Mwanamkiwi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 2,023
- 2,402
Nadhani hapa ugumu mmoja wakati wa kumaliza vita. Kama Putin bado yupo, watatafuta lugha inayoepukana dhana eti alishindwa.Za Russian pia waziweke chini ya maazimio pia
Hivi hichi kiwanda kilikuwa na wanajeshi wangapi??, Mbona kila siku wanajisalimisha tena Kwa wingi?Ki ulaini!! Wanaendelea kujisalimisha.
View attachment 2230316
Nilikuwa naongea na jamaa akaniambia Vita ya Mrusi ni balaa, akikukosa wewe anapiga majengo, kuku, mbuzi, matofali, mitaro yaani chochote kilicho mbele yake...
Sasa ndugu zangu hii ni vita ama panic...
urusi hawana chombo cha habari vyombo vyao vyote wamefunga, ila Ukraine wametuma picha za miili ya wanajeshi wa urusi waliouwawa ili ndugu na jamaa wa Russia waweze kutambua ndugu zao waliofariki ambao Putin amekuwa akificha hatoi taarifa yoyote[emoji1313][emoji1313]View attachment 2230114
Ndoto za mchana hizi. Fin na swid nextNadhani hapa ugumu mmoja wakati wa kumaliza vita. Kama Putin bado yupo, watatafuta lugha inayoepukana dhana eti alishindwa.
Kwa upande mwingine kuna swali la fidia kwa uharibifu uliosababishwa na urusi Ukraine, na hapa sioni njia kukabidhi bilioni hizo tena kwa Urusi maana hazitatosha kufidia uharibifu wote....
Hivi hichi kiwanda kilikuwa na wanajeshi wangapi??, Mbona kila siku wanajisalimisha tena Kwa wingi?
Hii ni kweli mpaka Sasa Putin amepoteza makanali 42 tangu vita dhidi ya UKRAINE vianze[emoji848]
Nightmare for Putin as ANOTHER Russian colonel dead
VLADIMIR PUTIN has suffered yet another devastating blow after he lost his 42nd colonel in his bloody war in Ukraine.www.express.co.uk
Nimejiridhisha kwamba jamaa kweli wanafumua hadi mabomba ya maji taka.Wewe na jamaa yako wote ni bogaz
Aliyesema kuwa wamekufa wanajeshi elfu 27 wa URUSI ndo huyo huyo aliyesema kuwa hakutokuwa na swala la kujisalimisha kwa wanajeshi wa UKRAINE sehemu yoyote ile kwenye ardhi ya UKRAINE.sasa bado tu unamini maneno yake?Kyiv,makao makuu ya nchi,pamoja na mji wa pili Kharkiv, adui kafurushwa,askari zaidi ya elfu 27 wa mvamizi wamefariki na vifaa vingi vya kijeshi kuharibiwa.
Mapambano yanaendelea [emoji848]
Block hiyo takataka hata uwambie nini hawaelewiMwana vita ya maneno mtandaoni ni utoto. You need to change. Ukiendelea kuongea upumbavu I will block you.
Thanks
Aisee...!!! Na waliambiwa mapema wajisalimishe wakaziba masikio!
Haya mkuu ila si wote tumekaa Dar. Wengine Dar tunaisikia redioniNi kiwanda kikubwa sana kwa ulaya. Kina ukubwa wa eneo squal kilometer 11.ukubwa wake kwa mfano utoke airport mpaka kariakoo kwa kila upate ndo unapata ukubwa wa AZOV STAR industry
MKUU samahani huo uzi wa RUSSIA kukimbizwa KHARKIV kama upo naomba unitag maana umenipotea nnashida nao ila samaháni MKUUKyiv,makao makuu ya nchi,pamoja na mji wa pili Kharkiv, adui kafurushwa,askari zaidi ya elfu 27 wa mvamizi wamefariki na vifaa vingi vya kijeshi kuharibiwa.
Mapambano yanaendelea [emoji848]
Mbna MARIUPOL wamekoma!!?Mkuu vita ya juu unapaswa kujua adui yako hatakoma mpaka umshukie chini ndio utamaliza mchezo sasa ni wazi russia amefeli kuliko kufeli, wacha Finland na Sweden wajiunge Nato putini azidi kusononeka
🤣🤣🤣Hiyo "binduki" anayoikagua mbabe Putin akibeba Biden lazima akapigwe Ultrasound kucheki uti wa mgongo.
Daah nyie ma pro RUSSIA akili kubwa mpaka munakeraBado anatokea kilaza mmoja anakwambia Russia inachapika na hakuna lengo hata moja ililo achieve. mara putin hajui hata anachokipigania wala haelewi anataka nini.
Ngoja kwanza nieleze kwa ufupi juu ya hii Zaporozhye plant aliyoishikilia urusi mapema kabisa mwa operation.
Zaporozhye plant ndo nuclear plant kubwa zaidi bara la ulaya iliyo nchini Ukraine yenye jumla ya vinu 6 na kila kinu kinauwezo wa kuhifadhi units megawatts elf3 (3000MWs) Kwahiyo kwa vinu 6 ni 3000×6 = 18000MWs. Kwa lugha rais isiyo ya kimehesabu nikuwa, megawatts zilizopo kwenye hiyo Zaporozhye nuclear plant nisawa na mara tisa ya megawatts zinazotarajiwa kupatikana kwenye ule mradi wa Bwawa la nyerere, yani units 2000MWs. Ujenzi wa hii plant ulijengwa wakati wa usoviet kwa muda wa miaka 6 yani kutoka mwaka 1980 - 1986. na huu mradi ndo tegemeo kuu la chanzo cha nishati nchini Ukraine na nchi baadhi za ulaya. Naomba niishie hapo nisije nikajikuta naanzia uzi ndan ya uzi.
Turudi kwenye operation sasa: Russia kwa kulitambua hilo na umuhimu wa hii plant kwa uchumi na maisha ya Ukraine alianza kulithibiti eneo hilo mapema kabisa mwa operation wakati ambao majeshi ya Ukraine yalikuwa yamerundikana kyiv kulinda mji mkuu yakizani sijui putin anataka kuja kuhutibia Ikulu yao. Baada ya majeshi ya urusi kufanikiwa kuuthibiti mji wa Oblast na kufanikiwa kuratibu shughuli zote za hapo Zaporozhye plant, sasa umefika muda wa kumuonesha zelensky alivyo na akili ndogo juu ya akili kubwa ya putin kwa kumtaka anunue nishati iliyo ndani ya nchi yake tena kwa RUBLE nakama hataki basi aendelee kuishi maisha ya kijima.
Tukiwambia putin ni smart na mzee wa mipango ya muda mfupi na mrefu asie kurupuka wala kuwa na makelele muwe mnaelewa ila kwa akili zenu hizo ndogo nyie Pro-NATO mtahangaika sana kuwa mnamuelewa Putin mapema mpaka msubiri outputs zake ndo muelewe. Ila Pro-Russia wengi wanaelewa anachokifanya Putin na wanaona kabisa endapo The comedian Zelensky akiendelea kukaza fuvu basi Ukraine inaenda kuwa land locked na kugeuzwa kuwa Jimbo la Russia. Leo wataanza kulipia nishati ya vinu vyao kesho wataanza kulipia mafuta kutoka nchini mwao, ni suala la muda tu subirini operation ya Donbas na Odesa ikamilike Ukraine itageuka kuwa jimbo la Urusi na ndo mtakuja kuelewa tena kwanini Russia imeamua kurudisha majeshi yake Donbas.
Zelensky ni juha sana, yani kichwa kinachoogopwa na ma-bichwa zaidi ya 30+ ndo aliamua abattle nacho halafu anategemea kubaki salama, Sasa acha aisome namba ya kiatu mpaka aelewe kwanini shoga wake USA kapeleka vikosi Somalia kupigana na Alshabab nakuachwa yeye na manazi wake wakitembezewa kichapo na Warusi.
RUSSIA[emoji635] SIYO LITHUANIA [emoji1151]
Kilikuwa na askari wasiopunguz 6,000Hivi hichi kiwanda kilikuwa na wanajeshi wangapi??, Mbona kila siku wanajisalimisha tena Kwa wingi?
LIBYA mbali na miaka ishakua mingi sana hapo VENEZUELA !!!??Vipi Libya pesa yao walirejeshewa na share za makampuni yao ya maguta?