sasa ww ndo umetumia akili gan hapo ? yaan hao wanajeshi hawana familia ? wakifa nan anabeba majukumu hayo?Wana pesaza kutengeneza silaha zingine,alafu,mwanajeshi kufa vitani sio jambo la kuzungumzia,maana ndio kazi yenyewe bali,vita yoyote,ni lengo litimie,na sio vifaa wala mwanajeshi kufa. Na ndio maana,huwezi kukuta bendera inapepea nusu mlingoti eti wanajeshi wamefariki zaidi ya elfu 20 vitani. La maana ni lengo,na sio vifaa,au mwanajeshi kufa vitani. Tumia. Akili.
watafanya recruitment pia ya walez wa familia zilizoachwa na waliokufa ?Wanajeshi kufa haimaanishi kwamba hawatafanya recruitment nyingine,elewa kuwa,wao wanapima ubora wa silaha za NATO,na sio wanajeshi kufa, mwanajeshi kufa vitani sio jambo la kuzungumzia wala kujali,elewa. Raia akiwawa vitani kesi,na sio mwanajeshi.
umegunduaj kuwa wanakuwa na furaha?Ukijua maana ya kua mwanajeshi wala usingepata tabu kuandika yote haya,
Hivi ushawahi kujiuliza why wakiwa kwenye show kama sasa hivi wanakua na furaha?
🤣🤣duh hlf ukute ww ndo msomi wa ukoo
Tafsiri zake za kimakoloWe Jaluo umeaminishwa kwamba Watanzania wote hatujui Kiingereza au ni wewe ndio umeshindwa kuelewa hiyo habari ?
Hebu ondoa tafsiri zako za kitopolo hapa…
Amini nakwambia kama mtaweza hata kujigroup tu na mkakidhi vigezo vya usajili sitaishia kuwa mwanafunzi tu bali nitaweka na amana bila riba muizungushe. Mtakuwa ni bonge moja la insperation.Wewe utakua mwanafunzi wetu wa kwanza na utasoma bure kabisa
Mkuu Proved ProPutin hawataki kuamini kwamba Russia kachapika Ile mbaya huko ukraine kinyume na malengo na matarajio yake🤔Kusema Urusi alikuwa anapigana na mataifa 39 wakati hayo mataifa hayajapeleka majeshi yao sio sahihi.
NATO hawawezi kupeleka majeshi huko maana Ukraine sio mwanachama wa huo umoja, hilo naamini unalifahamu vyema.
Urusi anapigana na Ukraine tu inayosaidiwa kisilaha na mataifa ya NATO (tena silaha nyingi wanazopewa ni za enzi ya Ussr wanazozimudu vyema kutumia).
Kama Ukraine wangepewa zana za kisasa na hao wa magharibi kama wanazopewa Israel, naamini Putin angekua na wakati mgumu mno kuliko huu alioupata alipojaribu kuiteka Kyiv.
Hii Vita imeonyesha udhaifu wa jeshi la Urusi (japo ina nguvu) ila inaweza kupingwa tu (Although it is strong but it can be challenged).
Tsh dudus Jackal T14 Armata Coco Master Root
Nyamizi Frank Wanjiru Yoda
Vipi unataka uongezewe shimo huko nyuma uzidi kupanuliwaWewe andwanga huna hujualo zaidi ya kuhimili vitu vizito kwenye shimo hilo
PropagandaKwetu sisi Russia, mapambano nchini Ukraine tunachukulia kama ni maandalizi ya mzozo mkubwa wa kijeshi utaojiri kati ya Russia na nchi za NATO...
Kupitia opereshini yetu maalumu ya kijeshi nchini Ukraine tunapambana dhidi ya silaha toka nchi zote za NATO ikiwemo Marekani. Tutaona kwa vitendo, kupitia uwanja wa mapambano wa Ukraine, namna gani silaha zetu zilivyo bora dhidi ya silaha za NATO. Tunajifunza kwa ajili ya mpambano ujao kati ya Russia na nchi za NATO.
Ameongea hayo Prof. Alexei Fenenko katika TV ya taifa ya Russia na kuripotiwa na The New York Post.
======
View attachment 2233331View attachment 2233333
Hachana na hizo propaganda utazeeka mapema kwa mawazo Bwana mkubwaKuna hasara zaidi ya hii hapa anayoizungumzia Zelensky?!
Pamoja na drama zake zote, Zelensky anakiri kuwa Ukraine haitoweza kushinda vita hivyo na Russia...
Pili anaomboleza misiba ya mamia ya marubani wake walidunguliwa wakiwa kwenye ndegevita za Ukraine. Wengi wa marubani hao walikuwa wakijaribu kupeleka chakula, maji na madawa kwa maelfu ya wanajeshi wa Ukraine waliozingirwa Azovstal pamoja na kuwachukua majeruhi. Marubani wote wakaishia kufa kwa nyakati na siku tofauti...na mwisho hao wanajeshi waliozingirwa wapo mikononi mwa majeshi ya Russia
Hachana na hizi propaganda Bwana mkubwaWana pesaza kutengeneza silaha zingine,alafu,mwanajeshi kufa vitani sio jambo la kuzungumzia,maana ndio kazi yenyewe bali,vita yoyote,ni lengo litimie,na sio vifaa wala mwanajeshi kufa. Na ndio maana,huwezi kukuta bendera inapepea nusu mlingoti eti wanajeshi wamefariki zaidi ya elfu 20 vitani. La maana ni lengo,na sio vifaa,au mwanajeshi kufa vitani. Tumia. Akili.
Uzi wenyewe si unaona ulivyokaa kipropagandaHuyo bwana namfahamu ni mropokaji sana hajui kwamba Russia haina kabisa uwezo wa kupambana na Nato kwenye madani ya kivita.
The guy is a boot licker of the Russian dictator Vladimir Putin, he doesn't speak of the Russian military losses in Ukraine that has been the main reason for its failure to topple the Ukrainian government as it had originally planned.
The war that was to be fought for only three days is now entering its forth month and with its end not on horizon.
Hachana na propaganda Bwana mkubwaAti! Hivi Nato wanavyohaha dhidi ya Russia alafu we unasema hawana uwezo wakupambana nao? Kwani hujiulizi kinachomfanga Nato ajitanue kuelekea mashariki ni nn?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hachana na propaganda Bwana mkubwaHaaa! Ktk Vita Hasara haiepukiki.
Vifo vya askari ni kawaida na ulipuwaji dhana ni kawaida pia.
Hakuna mahali popote Urusi ilitoa muda wa operation.
Tazama maelfu ya Wapiganaji wamejisalimisha na bandali imetetwaliwa mbali na climea.
Luhansinky na Donenky wanajitenga.
Bandari ya Ok Odesa imefungwa.
Waukraine wamekuwa wakimbizi.
Miundombinu ya Kijeshi imekufa.
Naweza sema walioko krk mapambano ni Mataifa 40 dhidi ya Moscow.
Njaa na mifumko ya bei Ulaya imekidhili bora Africa.
Putin sarafu yake imepanda na Vita inaendelea.
Baraka tele.🤣🤣
Nimekaa zangu na maharagwe yangu na ki Itel changu hapa huko duniani watu wanatishiana misuli na kuangamizana naangalia kama movie, Mungu ibariki Tanzania
We jamaa kichwa Sana..Eiwaa taratibu unakuja kwenye point yangu.
Awam hii ngoja nirefushe maelezo nimalizie maana hapa kope zishaanza kupendana. [emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Naweza nikasema zaidi ya 90% ya binadam wa kileo hatuna uwezo wa kucontrol fikra zetu. Ni wachache mno waliobarikiwa hilo jambo.
Mind zetu zinanjaa ya Perfection, tuko makini sana kutafuta kasoro kuliko lile zuri lililopo mbele.
Mbaya zaidi fikra zetu zimetawaliwa na hisia zaidi kuliko kuuruhusu ubongo kufanya kazi yake.
Leo hii mtu akipenda (mahaba yakiwa juu) anafunika kila udhaifu ulio mbele yake. Na hii aina binafsi huwa siioni kama ni mahaba bali upumbavu. Mahaba sio kukana udhaifu bali kuuona udhaifu kisha kuuridhia kwa kuamini hakuna kilicho timilifu.
Vile vile leo hii mtu akichukia nukta katika wewe, basi unakosa zuri kwake. Lolote utakalofanya atakuwa anatafuta kasoro. Huyu naye anakuwa anaendeshwa na hisia zaidi kuliko kuupa uhuru ubongo wake ufanye maamuzi. Nayo hii ni aina nyingine ya upumbavu vile vile.
Hapa kwenye huu uzi mainly ziko team mbili. [emoji23] Team NATO na Team Russia (na mie nikiwemo). Katika hizi team mbili kote kote kuna watu wanajielewa na kuna watu ndio vile tena tafran [emoji847]
Kuna watu katika makundi hayo mawili wana mahaba sana, na kuna wengine wana chuki sana. Mwenye mahaba hata ukimletea taarifa ya Uongo maadam inamfurahisha haipingi wala kujiuliza uhalisia wa kilichozungumzwa [emoji1787].
Na yule mwenye chuki nae akifikishiwa taarifa hupinga pia hata kama ni ya kweli maadam haimpendezi hatoikubali.
Me naamini sio kila msemo wa kiswahili lazima utimie [emoji848], hivo unaweza kupenda boga ukachukia majani yake. Mfano mie binafsi naweza kujieleza kua katika maisha kuna aspects nyingi tu za mwanadam.
Kuanzia maisha yake ya ndani binafsi ye na familia, ya kijamii, kiuchumi, kibiashara na kisiasa.
Naweza kusema katika aspects hizo za maisha baadhi yake kama Kisiasa na kijamii sizipendi zote zitokazo west.
Kwasababu Siasa zao za kibabe zilizopambwa kwa jina la democracy na issue za kijamii ambazo zikitajwa hapa we mwamba huwa unapiga kelele ukidai zinakutia kichefuuuu kama ushoga na mengineyo. Ila haina maana ya kusema ninawachukia kwa kila kitu.
Na ni vitu hivyo hivyo ambavyo binafsi nimeviona na sivipendi lakini kuna mtu anavipenda na kuvihusudu kwa kuvifanya sehem ya maisha yake [emoji23]
Kwa kua kila mtu na taste ake basi tupeane uhuru kila mmoja amtulie na lake kiroho safi [emoji847]. Na atakaye amua kutaka ku'challange kile anachokiamini mwenzie basi akichallenge with facts ambazo sio double standard.
Kwenye nyeusi iitwe nyeusi na nyeupe iitwe nyeupe. Sio kugeuza geuza mambo kingese kisa flan au kundi flani limesema au kufanya na hii tabia anayo sana mzee flan na toto flan hivi [emoji23][emoji23][emoji23]
Tuishie hapo point angu imejificha ila naamini una akili timamu kuifichua [emoji109]
Kwaherini kwa leo.
Usipoteze muda wako siku nyingine kuandika upupu kama huu JF.Imekuwa ni ndoto ya nchi za magharibi kutafuta njia ya kuidhoofiosha Urusi kiuchumi na kijeshi, lakini bila wao kupambana na urusi ana kwa ana!! Kwa hiyo walikuwa wanatamani kupata nchi ambayo wataichonganisha na urusi halafu waisapoti hiyo nchi kwa silaha na pesa..
Unakataa? Aljazeera wamerepotiUsipoteze muda wako siku nyingine kuandika upupu kama huu JF.