Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Uwezo huo hana maana Ukraine Tu inamtoa makamasi mixer mikojo na mavi ndo sembuse full mziki wa nato?.... Russia waache kuota😂
 
Ni wapi wameandika watamgeuka Zelensk?. Siyo mnaleta propaganda hapa
Unategemee waseme wazi? Kama unafuatilia, waziri mkuu wa uingereza alisema ushindi utapatikana kwenye uwanja wa mapambano. Hiyo ilikuwa mara baada ya mazungumzo ya amani nchini uturuki na baada ya hapo Zelensky akavunja mazungumzo!! Leo anaposema vita itaisha kwa mazungumzo maana yake anapinga mawazo ya wafadhili wake ambao wana malengo yao! akikwamisha malengo tayari atakuwa adui!! huo ni ukweli ulio wazi! mabepari huwa hawasaidii kwa faida ya msaidiwa bali kwa faida yao!!
 
Ang’ate shuka tujue moja kwa huyu dhwalimu
 
Akianzisha Tu ndo utakuwa mwisho wa Russia... Nato wanamsubir aingie choo cha hospital wamalize ndio maana wanampa dogo silaha kila kukicha ili kumzingua Russia akanyage cable😂na babu akishalewa vodka anatishia kulindoni na nato mamaeee😂😂
Da Mungu Aibariki Urusi
Hawa ndio Tegemeo la Usawa wa Dunia
 
Ni wapi walipoandika watamgeuka Zelensk. Zelensk kila anachofanya na kuongea kwa sasa kina Baraka za USA n NATO
Wanamnukuu Zelensky akikiri kuwa vita itaisha kwa mazungumzo!! hapo katikati aligomea mazungumzo na kudai atashinda kwenye uwanja wa vita!! Kwa nini amebadili msimamo!! Ameona maji nyamezidi unga!! Silaha anazopewa zinateketezwa kabla hazijatumika!! Amekata tamaa!!
 
Kumbe ni mawazo Yako mimi nikajua hivyo vyombo ulivyovitaja vimeandika haya uliyoyasema kumbe hamna kitu.

Ndo maana nimekwambia hachana na Propaganda.
 
Putin akishalewa vodka anazingua... 😂 rehearsal wakati kila kukicha anachezea vitasa 😂😂
 
Niswala la muda tu mwamba ataidhibiti nchi yote.
Huyu huyu u mwingine

 
Russia mwenyewe amelilia mara kibao kutaka mazungumzo hadi kulalamika Zelensk anakwamisha mazungumzo.
 
Bwana Hitler alifurumushwa na red army! Ikumbukwe Hitler aliposhindwa kuingia Moscow ndio ikawa mwanzo wa mwisho wake!
Na hiyo ilikuwa ni moja ya zinoitwa "Hitler's military blunders" ambapo mojawapo ilikuwa ni hiyo ya kujaribu uwezo wa Red Army.

Ilikuwa ikiitwa kampeni ya "Eastern Front" katika operesheni ambayo ilibatizwa jina la Barbarossa ilokuwa ni ya kujaribu kuwakoa watu wa Mussolini.

Majeshi ya Hitler yalifika mpaka Leningrad lakini hawakuweza kuudhibiti huo mji kiujumla.

Kumbe Red Army walikuwa wanawasubiri na kichapo kwa wanazi wa Hitler ndipo kilianzia hapo.

Kisha historia yasema mwaka 1942 Hitler aliamuru majeshi ya Ujerumani yavamie visima vya mafuta ya Urusi katika eneo la Caucasus kwenye mji wa Stalingrad. Kichapo walopewa wajerumani hawakukisahau maana vita hiyo ilibaitzwa jina la "battle of Stalingrad".

Mambo yote tuyaonayo leo ni historia kujirudiarudia.
 
Status ya malengo ya mabepari ipo vp? Huwezi kusema amekwamisha malengo bila kujua status.
 
Mkaza fuvu kazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…