wadanganye vipi Dunia haiwaelewi.wanajua abc zote za wale askari waliojificha shimoni.
Amesemaja mama Julian?Mkuu weka BBC world news,USA wanavuliwa nguo huko na mke wa Julian Assange
Tafuta kipindi Cha hard talk,mgeni alikuwa Mrs Julian!Amesemaja mama Julian?
Huyu Mwamba aise[emoji635][emoji635][emoji119]
View attachment 2229305