Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Si mama anaupiga mwingi au sio nyie mliomdiss faza from chattle
Dingi angetunyoshea miundombinu yule! nchi ingefikika kila kona watu hawajui tu na ushabiki wao maandazi.Wamekuja watu wa tantalila hakuna kinachofanyika sshivi zaidi ya porojo tu. Nakuangalia fursa za upigaji. Angalia wamemdanganya maza akacheze sinema!
 
Hii urusi ni mimi mtupu
 
Mzee wa Hola hola kwenye ubora wako 😂😂😂

Ndio ndio mdau, safi sana mdau, umempa shule kubwa sana mdau, asipikuelewa kwa shule hii huyu mdau, inabidi aende kwa mdau Mwamposa akakanyage wese na kuwekewa mkono kichwani ili medulla yake ipate uponyaji mdau.
Ha ha ha George Mdau, naona umeandika kama mdau, ase hao wadau wasipoelewa maneno ya mdau, kisha Mdau mwamposa wao akaishiwa mafuta basi waje huku tuwaazime hata Baby Care mdau.

Hiyo changes sio Poa, US kafutwa kabisa 🤣🤣🤣 nadhani kaingia kwenye kundi la "wengineo"

Analia kiasi hicho akati anapigwa kwa mswaki na vitenge, akishikiwa kiboko je 😌😌😌

Pro Russia ni vichwa "kwerikweri".
Kwa kifupi humu jukwaani Pro Russia na Pro NATO na sawa na mwalimu na mwanafumzi.
Mno tena Mno, hata namna wanavyopresent taarifa huchoki kuwasoma.

Wako funny na more knowledgeable 🤗
 
Upuuuzi. Inzi asitoke tena. Alafu kama panya kwenye mashimo. Mtoa mada kaongea kimipashooo

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…