Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hiki kitu kinanishangaza sana ,mbona kuna warusi wana ufanano mkubwa sana na japanese ?
Russia ni Multi-ethnic country, ina asili ya watu tofauti tofauti hasa jamii ya middle east kama Turkmen na Asia. Zaidi Japan na Russia ni Majiran wa Pua na Mdomo

Pure Russians ni kama 77% hadi 80% hivi waliobaki wana asili tofauti tofauti. Kama hapa kwetu tulivojaza watanzania wenye asili ya kiarab, warundi, wasomali n.k.
 
Russia haina black tu.
Ila India, Arab China ,Mongol, Japanese, Korean
Wasoviet Hawakujihusisha na utumwa wale, hawakuja kuwachukua babu zetu kwenda kuwatumikisha huko kwao. Weusi wapo ingawa wachache mno ila wapo wa kuhamia either kikazi au kimasomo. Kwa kifupi normal Migrants sio kiutumwa kama Walioko upande flan.
 
Wasoviet Hawakujihusisha na utumwa wale, hawakuja kuwachukua babu zetu kwenda kuwatumikisha huko kwao. Weusi wapo ingawa wachache mno ila wapo wa kuhamia either kikazi au kimasomo. Kwa kifupi normal Migrants sio kiutumwa kama Walioko upande flan.
Ile nchi upande ule dah. Wale jamaa bado maisha sio heri yetu sisi huku. Wamewatengenezea mazingira hawawezi kujinasua labda kipitia Sanaa.
 
Hilo swali sio lake, aliuliza pro NATO huko nyuma.
 
Ila Marekani/NATO wajanja sana kwenye Propaganda. Wanachofanya nikuhakikisha Mafanikio ya operation ya Russia hayapewi attention na Dunia.

Hizi Drama za vikao vya kuziingiza Sweden na Finland NATO na ziara za Viongozi wa hizo nchi kukutana na Biden ndio ZINAPAMBA MEDIA ZOTE na kupewa airtime ya kutosha, na hii imepamba moto zaidi wakati wa tukio la wanajeshi wa Ukraine kujisalimisha kule Mouriopol.

Na laiti tukio la wale askari kujisalimisha kwa wingi ule lingepewa airtime ya kutosha katika media zote lingezidi kuzishushia hadhi NATO/US
 
[emoji91][emoji91][emoji91] Vice-President of the European Commission Timmermans: it turned out that a number of large European gas companies opened accounts with Gazprombank, through which payments made in euros are converted into Russian rubles, this is not normal[emoji91][emoji91][emoji91]
 
Habari ngumu ngumu ka zile hazitakiwi wanataka laini laini ka vifaru vya Russia kubomolewa n.k... Halafu [emoji23] ulimwengu wa sasa wa taarifa kiganjani, taarifa unapata kwa mwenzio sio kusubiri saa flan shirika flan likutangazie. Hadi wale wazee wetu wa amka na 'Popcorn' ah sorry amka Bibishiii washahtuka hawana mda nao tena.
 
Nazani alimanisha, Russian au Nchi nyingine kufukuza Wana Diplomacia (embassy) ina hathari Gani?
Nimekupata, jibu la moja kwa moja sidhani kama lipo. Ila in General athari zake huwa ni kukosekana kwa faida zilizokuwa zikipatikana kupitia balozi hizo hasa upande wa diplomasia na mengineyo.

Ikumbukwe balozi(Embassy) ndio main diplomatic representation kutoka nchi moja hadi nyingine. Vile vile ndio means of communication kati ya nchi ambayo balozi hiyo inatoka kwa nchi ambayo balozi hiyo ipo.
 
Leo raisi Zelensky amesema eneo la Donbas limeharibiwa lote,hamna kitu.Anasema si utani na watu walioko nje wasirudi tena huko. Ameongeza kwa kusema eneo hilo kutokana na uvamizi wa Urusi limekuwa kama jahanamu.
 
Russia kisayansi iko juu ,mmalekani hatii mguu.sema Russia Hana show show za kujitangaza na kujitanua tanua Kama marekani .ISS warussia ndo waliianzisha na kuijenga marekani akaomba nae awe anaitumia wakamkubali .so kisayansi Russia ni mbabe Sana .
Uko sahihi ila wasiojua mambo haya watabisha
 
Kama ni hivyo sasa itakuwaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…