Urraaaah 🇷🇺🇷🇺🤣🤣All Intelligences from top Agencies Mi6, Mossad, CIA + Pentagon and Other 30 Members of NATO working hand in hand with Ukrainan SBU bado hawafui dafu mbele ya Russia.
Jeshi linazungukwa, Media zinasema Russia is too weak 🤣
Hola hola My People, asiyezinduka mwaka huu hatozinduka daima.
Hii Pro NATO atakuwa kaicopy kimyakimya kwa matumizi yake ya baadae kwenye vijiwe vya kahawa.Rafiki zetu tunawakumbusha mahaba yakizidi yanawafanya mnakuwa wapumbafu.
Unaelewa maana ya Sonic kweli? Sonic ni Sound sio mwanga kijana, sehem ya kwanza hiyo ushafail. Ila ngoja tukuelimishe, Hypersonic Missile ni Kombora lenye speed kubwa kuliko speed ya sauti.
Hilo mosi, Pili Em tueleze Sound ina speed kuliko mwanga? Unaijua speed ya light' wewe? Ukubwa wa Speed ya mwanga uizidishe mara 5 kweli? Mna akili gani nyie wenzetu [emoji23]
Speed ya mwanga ni 300,000KM per Second, ukisema Mara 5 zaidi ya hiyo speed maana ake ni 1,500,000KM per second, Umesoma Physics wewe?
Boy Hakuna known object hadi leo hii inaeza safiri kwa speed ya mwanga ya 300,000KM per second seuze mara 5 yake [emoji23]... ile ukisikia ati "Faster than light" elewa kua ni msemo kama misemo mingine.
Unajua the longest distance between two point kwenye hii dunia ni kiasi gani? Bila shaka ungeijua usingetuletea hizi pumba ulizozileta.
Ngoja nikupe mfano, kutoka Moscow to Washington ni 7,816KM... kwa hiyo speed unayotudanganya kwayo maana ake hilo kombora likipigwa linaweza tembea toka point of detonation umbali wa Washington hadi Moscow Mara 192 ndani ya sekunde 1. Ata chizi fresh ukimwambia hakubali.
Eeeeh huyo ndio Pro NATO kama Pro NATO...
Kudanganya danganyeni lakini walau muongope karibu kiasi kwenye uhalisia. Mnaboa sana m@7ae...
em nieleimishe hiz expulsion zina adhari kias gan kwa nchi husika ? nsona tu huyu kafukuza huyu nae kufukuzaThe Italian ambassador, who was called to announce the return expulsion of 24 employees of the department, left the Russian Foreign Ministry.
Italy asked 30 Russian diplomats to leave in April, allegedly because of "national security" issues.
Earlier today, Russia has already announced the retaliatory expulsion of 27 employees of the Spanish diplomatic mission and the status of persona non grata for 34 French diplomats.
View attachment 2229799
Waambie Vijana NATO watuletee picha ya biden [emoji28][emoji28]
Hana huo ubavu kwasasa#Breaking #Urgent #Russia #Ukraine #NATO #natobeitritt #Finland
Russian Foreign Ministry spokeswoman Maria Zakharova said that the Russian response to Finland's decision to join NATO "would come as a surprise," but the measures would be military.
Ninawamiliki sihitaji kununua.Wewe unauwezo wa kununuq ng'ombe kwa ajili ya ushabiki au kwa kula sikukuu?
😂😂😂😂Russia hawazitumii hizi, wakizidaka wanazisafirisha Moscow, Russia anazo zake kidogo nyembamba zaidi ya hizi ila moto wake balaaa, nyingi sana wanazitumia wale Jamhuri ya watu wa Chechnya ndio wanapigana sana vita ya mitaani, Jeshi la Moscow mara nyingi anatumi magari maalum jamii ya vifaru vyenye matairi ya pira magari hayo yana risasi kama kidole cha mamba mpevu, ndio anayoingia nayo street, risasi ikipiga ukutani lazima ichane na effects zitaonekana
Russia hazitumii hizi coz ya security, yaani hawaziamini wanahisi kama vile ni toys tu,
Ndio wanazipeleka Moscow kukaguliwa vizuri si unajua wenzetu Security mwanzo kuliko chengine
Pia Russia hana shida ya Silaha especially kutoka Nato maana wao ni taifa kubwa na wauzaji wakubwa wa silaha, pengineeeeee baadae sana baada ya uchunguzi wanaweza kutumia
uko sahihi kabisaIla hadi exchange ifanyike mengi yatatokea, na inaonekana kuna Warusi wengi wako kifungoni, maana Ukraine isingekubali exchange kama haina wajeda wengi wa Urusi
Muende na wenyewe kabisa, msiishie kutuma "toys" tu.Tunatuma mengine tena
Ukiangalia njia pekee ya marekani isianguke ni kujaribu Karata yake ya mwisho ya kamali kuingia UkraineHii nakuja na uzi wake soon, kuna mpango huo marekani kuongia mazima ila nchi za ulaya zimegoma
Tuwapeni darasa NATOVijana wanakurupuka na kuandika vitu hata wasivyoelewa!Hawajui hata physics!
Speed ya mwanga ni 3*10^8 m/s,au 1,080,000,000km/hr!
Sasa tuseme mbu,ana uzito wa approximately 5 mg sawa na 5/10000000 kg!
So tukisema momentum,kama mbu atasafiri Kwa speed ya light itakuwa MV,yaani Mass ×Velocity,ambayo utapata 1080km/kghr!
So momentum ya mbu akitembea Kwa speed ya light ni 1080 units!
Tuje Kwa binadamu mwenye kg 108,akiwa anakimbiza Kwa 10km/hr,Momentum yake ni 1080 units!
Hii maana yake nini,kwamba binadamu mwenye uzito wa 108kg akiwa anakimbia Kwa speed ya 10km/hr akakutana na mbu anayetembea Kwa speed ya mwanga basi on impact binadamu atasimamishwa na mbu(will be brought to rest)!
Is that possible?Sijui huyo jamaa atanielewa logic yangu!
Hapo nimetolea mfano wa mbu Ili achukue tu kitu chenye size ndogo kama hiyo,sasa imagine Kwa kombora lenye significant weight!Hiyo momentum yake itakuwaje?
Mmesahau mlivyokuwa mnawatwanga risasi. Mtawatoa wapi wanajeshi wa Russia mliowateka?.uko sahihi kabisa
Of the upcoming $40 billion aid package, $900 million is to be given to “qualified” organizations and NGOs for wraparound services, housing and medical services, the congresswoman said, adding that these organizations will be “eligible for any help the US government can give them.”Our tax dollars are just like one big slush fund for criminal operations and it needs to end.
Greene is not the only one concerned about the transparency of the US spending when it comes to aid for Ukraine. Last week, a quick vote on the $40 billion Ukraine aid package bill was blocked by Republican Senator Rand Paul from Kentucky. He demanded a special inspector general be appointed to monitor how the massive aid package is spent.It is such a hypocrisy. It is not about saving lives but it certainly is about Ukraine.
Kila siku 🤣🤣🤣🤣🤣The sixth package of EU anti-Russian sanctions has been blocked, European Commissioner Gentiloni said.
View attachment 2229783
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimekuta nacheka sanaa sijui kwaniniHi ndio habari napenda masikio kusikia
Imechukua miaka 8 toka 2014 hadi leo kunusa harufu ya Money laundering Ukraine? Hawako serious hawa.US aid to Ukraine looks like money laundering scheme: Congresswoman
American aid to Kiev goes to NGOs run by “friends and families” of US politicians, Representative Marjorie Taylor Greene claims
FILE PHOTO. © Global Look Press / www.imago-images.de
The financial support America provides to Ukraine looks very much “like money laundering schemes,” Representative Marjorie Taylor Greene (R-GA) has told ‘The Truth With Lisa Boothe’ podcast on Monday. The money supposedly destined for Ukrainians ends up in the pockets of “non-profits and NGOs” that are often run by people close to the politicians in Washington, Greene has claimed.
“They want to get $40 billion to Ukraine and you have these $40 billion on top of the money that have already been given. That brings it to $53 billion. That is over two thirds of the State Department’s entire budget for the year,” the congresswoman said, referring to the latest aid package that is currently going through the US Senate.
According to Greene, the US officials are doing this to eventually fund the NGOs operated by “their families and friends.” “It is basically like money laundering schemes,” she said.
The congresswoman believes these funds should be spent to deal with issues inside the US instead, including homelessness or human trafficking, which, according to Greene, have reached “record-high” levels.
Of the upcoming $40 billion aid package, $900 million is to be given to “qualified” organizations and NGOs for wraparound services, housing and medical services, the congresswoman said, adding that these organizations will be “eligible for any help the US government can give them.”
READ MORE
US Republicans bicker over Ukraine ‘proxy war’ cash
Washington also plans to provide $150 million for global agriculture and food programs at a time when US farmers are “on the verge of going out of business,” Greene said, adding that she has talked to the farmers in her district over the past week and found out they had been “hurt so badly by inflation and high fuel costs, chemicals and fertilizer costs… they are not breaking even.”
The congresswoman has also accused the US of being hypocritical about its alleged desire to “help the Ukrainian people.” Washington is pouring money into Ukraine but is “totally ignoring” other conflicts around the world, she said, adding that “Ethiopia has a civil war right now, with thousands of people killed and millions displaced,” but the US pays little attention to this fact.
Greene is not the only one concerned about the transparency of the US spending when it comes to aid for Ukraine. Last week, a quick vote on the $40 billion Ukraine aid package bill was blocked by Republican Senator Rand Paul from Kentucky. He demanded a special inspector general be appointed to monitor how the massive aid package is spent.
READ MORE
US prioritizes arming Ukraine over Covid aid
Paul insisted that his proposal be added to the bill, which would require that the revised legislation go back to the House for another vote after Senate approval. He noted that the latest package would bring total US aid to Ukraine to $60 billion since the conflict began in February, nearly as much as Russia earmarks annually for its entire defense budget. The Senator also argued that America would have to increase its debt and worsen its inflation crisis to make the aid available to Kiev.
Greene herself was among the 57 Republican representatives who voted twice against sending financial aid to Ukraine during its conflict. Both aid packages, however, received overwhelming support in the House and were passed 368-57.
On Saturday, US Senate Minority Leader Mitch McConnell (R-KY) also assured Ukrainian President Volodymyr Zelensky of the US support during his visit to Kiev. He also vowed to “get the job done” by passing the aid package bill.
MKUU ule uzi haukua huu nahaukua na wachangiaji wengi ila nautafta siuptiTupe kaka kwa faida ya Pro NATO