Superpower
JF-Expert Member
- Oct 11, 2018
- 826
- 921
kwa akili Kama yako Africa tunaweza kuwa maskini mileleANAYEONGEA MANENO HAYA ANALALA CHINI YA NETI YA MMAREKANI NA TENA MKE WAKE MAMAAKE NA MTOTO WAKE WANAPEWA CHANGO KWS UFADHIRI WA MMAREKANI(NATO) ......Harafu eti NATO hawatuwezi hiyo ni akili kweli......???!!
Hawa NATO na nchi za Ulaya wanafanya kampeni za vitisho vya wazi wazi sana.Mfano leo bilioni 40 zimeidhininishwa kuisaidia Ukraine..Leo shehena Javelin imesafirishwa kwenda Ukraine. Ujerumani imeshatuma vifaru kadhaa . n.k.. Mrusi kwa kweli yuko mtulivu sana na wale marafiki zake wana heshima sana na hawapendi kutia petroli kwenye moto.. Tujaalie tungekuwa tunasikia habari kama hizi dunia ingekuwaje sasa..Kama Urusi tu inazitoa makamasi nchi zote 35 , uchina na nyingine zikiongeza nguvu si itakuwa Kama uwaonea NATO.
Mpa mikopo tu Ukraine atawalipaHawa NATO na nchi za Ulaya wanafanya kampeni za vitisho vya wazi wazi sana.Mfano leo bilioni 40 zimeidhininishwa kuisaidia Ukraine..Leo shehena Javelin imesafirishwa kwenda Ukraine. Ujerumani imeshatuma vifaru kadhaa . n.k.. Mrusi kwa kweli yuko mtulivu sana na wale marafiki zake wana heshima sana na hawapendi kutia petroli kwenye moto.. Tujaalie tungekuwa tunasikia habari kama hizi dunia ingekuwaje sasa..
..China leo imesema itapeleka shehena ya vifaru vyake vya kisasa na droni kuisaidia Urusi kupambana na Ukraine
..Iran imetoa wanajeshi wake 1000 kwenda Urusi kuipa nguvu kuuteka mji wa Kharkiv....
....Belarus na Hungary wameahidi kupeleka kila msaada utakaohitajika kuisaidia Urusi kupambana na NATO.
kwa jamaa zako waliotambulisha ushoga hadi makanisani ndio wapo sahihiNinaiita Dini ya Putin, nikiona jinsi waumini wako wanasifu hekima, genius, huruma, ujuzi wake.... Ilhali sifa hizo hazina uhusiano na hali halisi, naona tumepata dini mpya.
Sio mtalaam sana wa siasa za huko dunia,ila we jamaa inawezekana ni mweupe kabisa kama sio ubishi tu.Sadam alinyongwa na Wairaq, Ghadaffi aliuawa na Walibya wenzake..
Sasa wewe mwizi akuvamie bila sababu alafu useme unazungumza nae kabla ya kumdhibiti?
Hivi Russia mna pesa kweli za kuweza kushindana na US huko Vitani?
Dola bil.40 zimetengwa kwa ajili ya Ukr,on top of dola bil.10 za awali ..
Twende Kazi Us,baba wa mabeberu tuko pamoja 👇
Subiri uone pesa na akili kipi kina nguvuHivi Russia mna pesa kweli za kuweza kushindana na US huko Vitani?
Dola bil.40 zimetengwa kwa ajili ya Ukr,on top of dola bil.10 za awali ..
Twende Kazi Us,baba wa mabeberu tuko pamoja 👇
View attachment 2231595
Pesa,utakula akili yakoSubiri uone pesa na akili kipi kina nguvu
Hahahah Russia hana njaa za kifala mzee,,, anawanyoosha kwa hesabu kali tu nyie tumeni mabomu na vifaru awafumue navyo au kuvizamisha baharini kabisaPesa,utakula akili yako
Unajua kila siku nchi za EU zinaiingizia Russia Dola billion 2 Kwa gas pekee!So Kwa makadirio,Russia kipindi hiki Cha vita tu,ameingiza Dola bil 60 za gas!Hivi Russia mna pesa kweli za kuweza kushindana na US huko Vitani?
Dola bil.40 zimetengwa kwa ajili ya Ukr,on top of dola bil.10 za awali ..
Twende Kazi Us,baba wa mabeberu tuko pamoja 👇
View attachment 2231595
Yule anaishi kwa hisani ya mabeberughost of kiev alisababisha nimunfollow maria sarungi kule twitter, ilikuwa nikiingia kwenye account yangu nakutana na retweet za slava ukraine. Bila ya shaka huenda Kiherehere cha kushabikia ukraine kimemuisha kwa sasa
hahahahahahahhahah wakati wakitabiri na kuleta uchuro kwa jasusi mbobezi wa kirusi rubo ilikuwa 130 against 1 dollar ila kwa sasa rubo iko 60 against 1 dollar naona wamepoteana 😂Asante kwa jibu zuri kaka Lee, hali halisi ya uchumi wa Russia ikoje mpaka wakati huu? Je, uchumi wake unaelekea kufanana na uchumi wa Zimbabwe kama alivyotabili mwanadada Coco na wanauchumi wenzake wa mchongo hapa jukwaani?
Hivi Russia mna pesa kweli za kuweza kushindana na US huko Vitani?
Dola bil.40 zimetengwa kwa ajili ya Ukr,on top of dola bil.10 za awali ..
Twende Kazi Us,baba wa mabeberu tuko pamoja [emoji116]
View attachment 2231595
Vita ni pesa,ndio maana hizo pesa zimetolewa Ili kuzuia hilo..Shida naona kama UKRAINE pumzi ishaanza kukata sasa sijui nini sababu maana kila kitu wanapewa ila bado WARUSI wanasonga mbele.juzi wamekomboa maadhi ya vijiji maeneo ya KHARKIV ila cha kushangaza hata mwezi haujapita WARUSI wameanza kuvichukua tena.
Ukija upande wa DONESK NA LUHANSK waasi wanazidi kusonga mbele kwa kasi ya ajabu kwa wiki hii.kuna shida kwenye upande wa ku supply silaha maana vikosi vingi vinasema silaha hazifiki kwa wakatiView attachment 2231634View attachment 2231635View attachment 2231636
nasikia huto tuvitambaa ni special na wanavijua wakikukta umevaa na sio material yao utarleza wee nan.
Umeandika maneno mengi ila hayana back up ya kutosha!Yaani Pro NATO na Pro Ukraine msichokijua ni kuwa USA wanataka hii vita ipiganwe at any cost ili kustabilize uchumi wa Dunia .Kwani yeye analikuwa na hali mbaya sana sasa amefanya na Eorope ,Africa nk ipatr anguko kama lao na sababau iwepo.Nyie bakini mkimshabikia Putin na Zelensky huku uchumi wa Tz unaangamia na hakuna mnachokifanya zaidi ya kuandika idadi ya wanajeshi waliokamatwa,makombora yaliyopogwa sijui nini Yaani wanajme wa Tz bure kabisa mtaongozwa na akina mama mpaka akili iwakae sawa.Na come 2035 50% ya wakuu wa nchi duniani watakuwa wanawake ili kuepusha mapogano maana wanaume wanachowaza ni nani kashinda na nini kamkomoa sijui nani.Wanaokufa watoto wa wenzenu natamani wanaume wangekuwa wanabeba mimba 9montjs na kuzaa ndio mgedhamini binadamu wenzenu nyie .