mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Napata shida kidogo kwenye notification. Nazipata baada ya masaa 20 hivi kwahiyo hata quote au tag naziona nimechelewa. Hapo nashindwa kuendana vema na mjadala wowote ninaoshirikiAhsante mkuu, kwa kukumbushia hili, kwani tuliwahi kulisema huko nyuma juu ya 'prototypes', n.k.
Hukupenda kuliendeleza, lakini huku'acknowledge' ukweli huo hadi hapa leo.
Pro Russia ni vichwa "kwerikweri".Duh umetufunga kamba mjuba, baada ya kuvunjika Soviet Union ndipo jina la Russia ama Russian Federation lilipozaliwa.
So you can call that country either Russia or Russian federation.
Neno Federation, limetumika sio kama muunganiko wa nchi mdau bali mfumo wa kiutawala uliopo Russia.
Mjuba, unaposema Tanzania unamaanisha Tanganyika na Zanzibar, Tanzania bara na Visiwani. Tanzania ni zao la muunganiko wa nchi mbili, Tanganyika na Zanzibar.
Russia imepitia historia ya majina tofauti kabla ya hili alilonalo leo mdau.
Kuanzia
1. Kievan Rus
2. Vladmir Suzdal
3. Grand Duchy of Moscow
4. Tsardom of Russia
5. Russia empire
6. Soviet Union
7. Russia Federation baada ya kuvunjika kwa USSR
Historia inatwambia after dissolution of the Soviet union in 1991, the newly independent Russian SFSR(Soviet Federative Socialist Republic) renamed itself the Russian Federation, sio kisa muunganiko wa nchi 23 unazodai mdau.
Ukraine ilikuwa ndani ya USSR(Union of Soviet Socialist Republic), sio Russian Federation mdau.
Russia nae alikuwa ndani USSR kama wenzie mdau. USSR iliundwa na mataifa haya mdau
1. Russian SFSR
2. Ukrainian SSR
3. Byelorussian SSR
4. Transcaucasian SFSR
5. Bukharan SSR
6. Poland (Sio yote)
7. Romania (Sio yote just a portion)
8. Finland (Sio yote)
9. Latvia
10. Lithuania
11. Tuva
12. Vieneo kiasi kutoka Germany, Japan na Czechoslovakia.
1991 zote hizo zilijiondoa USSR ikabaki Russian SFSR peke yake mdau, ndipo wakabadili jina kutoka Russia Soviet Federative Socialist Republic into Russia ama Russian Federation utakavyopenda kuwaita π.
Mind you mdau, Lithuania, Georgia, Estonia, Latvia, Transistria, Moldova, Krygyzstan, Uzbekistan, Tajikistan, Armenia, Azerbaijan, Turkmenistan, Kazakhstan, Belarus, Ukraine na Russia hii ya leo ni mazao ya kuvunjika kwa USSR, United Soviet Socialist Republic.
So whem we refer back to USSR, hatuzungumzii Russia as Russia Federation hii iliyopo leo but nchi zote hizo tajwa hapo Juu.
Hola hola my Signature π
Hola hola mdau... πππNdio ndio mdau, safi sana mdau, umempa shule kubwa sana mdau, asipikuelewa kwa shule hii huyu mdau, inabidi aende kwa mdau Mwamposa akakanyage wese na kuwekewa mkono kichwani ili medulla yake ipate uponyaji mdau.
nachohofia mim hao jamaa warus wanakuwag wanahoji mtu atoe siri zote kikatil sana yan hata kama umezima unawekewa waya kichwan wana download information kwenye ubongo wKo bila wewe mwenywe kupenda ile movie ya Salt ndio nimejua warus sio watu wazurWanajeshi zaidi ya 2400 wa Ukraine wakiwemo wapiganaji wa kikosi cha Azov na wanajeshi toka nchi za NATO wajisalimisha kwa majeshi ya Russia...
Ni wale waliokuwa wamejificha kwenye mashimo kama panya ndani ya kiwanda cha chuma Azovstal, Mariupol. Hatimae sasa kiwanda hicho kipo mikononi mwa majeshi ya Russia.
Kweli vita ni akili aisee. Wakati wanajeshi hao walipoamua kujificha kama panya kwenye mashimo pamoja na raia (wakiwatumia kama ngao yao), Putin aliyakataza majeshi yake yasiwashambulie ila yazingire na kuziba mianya yote ya kiwanda hicho kiasi kwamba 'hata nzi asiweze kuingia'...Jamaa (wapiganaji hao wa Ukraine) walikazaa, mwishowe njaa na majeraha vimewashinda kuvumilia wameamua kujisalimisha na kamatwa na majeshi ya Russia kama 'kumbikumbi'.
=======
View attachment 2232549View attachment 2232550
Wewe ni muongo hii hoja na masenator wawili , na wameweka wazi kwa ajili ya kuongeza ujuzi kazini. Kwa nn watanzania in waongo waongo sanaTaarifa za muda mchache uliopita zinaonyesha hali inazidi kuwa mbaya kwa jeshi la Urusi, kwa sasa ina upungufu mkubwa wa wapiganaji, kutokana na wanajeshi wengi wa Urusi kuuawa kwenye Vita ya Ukraine, hali hiyo imepelekea Bunge la Urusi kujadili mswada utakao waruhusu wazee na Raia wa Kigeni kujiunga na Jeshi kwa ajili ya Vita ya Ukraine. Hii ni fedhea kwa Jeshi la Urusi ambayo inajinasibu kuwa na Jeshi kubwa duniani.
Safari hii lazima Putin Afundishwe adabu na ndo kwaanza mapema kabisa hadi November nazani akili itakuwa imemkaa sawa.
________________________________________
Bunge la Russia linatarajiwa kujadili mswada utakaoruhusu raia wenye umri wa zaidi ya miaka 40 na raia wa kigeni wanaoishi nchini humo wenye umri wa kuanzia miaka 30 kujiunga na jeshi.
Hatua hii ni ya Russia kuimarisha mashambulizi yake dhidi ya Ukraine, baada ya kupoteza wanajeshi kadhaa katika vita vinavyoendelea.
Taarifa iliyoandikwa kwenye wavuti wa habari za serikali ya Russia, Duma, imesema kwamba hatua hiyo ni ya dharura, inayolenga kutumia ujuzi wa watu wazee wenye uwezo wa kivita.
Kwa sasa, wanajeshi wenye umri wa kati ya miaka 18 na 40 ndio wanaoruhusiwa kujiunga na jeshi la Russia.
Russia imepata pigo kubwa sana kwa kupoteza wanajeshi na silaha katika vita vya siku 86 sasa, ambapo Ukraine umefanikiwa kuwashawishi raia wake kupigana na kupinga uvamizi wa Russia.
Japo Russia imedhibithi Mariupol, imeshindwa kufikia malengo yake katika vita hivyo pamoja na kushindwa kudhibithi Donbas, mashariki mwa Ukraine.
Wakati huo huo, waziri wa ulinzi wa Russia Sergei Shoigu amesema kwamba Russia imeanda kuunda vikosi 12 vya jeshi katika sehemu za magharibi, kwa matayarisho ya kile ametaja kama vitisho vinavyoongezeka katika sehemu hiyo, akisema vinatokana na Finland na Sweden kuomba kuwa wanachama wa NATO.
Chanzo VOA
View attachment 2232267
Ongeza na Dochi vele.Eeh Kumbe VOA... BIBISIIII wanasemaje
Wamejua ukweli lakini wametumia lugha ya kutahayari " kama ni kweli Mariupol imeangukia mikononi mwa Urusi itakuwa ni ushindi mkuwa wa Urusi."Habari kama hii, wanafiki BBC huwezi kuona wakitangaza.
KWA HIYO WEWE NDO HUJAWA BRAINWASHED NA SIASA ZA KINA PUTIN?? KWANINI HUWA MNAUKATAA UKWELI UNAONEKANA WAZI???
TUTAIPIGA UKRAINE KWA SIKU TATUπππππΊπ¦πΊπ¦πΊπ¦
MIEZI SASA INAKATIKA
Putin hajafikia malengo na kamwe hatofikia. Ishakula kwake, vikwazo vinaua uchumi,vinasababisha watu kupoteza ajira. Matajiri wa Russia wanaikimbia nchi na kwenda kuwekeza kwingineko duniani. Putin moyoni ana huzuni sana,,,
It is crystal clear that Putin will is following the same path of failed despots , take it to the bank.
Bado mna safari ndefu sana ya ukuaji watoto wazuri. Hadi mje mfikie balekhe sio leo wala kesho...NATO wanamkimbiza mdogo mdogo non stop wanajua pumzi itakata tuuu