lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Pro Russia Ina watu ma NGULI Kwerikweri.Siku nikipata muda nitaanzisha uzi wa malengo makuu ya Russia kwenye hii operation. Najua wengi wanajua ni NATO ila hiyo ilikuwa kama entry gate tu ya putin kuingia na kuanza kukamilisha malengo yake mama kwa masilahi ya nchi na watu wake. Kuhusu kujiunga NATO siyo issue sana kwa Urusi issue ni NATO kuweka millitary bases karibu na mipaka yake, hapo hata uwe Mna NATO kwa miaka 20 Moto utawaka.
Ngoja nigusie tu lengo kubwa la hii operation ya Urusi, lengo kuu lililojificha nyuma ya pazia nikuifanya Ulaya hasa "EU" waendelee kumtegemea Urusi katika kuendesha uchumi na maisha yao ya kila siku, Putin anaamini hiyo ndo njia pekee ya Urusi kubaki imara kiuchumi na kiushawishi.
Je Ukraine anahusika je hapo?; Ukraine ndo nchi pekee huko ulaya inayoelekea kufanana na Urusi kwa suala la Rasilimali na bidhaa za kilimo yani reserve ya mafuta, gas, umeme, mazao na n.k, hivo basi putin alivyoona uhusiano wa Ukraine na watumwa wake wa EU unaelekea kukua hadi kuanza kushirikiana mambo mengi, akastuka ili awa wahi mapema kabla hawajaanza kuweka mitambo yao ya ku utilize oil and gas reserves iliyopo mashariki mwa Ukraine, pili anajua vizuri kabisa "EU" hawana ardhi ya kilimo kama aliyo nayo na Ukraine na anae walisha kila siku ni yeye na Ukraine, kwa hiyo ili abakie kama tegemezi kwao nilazima Ukraine awe underdog kwake.
Sasa basi ili hilo lengo likamilike nilazima yeye au vibaraka wake ndo wawe controller wa hayo maeneo mhimu yanayo windwa na westerners kwa lengo la kujiondoa kwenye utegemezi wa Urusi. na njia pekee iliyokuwepo kufanikisha hilo lengo nikuyachukua hayo maeneo kijeshi maana kisiasa tayari Zelensky alikuwa ashaoelewa na westerners, so Urusi iliona kuendelea kutumia siasa nikuendelea kujimaliza wenyewe. Na ndo maana Tangazo la kwanza kabla ya kuingiza vikosi Ukraine, Putin alitangaza kuyatambua majimbo ya DRP na LRP kama states huru maana ndo target yake na ndo kuna rasilimali nyingi mfanano na za Urusi zinazotegemewa sana na Westerners. Unganisha na Dot za kuyathibit maeneo ya Crimea, Zaporizhzhya nuclear power plant, Mariupol, snake island na Odesa(still on fire)
Naomba niishie hapa, details zaidi zitakuwa kwenye Uzi (nikipata muda mzuri one day) ila Russia yupo tayari kutumia hata nukes ili tu Ukraine mashariki iwe chini yake. Inahitajika akili ya utulivu sana kuelewa plans za Kremlin chini ya Putin maana hata EU, G7,NATO na UN wazielewi kabisa ndo maana kila siku wanaishia kuingizwa choo cha kike tu.
Nawasilisha.
Wanasubiri kifaru kimaoja Cha Urusi kilipuliwe watatoka kwa Kasi huko AzovstanzaniaPro nato sijui wamejificha mahandaki ya wapi
That'sPale nitakapoambiwa kua
A ni sawa na B,
B ni sawa na C,
C ni sawa na M... Basi nategemea pia kuona A ikiwa sawa na M, Otherwise logically hiyo equation haiko sawa.
Da !Hizo ndege zimepigwa kwenye air combat chap zikashushwa na hizo drone uchwara
Habari zinazonifurahishaga ni kuona Western weapons zikiteteketezwa Russia defense force.The Russian military in the Zhytomyr region destroyed a large batch of Western weapons and equipment, according to the Russian Defense Ministry.
View attachment 2232813
Habari ni zile zile za Ukraine kuzidiwa, Russia si zimbabwe n.k si mbaya mkitawala jukwaa.Wanasubiri kifaru kimaoja Cha Urusi kilipuliwe watatoka kwa Kasi huko Azovstanzania
Slava ukraine Slava ukraine Slava ukraineHuyu Zelensky kila kukicha anakuja jambo jipya
Wana msupport tu, we unadhan f22 na f35 zingeenda angebaki au tuseme tu b52 moja ingeenda au Aircraft carrier moja urusi angekuwa kashakimbiaHivi South Korea,ni NATO? Mbona Urusi inapigana na husu ya dunia??? This is unfair [emoji18]
Pro Russia ni ma Lecturers Tosha kabisa.Mdau Umoja wa Pro-Russia tunakuomba ubadilishe kauli π€£π€£π€£.
Mdau marekani anatamani ampe silaha nzito alizonazo Ukraine, mmarekani anatamani sana Russia ashindwe hivi Vita ili adictate mazungumzo aftermath.
Lakini kile ambacho kitamgharim kwa kitendo cha kujaribu kutuma silaha nzito "top notch" huko Ukraine ni zaidi ya kile ambacho anaweza kukipata Ukraine peke yake.
Mdau US anaongoza duniani kwa uuzaji wa silaha akichukua market share ya 38% compared to 20% of Russia. Mdau hiyo 38% ya United State kuipata anatumia nguvu nyingi sana kwa udanganyifu, uanzishaji wa fujo kila eneo na blackmailing of top of officials kuhakikisha wananunua silaha kutoka kwake peke yake.
While 20% market share ya Russia anaipata bila kutumia nguvu nyingi, bila PR zisizo na kichwa wala miguu. Na kuchafuliwa kote but katika Nchi zaidi ya 200 duniani, Nchi zenye kujitapa kwa wingi kua na advanced technology kuliko yeye, nchi zenye kujitapa kwa kua na uchumi mkubwa kuliko yeye. Ana hold 20% market share of military equipment supply duniani.
OoT (Out of Topic): Bibi yangu enzi za ujana alikuwa kisu balaa, aliwakimbiza mno, aliniambia kizuri chajiuza kibaya chajitembeza. ππππ hola hola wadau.
Back to the Topic.
Can you imagine the consequences in Military Complex of United States kama wakituma zile silaha konki kisha zikaharibiwa with easy effort by Russia mdau? Atapoteza Confidence kwa wateja wake sokoni. Soko ambalo linaingiza ma-billons ya dollar kila mwaka.
Kuiweka sawa hii, unaweza kutwambia morali wa wana kwenye kikundi pale mbabe wao mkuu anapochakazwa? Now you get my point?
Yes man, so umeona huko ni kuharibu soko ambalo lina thamani kubwa kuliko mdudu anaeitwa Ukraine mdau, hapa utaona washirika wakiambiwa watume silaha zao yeye atawafidia π.
"A Coward 'Chick' is afraiding of being embarrassed by a great π» Bear"
You can't say hataki while anatumia gharama zaidi kwa kuuponda ponda uchumi wake, kwa kuharibu mataifa yao, kwa kuchafua image zao kwenye siasa za kimataifa. Wanajua na wanaendelea kufanya hivo kwasababu it's obviously the only option left to fight with Russia.
They can't, oh wait, They will never fight Russia directly unless they tired to exist. Remember Sadam's Iraqi was Invaded because they "suspect presence" of Weapons of Mass Destruction, today wote wanakimbia kupigana na Russia Directly wakihofia ana "posses" Weapons of Mass destruction. Hiiiivo Man.
So mdau, usighafirike the way nilivyoanza Intro yangu ya kukutaka utubadilishie kauli π€, Hola hola hapa mtu wa masihara sana.
High Five π mdau....
Alikatazwa na nani? Yaan nchi iamue kutoa msaada afu akatazwe??Wana msupport tu, we unadhan f22 na f35 zingeenda angebaki au tuseme tu b52 moja ingeenda au Aircraft carrier moja urusi angekuwa kashakimbia
Maana ata ndege vita moja tu hajampa na kila cku anaomba f 16 au f15 ambazo hazitumiki
Poland alitaka kupeleka mig 29 ambazo ni za urusi ila akakatazwa