Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
😂😂😂Kuna daraja limevunjwa huko askari km 10000 wa Ukraine wametengwa na wenzao hakuna silaha hakuna chakula wala tiba.Kuna convoy ya Km 11 ya Russia inaenda kuongeza nguvu huko . Mpaka huruma Donbass haina muda its Mauripol part 2 .
Russia wanajindeshea malori yao mavifaru hiyo ni baada ya kuyeyusha drones kama 100 hivi za adui. Saizi vifaru kama WW2 vonatamba tu drone zinamulikwa zinayeyuka
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Mkuu, Dont take it too serious. Kwani tukiimba wote nyimbo za kumsifu na kumuabudu puttin nn kitabadilika? Haya si ni maandishi tu yanaishia hapa hapa?Eiwaa taratibu unakuja kwenye point yangu.
Awam hii ngoja nirefushe maelezo nimalizie maana hapa kope zishaanza kupendana. 😴😴😴😴😴
Naweza nikasema zaidi ya 90% ya binadam wa kileo hatuna uwezo wa kucontrol fikra zetu. Ni wachache mno waliobarikiwa hilo jambo.
Mind zetu zinanjaa ya Perfection, tuko makini sana kutafuta kasoro kuliko lile zuri lililopo mbele.
Mbaya zaidi fikra zetu zimetawaliwa na hisia zaidi kuliko kuuruhusu ubongo kufanya kazi yake.
Leo hii mtu akipenda (mahaba yakiwa juu) anafunika kila udhaifu ulio mbele yake. Na hii aina binafsi huwa siioni kama ni mahaba bali upumbavu. Mahaba sio kukana udhaifu bali kuuona udhaifu kisha kuuridhia kwa kuamini hakuna kilicho timilifu.
Vile vile leo hii mtu akichukia nukta katila wewe, basi unakosa zuri kwake. Lolote utakalofanya atakuwa anatafuta kasoro. Huyu naye anakuwa anaendeshwa na hisia zaidi kuliko kuupa uhuru ubongo wake ufanye maamuzi. Nayo hii ni aina nyingine ya upumbavu vile vile.
Hapa kwenye huu uzi mainly ziko team mbili. 😂 Team NATO na Team Russia (na mie nikiwemo). Katika hizi team mbili kote kote kuna watu wanajielewa na kuna watu ndio vile tena tafran 🤗
Kuna watu katika makundi hayo mawili wana mahaba sana, na kuna wengine wana chuki sana. Mwenye mahaba hata ukimletea taarifa ya Uongo maadam inamfurahisha haipingi wala kujiuliza uhalisia wa kilichozungumzwa 🤣.
Na yule mwenye chuki nae akifikishiwa taarifa hupinga pia hata kama ni ya kweli maadam haimpendezi hatoikubali.
Me naamini sio kila msemo wa kiswahili lazima utimie 🤔, hivo unaweza kupenda boga ukachukia majani yake. Mfano mie binafsi naweza kujieleza kua katika maisha kuna aspects nyingi tu za mwanadam.
Kuanzia maisha yake ya ndani binafsi ye na familia, ya kijamii, kiuchumi na kisiasa.
Naweza kusema katika aspects hizo za maisha baadhi yake kama Kisiasa na kijamii sizipendi zote zitokazo west.
Kwasababu Siasa zao za kibabe zilizopambwa kwa jina la democracy na issue za kijamii ambazo zikitajwa hapa we mwamba huwa unapiga kelele ukidai zinakutia kichefuuuu kama ushoga na mengineyo. Ila haina maana ya kusema ninawachukia kwa kila kitu.
Na ni vitu hivyo hivyo ambavyo binafsi nimeviona na sivipendi lakini kuna mtu anavipenda na kuvihusudu kwa kuvifanya sehem ya maisha yake 😂
Kwa kua kila mtu na taste ake basi tupeane uhuru kila mmoja amtulie na lake kiroho safi 🤗. Na atakaye amua kutaka ku'challange kile anachokiamini mwenzie basi akichallenge with facts ambazo sio double standard.
Kwenye nyeusi iitwe nyeusi na nyeupe iitwe nyeupe. Sio kugeuza geuza mambo kingese kisa flan au kundi flani limesema au kufanya na hii tabia anayo sana msee flan na toto flan hivi 😂😂😂
Tuishie hapo point angu imejificha ila naamini una akili timamu kuifichua 👊
Kwaherini kwa leo.
Binafi ni mfuatiliaji mzur sana wa jf siwez lala bila kuchungulia humu ila hua naishia kua msomaji wa koments tu mana mwandiko wangu ni mbayaBaabeki na usingizi hadi umekata 😂😂😂 wazo zuri bro.
Ila mie binafsi nikiulizwa unataka kufundisha nini nitajibu kua.. nataka kufundisha namna ya kuelewa na kukichambua jambo sio misimamo niliyonayo au mawazo niliyonayo.
Kwanini nasema hivi?
Ukimfundisha mtu namna ya kuelewa, kesho hata kaa haupo. Mbinu zile za kuelewa na kutambua jambo zitaendelea kuwepo so haitakuwa kazi kwake kukichambua na kuutambua ukweli.
Ila ukimfundisha mtu msimamo wa kile unachoelewa, kesho akikutana na jambo geni hatoweza kuling'amua kwasababu alichonacho ni misimamo sio uwezo kuchambua kilichopo mbele yake.
As usual narudia,
Ikiwa
A sawa na B
B sawa na C
C sawa na M
Kwa hizo statement ziwe CORRECT lazima A iwe sawa na M, Otherwise its FALLACY
Nataman kuendelea ila usingizi sasa 😂😂😂😂😂
@T14 ArmataMara moja moja tujikumbushe "vituko" vilivyokua vinatamkwa na wale waliokua wanajiita wataalamu/wachambuzi wa masuala ya kivita wakati operation ya Russia kule Ukraine ikiendeleaView attachment 2233348View attachment 2233349View attachment 2233350
Umenikumbusha mbl sn mkuu dah Kenya walipigiwa doner attack mby sn kule el adde nina mpk video yake aiseeeee Kenya hawatosahau kwame ile morning attackHivi,Wale vibaka wa Al Shabbab waliofyeka battalion nzima ya Kenya kule Somalia ilikuwa ni uzembe wa jeshi la Kenya? Na Wale wanajeshi wakenya waliokimbia wakawaacha wanajeshi wa Marekani wakichinjwa,ni uoga au ni uzembe? Bora hao warusi ambao si waoga kama wakenya.
Kabisa MKUU upo sahihi sana sana sanaaaMkuu, binafsi naamini Russia alipiga hesabu zake KWA muda mrefu sana. Na kama kuna mtu anadhani Russia waliweka malengo ya kufanya hiyo op KWA muda fulani YUKO WRONG.
Huwezi kuingia kupigana kwenye nchi nyingine bila kujipanga, kupiga mahesabu vizuri.
Usikute msela (Russia ) alipiga hesabu ya kupigana miaka 10 halafu sisi tunadanganyana eti alipanga kupigana mwezi 1.
Kwenye kitabu cha Sun Tzu anasema general mzuri ni yule anaeingia vitani akiwa tayari ameshapata ushindi.
"Malekani"ukweli ni kwamba Russia,anasilaha za Vita ambazo hakuna nchi imewahi kuzifikilia ,Ila zimefichwa kwa code's nzito Sana.marekani amejitahd kutoa misaada mingi ya silaha lengo alitaka kuona Russia anasilaha gani mpya !?, mwanzo Russia aliamua kutumia silaha za kawaida tu ,wamalekani walipo mwaga mi drone ya kutosha ,Russia akaona isiwe tabu akatoa silaha yake mpya Lazer,ambayo inaunguza drone kabla hazipiga shabaha, na hiyo ni moja ,je zingine ambazo bado zimefichwa !!!!?
hii Vita Ukraine na NATO,wakubali masharti ya Russia ndo ,suluhisho vinginevyo nchi ile itakuwa magofu yote!!
Hao ulowatag kuna mmoja ila basiNi kweli, Ukraine imezidiwa kila kitu na Urusi hivyo haiwezi kushinda kijeshi.
Ila msaada walioupata na wanaoupata mpaka Sasa umewasaidia mno kuchelewesha ushindi wa Urusi na kuwatia hasara kubwa.
T14 Armata Tsh
Miezi mitatu hamjamalizana na Ukraine wakati mlienda kutumia siku tatu. Huyo Finland mtamuweza wapi sanasana mtaishia kumkatia umeme na gesiWiki hijayo tunakwenda kumpapasa Finland
Hahahaha. Mtafute na afisa ushirika awasaidie kufungua saccos mpate licence ya operations. Mtatisha sana.Binafi ni mfuatiliaji mzur sana wa jf siwez lala bila kuchungulia humu ila hua naishia kua msomaji wa koments tu mana mwandiko wangu ni mbaya
Hili wazo limenijia tangu juzi baada ya kuona nondo mnazotema Pro Russia. Leo nmeshindwa kuvumilia imenbd nitoe la moyon.
Jusus mlokozi amekubali kua mwenye kiti napendekeza aanze kupokea jina la Taasisi yetu
duh hlf ukute ww ndo msomi wa ukooDa Mungu Aibariki Urusi
Hawa ndio Tegemeo la Usawa wa Dunia
Naunga mkono hojaHabarini ndugu
Nmekua nkifatilia koments kwenye huu uzi tangu unaanza mpaka kufikia hapa. Leo nimeamua nami nitoe ya kwangu kiduchu.
Nilichogundua ni kwamba pro Russia wako vizur sana kwa namna wanavofatilia mambo.
Ningependa kutoa wazo ' Pro Russia tuanzishe taasisi kwajili ya kutoa elimu kwa wenzetu wenye matatizo ya kung'amua mambo'
Ikiwapendeza laikin....ila tusiache kuwapelekea moto
Naunga mkono hadi mguu hii hoja... Nadhani vyema kuiihifadhi kwenye kumbukumbu zetu tutakumbushana siku za usoni namna gani hilo jambo linaweza kufanyika.Binafi ni mfuatiliaji mzur sana wa jf siwez lala bila kuchungulia humu ila hua naishia kua msomaji wa koments tu mana mwandiko wangu ni mbaya
Hili wazo limenijia tangu juzi baada ya kuona nondo mnazotema Pro Russia. Leo nmeshindwa kuvumilia imenbd nitoe la moyon.
Jusus mlokozi amekubali kua mwenye kiti napendekeza aanze kupokea jina la Taasisi yetu
Wewe utakua mwanafunzi wetu wa kwanza na utasoma bure kabisaHahahaha. Mtafute na afisa ushirika awasaidie kufungua saccos mpate licence ya operations. Mtatisha sana.