Final Boss
JF-Expert Member
- May 5, 2022
- 1,296
- 15,984
There's where utakubali kua Putin wa kwenye media za Magharibi hayupo Russia.Wanajeshi wa Ukraine waliotekwa na majeshi ya Russia huko Azovstal, Mariupol, waelezea hali ilivyo kwenye camp walimoshikiliwa na majeshi ya Russia...wawasifia majeshi ya Russia kwa kuwapigisha mateka hao misosi ya nguvu ikiwemo supu ya nyama asubuhi na mchana😂😂😂😇😇😇
Pia wameshukuru kupewa vitanda safi kila mmoja na sendoz za ukweli...bila kusahau huduma nzuri za matibabu.
Wana mshipa wa kula ile mbaya...maana walipigishwa kwata ya njaa kwa miezi kama miwili hivi walipozingirwa na majeshi ya Russia kwenye kiwanda cha chuma Azovstal, Mariupol.
View attachment 2233228View attachment 2233229
View attachment 2233230
Nikutolee mfano wa Askari huyu ambaye ni maarufu mpaka Sasa hivi huko Libya. Huyu alishaachana na Jeshi la Gaddafy (R.I.P) miaka mingi kabla wahuni wa Benghaz wakisaidiwa na NATO hawajaanza kufanya uhuni wa kujaribu nchi Yao .Khalifa Haftar
Hili boya zamani nilidhani ni genious kumbe ni boya ***** la natoHuoni aibu kuendelea kuweka comments zako hapa!?
Usa chuchu konziKuna mtu anaviziwa[emoji16]View attachment 2232711
Wazee wa kukurupuka kama kawaida yenu... jomba upo nyuma ya wakati sana... ndio maana kuna jamaa mmoja alisema hadi mfike balekhe muwaze kiutu uzma sio leo wala kesho.Erdogan: Turkey expects concrete Swedish steps on ‘terrorism’
Turkish President Tayyip Erdogan says he told Sweden’s Prime Minister Magdalena Andersson that Ankara expects concrete steps regarding its concerns about “terrorist organisations”, the state-owned Anadolu news agency reported.
Waafrika tukijifunza kwa wazungu tutafika mbali...
Kuna mpuuzi mmoja wa Pro Russia anakwambia Turkey ni team Putin...
Turkey wanataka kuwa EU leo kesho
Hawa jamaa wasipoelewa hili basi mganga wa US dhidi ya EU anaijua kazi yake haswaa.Mbunge wa Bunge la EU kutoka Croatia Mislav Kolakusic akiwagonga za uso wanafiki ....
View attachment 2233050
Hongera Russiahii video hapa imeniguza sana
View attachment 2233198
During the liberation of the suburbs of Severodonetsk, the units of the NM of the LPR rescued a family from Ukrainian captivity that was locked in the basement and mined
Karibu sana mkuu weka namba ya chombo cha moto utumiwe wese freeNaomba muongozo wa kubadili uraia na kuwa Mrusi tafadhali 😎
Mimi bado nakukumbusha ahadi yako uliyoahidi, jiandaeMariupol jiji.lililokuwa na watu laki tano mrusi kaua elfu ishirini zaidi ya wakazi laki nne wa mariupol wameukimbia mji.Waliobaki ni chini.ya laki moja
Shule zote na hospitali na maduka na miundombinu ya umeme na maji na reli na barabara na bandari mrusi kabomoa
Anachokalia mariupol ni magofu
.Hajatwaa mji katwaa magofu yake aliyoyabomoa
Hata asimike utawala wake utakuwa wa kutawala magofu yasiyo na miundo mbinu wala huduma za kijamii wala watu.Waliobakinni vikongwe na wasiojiweza walioshindwa kukimbia vita
Neo Nazi wa Ukraine Wana Roho mbaya sana, waliacha wamewategea mabomu mlangoni.hii video hapa imeniguza sana
View attachment 2233198
During the liberation of the suburbs of Severodonetsk, the units of the NM of the LPR rescued a family from Ukrainian captivity that was locked in the basement and mined
Huu ni ushindi mwingine kwa Russia,Wanajeshi wa Ukraine waliotekwa na majeshi ya Russia huko Azovstal, Mariupol, waelezea hali ilivyo kwenye camp walimoshikiliwa na majeshi ya Russia...wawasifia majeshi ya Russia kwa kuwapigisha mateka hao misosi ya nguvu ikiwemo supu ya nyama asubuhi na mchana😂😂😂😇😇😇
Pia wameshukuru kupewa vitanda safi kila mmoja na sendoz za ukweli...bila kusahau huduma nzuri za matibabu.
Wana mshipa wa kula ile mbaya...maana walipigishwa kwata ya njaa kwa miezi kama miwili hivi walipozingirwa na majeshi ya Russia kwenye kiwanda cha chuma Azovstal, Mariupol.
View attachment 2233228View attachment 2233229
View attachment 2233230
Ha ha haa.watakaa muda mrefu maana rusia wanazidi kusonga mbele
"Nanukuu, Drone zimeshapatiwa dawa Yao Lazer"Wataalam wanakuambia Kuanguka kwa Mauripol na kukamatwa kikosi cha nationalist ndio mwisho wa game. Drone zimeshapatiwa dawa yao lazer
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app