Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,940
- 15,665
😅😅🤣Ni kweli kabisa mkuu,Ukraine tunazidi kukamata maeneo ya Urussi.Sisi Ni washindi.
Slava ukraine Slava ukraine Slava ukraine
Na ujue siku hizi Dar es Salaam nayo ni 'mikoani'🤣😁😁khee na sie wa mikoa mingine
Haya wameshinda waiojisalimisha[emoji41]Kujisalimisha kwa hao wanajeshi haimanishi kwamba urusi ndio imeshinda vita.
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni kweli kabisa mkuu,Ukraine tunazidi kukamata maeneo ya Urussi.Sisi Ni washindi.
Slava ukraine Slava ukraine Slava ukraine
[emoji41][emoji41][emoji1683][emoji1683][emoji28][emoji28][emoji1787]
Propaganda kama propaganda zingine za kila siku toka BBC, RUSSIA ni underdogs tu Katika vita na sisi Ukraine bila msaada wa USA na EU tunamshushia kipondo haswa cha mmbwa koko [emoji6]Wapiganaji wa mwisho wa Ukraine waliojibanza katika eneo la kiwanda cha chuma cha Azovstal cha mji huo sasa wamejisalimisha, maafisa wa Moscow wamesema.
Kwa miezi kadhaa vikosi hivyo vilikuwa vimezingirwa katika jengo hilo kubwa, na kuizuia Urusi kuwa na udhibiti kamili wa mji huo.
Uokoaji wa siku ya Ijumaa unaashiria mwisho wa kuzingirwa na uharibifu zaidi wa mji wa Mariupol ambao sasa umesalia magofu.
Mji huo na kiwanda chake cha chuma sasa "umekombolewa kabisa" baada ya wanajeshi 531 wa Ukraine kuondoka katika eneo hilo, wizara ya ulinzi ya Urusi imesema.
"Vituo vya chini ya ardhi vya kiwanda hicho, ambako wanamgambo walikuwa wamejificha, viko chini ya udhibiti kamili wa majeshi ya Urusi," iliongeza katika taarifa.
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema walinzi wa mwisho waliosalia kaika eneo hilo wameruhusiwa kuondoka.
"Leo wapiganaji hao walipokea ishara ya wazi ya amri ya kijeshi kwamba wanaweza kutoka nje na kuokoa maisha yao," aliiambia kituo cha televisheni cha Ukraine mapema Ijumaa.
Kwa wiki kadhaa eneo hilo la Azovstal ilikuwa limezingirwa kabisa.
Vikosi vya Urusi vilizuia misaada yote ya kibinadamu kuingia, na kulishambulia eneo hilo kutoka angani na kuwataka watetezi wake waliobaki kuweka chini silaha zao na kujisalimisha.
Wengi wa wale waliokwama ndani walikuwa raia, ikiwa ni pamoja na wanawake, watoto na wazee. Mapema mwezi huu waliondolewa baadhi kufuatia mazungumzo magumu yaliyoratibiwa na Umoja wa Mataifa na Shirika la Msalaba Mwekundu ambayo yalidumu kwa wiki kadhaa.
Lakini kuendelea kukataa kujisalimisha kwa wapiganaji hao wa Ukraine kulimaanisha Urusi haikuweza kuwa na udhibiti kamili wa mji huo wa bandari ya kimkakati.
Kwa raia wengi wa Ukraine, inawaona wapiganaji hao wa Azovstal waliojisalimisha kuwa mashujaa wa kitaifa ambao walionyesha upinzani wa ukaidi wa nchi dhidi ya Urusi.
Mamia ya wanajeshi waliojificha kwenye mahandaki ya kiwanda hicho ni pamoja na wanamaji, Jeshi la Ulinzi la Taifa (ikiwa ni pamoja na kikosi cha Azov), walinzi wa mipaka, polisi na vitengo vya ulinzi wa eneo.
Walipiga kambi na kupungua kwa vifaa vya chakula na hakuna maji, waliishi kwa wiki katika bunkers chini ya ardhi na mahandaki bila kuona mchana.
Chanzo:BBC
SASA WE PIMBI NJOO UBISHANE NA WANAGHARIBI WENZIO
Tafuteni sehemu nzuri mtulie kumpa tano Russiakhee na sie wa mikoa mingine
Wana msupport tu, we unadhan f22 na f35 zingeenda angebaki au tuseme tu b52 moja ingeenda au Aircraft carrier moja urusi angekuwa kashakimbia
Maana ata ndege vita moja tu hajampa na kila cku anaomba f 16 au f15 ambazo hazitumiki
Poland alitaka kupeleka mig 29 ambazo ni za urusi ila akakatazwa
Wataalam wanakuambia Kuanguka kwa Mauripol na kukamatwa kikosi cha nationalist ndio mwisho wa game. Drone zimeshapatiwa dawa yao lazerViva Russia
Wewe kenge unaijua ulaya na unafiki wa wazungu weweWapiganaji wa mwisho wa Ukraine waliojibanza katika eneo la kiwanda cha chuma cha Azovstal cha mji huo sasa wamejisalimisha, maafisa wa Moscow wamesema.
Kwa miezi kadhaa vikosi hivyo vilikuwa vimezingirwa katika jengo hilo kubwa, na kuizuia Urusi kuwa na udhibiti kamili wa mji huo.
Uokoaji wa siku ya Ijumaa unaashiria mwisho wa kuzingirwa na uharibifu zaidi wa mji wa Mariupol ambao sasa umesalia magofu.
Mji huo na kiwanda chake cha chuma sasa "umekombolewa kabisa" baada ya wanajeshi 531 wa Ukraine kuondoka katika eneo hilo, wizara ya ulinzi ya Urusi imesema.
"Vituo vya chini ya ardhi vya kiwanda hicho, ambako wanamgambo walikuwa wamejificha, viko chini ya udhibiti kamili wa majeshi ya Urusi," iliongeza katika taarifa.
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema walinzi wa mwisho waliosalia kaika eneo hilo wameruhusiwa kuondoka.
"Leo wapiganaji hao walipokea ishara ya wazi ya amri ya kijeshi kwamba wanaweza kutoka nje na kuokoa maisha yao," aliiambia kituo cha televisheni cha Ukraine mapema Ijumaa.
Kwa wiki kadhaa eneo hilo la Azovstal ilikuwa limezingirwa kabisa.
Vikosi vya Urusi vilizuia misaada yote ya kibinadamu kuingia, na kulishambulia eneo hilo kutoka angani na kuwataka watetezi wake waliobaki kuweka chini silaha zao na kujisalimisha.
Wengi wa wale waliokwama ndani walikuwa raia, ikiwa ni pamoja na wanawake, watoto na wazee. Mapema mwezi huu waliondolewa baadhi kufuatia mazungumzo magumu yaliyoratibiwa na Umoja wa Mataifa na Shirika la Msalaba Mwekundu ambayo yalidumu kwa wiki kadhaa.
Lakini kuendelea kukataa kujisalimisha kwa wapiganaji hao wa Ukraine kulimaanisha Urusi haikuweza kuwa na udhibiti kamili wa mji huo wa bandari ya kimkakati.
Kwa raia wengi wa Ukraine, inawaona wapiganaji hao wa Azovstal waliojisalimisha kuwa mashujaa wa kitaifa ambao walionyesha upinzani wa ukaidi wa nchi dhidi ya Urusi.
Mamia ya wanajeshi waliojificha kwenye mahandaki ya kiwanda hicho ni pamoja na wanamaji, Jeshi la Ulinzi la Taifa (ikiwa ni pamoja na kikosi cha Azov), walinzi wa mipaka, polisi na vitengo vya ulinzi wa eneo.
Walipiga kambi na kupungua kwa vifaa vya chakula na hakuna maji, waliishi kwa wiki katika bunkers chini ya ardhi na mahandaki bila kuona mchana.
Chanzo:BBC
SASA WE PIMBI NJOO UBISHANE NA WANAGHARIBI WENZIO
Aisee mtateseka Sana kwa kweli.....huko Mariupol na maeneo mengine yote yaliyokombolewa maisha yanaendelea Kama kawaida....shule zimefunguliwa na wanafunzi wanaingia madarasani kwa kutumia curriculum mpya...lugha inayotumika mashuleni Sasa ni Kirusi...supermarkets na masoko na pia maduka yamefunguliwa ...hospitali na zahanati zimefunguliwa...umeme umerejeehwa ila umeme unaokwenda kwenye miji ya Zele na vikaragosi wenzake inabidu walipie...fedha inayotumika ni Rouble kwenye maeneo yote yaliyokombolewa..umesikia Ndugu?! Muda siyo mrefu Zele ataomba poo...Kuna miji miwili hivi imekaribia kufanywa Kama Mariupol kwa kuzingirwa..Mariupol jiji.lililokuwa na watu laki tano mrusi kaua elfu ishirini zaidi ya wakazi laki nne wa mariupol wameukimbia mji.Waliobaki ni chini.ya laki moja
Shule zote na hospitali na maduka na miundombinu ya umeme na maji na reli na barabara na bandari mrusi kabomoa
Anachokalia mariupol ni magofu
.Hajatwaa mji katwaa magofu yake aliyoyabomoa
Hata asimike utawala wake utakuwa wa kutawala magofu yasiyo na miundo mbinu wala huduma za kijamii wala watu.Waliobakinni vikongwe na wasiojiweza walioshindwa kukimbia vita
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] njoo mkuu wa "kwa mpapange"Nyie warusi ndio hamna akili mmevamia Ukraine sasa Hamna pakutokea.