kusafisha matakoo au nn mkuu?Kazi imeshaisha bado kusafishasafisha uchafu then kutangaza Uhuru wa Donbass!
Tuanze hapa, kama sio NATO unaizungumziaje hii... Unataka kutwambia kwamba alitumwa na Putin amtengenezee mazingira?Najua wengi wanajua ni NATO ila hiyo ilikuwa kama entry gate tu ya putin kuingia na kuanza kukamilisha malengo yake mama kwa masilahi ya nchi na watu wake. Kuhusu kujiunga NATO siyo issue sana kwa Urusi issue ni NATO kuweka millitary bases karibu na mipaka yake
Una data za kutosha kuhusu dai hili? Unaweza kutwambia kiasi gani uchumi wa Russia kua imara unategemea EU kua tegemezi kwake? Je chakula alone na Gas kinatosha kua worth a trillion dollar economy?Ngoja nigusie tu lengo kubwa la hii operation ya Urusi, lengo kuu lililojificha nyuma ya pazia nikuifanya Ulaya hasa "EU" waendelee kumtegemea Urusi katika kuendesha uchumi na maisha yao ya kila siku, Putin anaamini hiyo ndo njia pekee ya Urusi kubaki imara kiuchumi na kiushawishi.
Umefanya tafiti vizuri? If Ukraine is that important to EU? Unajua sababu za EU kumchinjia baharini huku wakisita sita kumpa uanachama?Ukraine ndo nchi pekee huko ulaya inayoelekea kufanana na Urusi kwa suala la Rasilimali na bidhaa za kilimo yani reserve ya mafuta, gas, umeme, mazao na n.k, hivo basi putin alivyoona uhusiano wa Ukraine na watumwa wake wa EU
If that's the case unaeza kutueleza huyu alimaanisha nini dhidi ya Russia? So na huyu pia alipangwa na Putin namna gani amtengenezee mazingira ya kuivamia Ukraine?akastuka ili awa wahi mapema kabla hawajaanza kuweka mitambo yao ya ku utilize oil and gas
Ardhi ya kilimo wanayo ila hawadhalishi kila zao wanalohitaji, na kimbuka sio kila zao linalimwa popote, sawa ma korosho huezi kuta inalimwa Tabora kwa wingi. Africa eneo kubwa liko wazi kwanini tunaagiza chakula kutoka nje? Je kauli yako ya Ukraine kuwalisha EU kwasababu EU hawana mashamba ni sahihi au batili?pili anajua vizuri kabisa "EU" hawana ardhi ya kilimo kama aliyo nayo na Ukraine na anae walisha kila siku ni yeye na Ukraine, kwa hiyo ili abakie kama tegemezi kwao nilazima Ukraine awe underdog kwake
Tunarudi tena kuuliza if that's case, unaizungumziaje hii nayo, Hawa wote walikuwa wanapangwa na Putin?Sasa basi ili hilo lengo likamilike nilazima yeye au vibaraka wake ndo wawe controller wa hayo maeneo mhimu yanayo windwa na westerners kwa lengo la kujiondoa kwenye utegemezi wa Urusi.
Hii habari haiko kamili alafu hamna sehemu wamesema wanajeshi wa kirusi wamefariki.Putin kweli kadhamiria kuwarubuni wanajeshi wake, yaani wanauawa kishamba sana....
The Russian army has suffered heavy losses, including the destruction of around three dozen tanks, after the Ukrainian army blew up a pontoon bridge over the Siverskyi Donets river in the Luhansk region, according to reports.
Satellite images collected by geospatial intelligence firm BlackSky show
Russian army ‘lose entire battalion’ trying to cross Ukraine bridge
British intelligence says Russian forces are likely to redeploy to eastern bank of Siverskyi Donets riverwww.independent.co.uk
Hivi nyie mnaakili kweli kila siku warusi wanachukua maeneo alafu waukraine wanasarender kila siku.Hao warusi wa kwa mtongole na Gongolamboto kwa sasa wana hasira sana maana sio walivyotegemea, walianzisha nyuzi nyingi nyingi za namna Putin atamaliza show ya Kiev ndani ya siku tatu, sasa wapo wapo tu wamekwama ilhali Mrusi anapokea kipodo kule anasukumizwa nje nje.....
Ingewezekana ule uzi ungepandishwa.My friend, Kuna Ndugu anaitwa Askari Kanzu tulikuwa wote humu Toka wahuni wa Benghaz wanafanya uhuni! Hakuna Askari wa Ghadaffy alihasi. Hao wahuni wa Benghazi hawakuwa Askari bali Mamluki kutuko Nje ukichanganya na dissidents wa kiraia!
====
Ngoja nikutafutie uzi wa sakata hilo la Libya lakini Sasa tujikote kwenye mjadala huu. Wa Ukraine kupigika!
Marmae Russia nomaThe footage shows the work of the Grad multiple launch rocket systems on the positions of the Armed Forces of Ukraine.
With their help, the Russian military destroy enemy artillery batteries, defensive structures, command posts, as well as Ukrainian equipment. The work is carried out using the tactics of frequent changes of firing positions.
Video of the Russian Ministry of Defense.
View attachment 2232833
Mkuu huwa sijibu matusi kwa sababu sijui kutukana!kusafisha matakoo au nn mkuu?
Hivi ndiyo vichwa vya Pro-Russia halisi, mahaba zero. Mnachuja ukweli wa kila taarifa mnayoipata haijalishi imetoka kwa nani.Mwamba leo hujajitendea haki kabisa, naona mengi umeyazungumza kihisia kuliko uhalisia. Unachojaribu kukionesha ni kama westerners wanao jaribu kum'demonise Russia. Na kumfanya Ukraine mtakatifu.
Na ufatiliaji wangu wote wa Geopolitics, sijawah mnasa Russia akifanya ujangili wa namna hiyo.
Maelezo yako yanataka kutwambia hivi
1. Issue ya Donbas ni ya kupangwa na Putin iwe kama ticket kwake ya kuingilia Ukrane kwenda kuiba ilo eneo.
2. Pili ni kumhusisha Putin katika njama za mauaji ya hao Raia 14,000 wa Ukraine wenye asili ya Urusi katika maandalizi yake ya sababu za kuivamia Ukraine kuiba eneo.
3. Unajaribu kutuambia hawa Azov pia ni mipango ya Putin katika kuwatengeneza kama sababu ya yeye kuingia hapo Ukraine kuiba hayo maeneo ili kuwafanya EU kuwa tegemezi kwake.
Tuanze hapa, kama sio NATO unaizungumziaje hii... Unataka kutwambia kwamba alitumwa na Putin amtengenezee mazingira?
View attachment 2232980
Una data za kutosha kuhusu dai hili? Unaweza kutwambia kiasi gani uchumi wa Russia kua imara unategemea EU kua tegemezi kwake? Je chakula alone na Gas kinatosha kua worth a trillion dollar economy?
Umefanya tafiti vizuri? If Ukraine is that important to EU? Unajua sababu za EU kumchinjia baharini huku wakisita sita kumpa uanachama?
Kwa comparison? Unajua kua Gas and Oil iliyogunduliwa hapo Ukraine yeye tu kwa matumizi yake ambayo ni madogo kulinganisha na Nchi nyingi za ulaya haimtoshi, kiasi cha kumlazimu kufanya import kutoka nje tena sio mbali bali Russia. Je ataweza kuiepeleka ulaya?
If that's the case unaeza kutueleza huyu alimaanisha nini dhidi ya Russia? So na huyu pia alipangwa na Putin namna gani amtengenezee mazingira ya kuivamia Ukraine?
View attachment 2232986
Ardhi ya kilimo wanayo ila hawadhalishi kila zao wanalohitaji, na kimbuka sio kila zao linalimwa popote, sawa ma korosho huezi kuta inalimwa Tabora kwa wingi. Africa eneo kubwa liko wazi kwanini tunaagiza chakula kutoka nje? Je kauli yako ya Ukraine kuwalisha EU kwasababu EU hawana mashamba ni sahihi au batili?
Tunarudi tena kuuliza if that's case, unaizungumziaje hii nayo, Hawa wote walikuwa wanapangwa na Putin?
View attachment 2232996
Maandalizi yote ya miaka 8 ya kuwatrain hao Nazi kutoka kwa Pentagon, Hizo Bio Labs zilizoenea hapo Ukraine, Hizo money laundering zilizokuwa zikifanyika Ukraine, Fedha zote walizomwaga US kuanzia kwa Obama, Trump hadi huyu Chizi Joe zote zilipangwa na Putin kama maandalizi ya sababu za kwenda kuiba eneo Ukraine ili kuwafanywa EU wawe tegemezi kwake?
Kama ni Putin wa dizain hiyo unayemzungumzia basi ni Mpuuzi sana. Ambae hakupiga hesab Reactions za EU juu yake dhidi ya Uchumi wake, na namna watakavyoansa harakati za kujitoa mikononi mwake katika harakati zake za yeye kutaka kuwaweka mikononi mwake.
China peke yake anatumia Gas and Oil nyingi kuliko bara zima la EU, so maelezo yako yanajaribu kutueleza kua Russia tunaowaita watu makini ameshindwa kum'convince best yake ndani ya BRICS kufanya biashara matokeo yake kwenda kuiba ardhi Ukraine ili awafanye Europe tegemezi kwake?
Kwamba huyu US anayelazimisha kila mtu amchunie Russia, huku anajiapiza kua atafidia Gap lake kwenye soko la EU yote ni katika Plan za mwamba kuiba eneo Ukraine ili awafanye Ukraine chawa wake hivo kuwatia mfukoni EU?
Kwamba Mwamba akaamua akubali Wawekezaji wote wakimbie nchini kwake, raia wake akose ajira kisa kuiba ardhi ya Ukraine ili EU iwe tegemezi kwake?
No way! Em tuendelee hivi hivi kujieleza kua hakuna ajuaye kiundani target zake zaidi ya zile alizozianisha ya Denazification, Demilitarization, na kuwaokoa Raia wenye asili ya kirusi walio kua wakiuwawa bila wa kuwatetea.
Hizi assumptions haziukaribii ukweli ata kwa bahati mbaya.
Tuma namba PM nikutumie ya apple punch🤣
Unajua n nn mwamba......au basiii tuu siko kinyume na ww ila naona tunaelekea kama ya babeli maana kuna pro Russia mwingine alidai magu angekuwepo tungekua na barabara🤣🤣🤣🤣akajibiwa aaache ukichaaa wote hao n timu moja.Mwamba leo hujajitendea haki kabisa, naona mengi umeyazungumza kihisia kuliko uhalisia. Unachojaribu kukionesha ni kama westerners wanao jaribu kum'demonise Russia. Na kumfanya Ukraine mtakatifu.
Na ufatiliaji wangu wote wa Geopolitics, sijawah mnasa Russia akifanya ujangili wa namna hiyo.
Maelezo yako yanataka kutwambia hivi
1. Issue ya Donbas ni ya kupangwa na Putin iwe kama ticket kwake ya kuingilia Ukrane kwenda kuiba ilo eneo.
2. Pili ni kumhusisha Putin katika njama za mauaji ya hao Raia 14,000 wa Ukraine wenye asili ya Urusi katika maandalizi yake ya sababu za kuivamia Ukraine kuiba eneo.
3. Unajaribu kutuambia hawa Azov pia ni mipango ya Putin katika kuwatengeneza kama sababu ya yeye kuingia hapo Ukraine kuiba hayo maeneo ili kuwafanya EU kuwa tegemezi kwake.
Tuanze hapa, kama sio NATO unaizungumziaje hii... Unataka kutwambia kwamba alitumwa na Putin amtengenezee mazingira?
View attachment 2232980
Una data za kutosha kuhusu dai hili? Unaweza kutwambia kiasi gani uchumi wa Russia kua imara unategemea EU kua tegemezi kwake? Je chakula alone na Gas kinatosha kua worth a trillion dollar economy?
Umefanya tafiti vizuri? If Ukraine is that important to EU? Unajua sababu za EU kumchinjia baharini huku wakisita sita kumpa uanachama?
Kwa comparison? Unajua kua Gas and Oil iliyogunduliwa hapo Ukraine yeye tu kwa matumizi yake ambayo ni madogo kulinganisha na Nchi nyingi za ulaya haimtoshi, kiasi cha kumlazimu kufanya import kutoka nje tena sio mbali bali Russia. Je ataweza kuiepeleka ulaya?
If that's the case unaeza kutueleza huyu alimaanisha nini dhidi ya Russia? So na huyu pia alipangwa na Putin namna gani amtengenezee mazingira ya kuivamia Ukraine?
View attachment 2232986
Ardhi ya kilimo wanayo ila hawadhalishi kila zao wanalohitaji, na kimbuka sio kila zao linalimwa popote, sawa ma korosho huezi kuta inalimwa Tabora kwa wingi. Africa eneo kubwa liko wazi kwanini tunaagiza chakula kutoka nje? Je kauli yako ya Ukraine kuwalisha EU kwasababu EU hawana mashamba ni sahihi au batili?
Tunarudi tena kuuliza if that's case, unaizungumziaje hii nayo, Hawa wote walikuwa wanapangwa na Putin?
View attachment 2232996
Maandalizi yote ya miaka 8 ya kuwatrain hao Nazi kutoka kwa Pentagon, Hizo Bio Labs zilizoenea hapo Ukraine, Hizo money laundering zilizokuwa zikifanyika Ukraine, Fedha zote walizomwaga US kuanzia kwa Obama, Trump hadi huyu Chizi Joe zote zilipangwa na Putin kama maandalizi ya sababu za kwenda kuiba eneo Ukraine ili kuwafanywa EU wawe tegemezi kwake?
Kama ni Putin wa dizain hiyo unayemzungumzia basi ni Mpuuzi sana. Ambae hakupiga hesab Reactions za EU juu yake dhidi ya Uchumi wake, na namna watakavyoansa harakati za kujitoa mikononi mwake katika harakati zake za yeye kutaka kuwaweka mikononi mwake.
China peke yake anatumia Gas and Oil nyingi kuliko bara zima la EU, so maelezo yako yanajaribu kutueleza kua Russia tunaowaita watu makini ameshindwa kum'convince best yake ndani ya BRICS kufanya biashara matokeo yake kwenda kuiba ardhi Ukraine ili awafanye Europe tegemezi kwake?
Kwamba huyu US anayelazimisha kila mtu amchunie Russia, huku anajiapiza kua atafidia Gap lake kwenye soko la EU yote ni katika Plan za mwamba kuiba eneo Ukraine ili awafanye Ukraine chawa wake hivo kuwatia mfukoni EU?
Kwamba Mwamba akaamua akubali Wawekezaji wote wakimbie nchini kwake, raia wake akose ajira kisa kuiba ardhi ya Ukraine ili EU iwe tegemezi kwake?
No way! Em tuendelee hivi hivi kujieleza kua hakuna ajuaye kiundani target zake zaidi ya zile alizozianisha ya Denazification, Demilitarization, na kuwaokoa Raia wenye asili ya kirusi walio kua wakiuwawa bila wa kuwatetea.
Hizi assumptions haziukaribii ukweli ata kwa bahati mbaya.
Hivi nyie mnaakili kweli kila siku warusi wanachukua maeneo alafu waukraine wanasarender kila siku.
Mariupol jiji.lililokuwa na watu laki tano mrusi kaua elfu ishirini zaidi ya wakazi laki nne wa mariupol wameukimbia mji.Waliobaki ni chini.ya laki mojaWatapiga kura za kiaina halafu yatakuwa mikoa ya Urusi.Hiyo ndio itakuwa adabu ya Zelensky na NATO.
Hakuna kurudisha.Hiyo miji na bandari ni mali sana.
Wooiiiii mbona uko nyuma nyuma sanaa mangii kabla ya kusema chochote humu ndani hakikisha uko up to date.Mariupol jiji.lililokuwa na watu laki tano mrusi kaua elfu ishirini zaidi ya wakazi laki nne wa mariupol wameukimbia mji.Waliobaki ni chini.ya laki moja
Shule zote na hospitali na maduka na miundombinu ya umeme na maji na reli na barabara na bandari mrusi kabomoa
Anachokalia mariupol ni magofu
.Hajatwaa mji katwaa magofu yake aliyoyabomoa
Hata asimike utawala wake utakuwa wa kutawala magofu yasiyo na miundo mbinu wala huduma za kijamii wala watu.Waliobakinni vikongwe na wasiojiweza walioshindwa kukimbia vita