Wala nisingefanya hivyo bwana Lee van cliff.Hamna nimejihami TU,maana nilijua nimeingilia ugomvi sio wangu,Sasa nikahisi hapa utanishukia kama mwewe mwenye njaa amshukiavyo kifaranga.
Huoni numefanikiwa kuku pre empty.
Hatimae umenijibu kiungwana kabisa.nami Sasa nimekua huru.?
Viva Russia kwa balance ya ulimwengubora Putin angekufahamu
Vipi hapo Ukrain ya Igwamanoni mnaendeleaje!?Wala nisingefanya hivyo bwana Lee van cliff.
Safi sana Pro Russia ,hoja zinajibiwa kwa hoja.Mkuu baada ya kupata muda kidogo nimepitia hoja za Galip Vrl na naweza sema nisahihi alichokiongea kutokana na alivyoelewa nilichokiandika ila haikuwa maana yangu niliyo kusudia.
Kwa anaefuatalia mgogoro huu sidhani kama yupo ambae hajui kama kuna Operation mbili ambazo Putin anapambana nazo kwa wakati mmoja.
1. Operation ya kijeshi, hapa nikati ya Russia Vs Ukraine+USA&NATO
2. Operation ya kiuchumi, hapa nikati ya Russia Vs EU&USA
Na Operation zote hizo Urusi alijua kabisa kabla ya kuanza Operation yake uwezekano wa hizo operations kuwepo ni mkubwa na naamini aliweka alternatives na mikakati mapema kabla ya kuanza Operation na ndo maana tunaona namna anavyowapiga EU kwa jiwe moja la uchumi baada ya wao kurusha 100.
na kila anae shiriki mgogoro huu kuna uwezakano mkubwa wa kujua weak points za opponent(s) wake na ndo maana tumeona maeneo mhimu nchini Ukraine ndo moto ukiwaka na mengine kuthibitiwa kwaajili yakuja kutumika kama bargaining matters wakati na baada ya mgogoro kuisha. Mfano; Juzi Urusi imewambia UN&EU bila kuondolewa vikwazo Bandari ya Ukraine hatuifungui kuwasambazieni chakula lasivyo mtakula vikwazo vyenu (Hiyo kwa EU ni weak point)
Kuhusu sababu za Urusi kuivamia Ukraine siyo kwamba nikusudi la Urusi kama Galip Vrl alivyonielewa au kufikiri ndo maana yangu. Bali nilijaribu tu kuonesha Urus ilivyotumia Upenyo wa Ukraine kuleta kelele za NATO kuanza kupambana na adui wake walio nyuma ya Ukraine na kuyatenganisha/kuyakomboa majimbo ya mashariki mwa Ukraine kwa sera ya kuyatambua kama majimbo/nchi huru, ambapo ni reality baada ya kupata huo uhuru lazima yatakuwa loyal kwa Urusi.
Sema nafurahi sana kubadilishana na kueleweshana mawili matatu na wakuu wa Jf hasa Pro-Russia kwenye Uzi huu na Pro-NATO wanaopenda kujadili hoja na siyo propaganda za BiBiSi, naamini hata Putin angekuwa anatumia JF basi angedhani Tanzania kuna jimbo la Urusi lenye warusi wazawa wanaoijua vizuri Russia.
Hongeren sana kwenu Pro-Russia[emoji120]
Mlokozi.Vipi hapo Ukrain ya Igwamanoni mnaendeleaje!?
Ha ha ha haaaa! Si umetaka tuchangie uzi huu kishabiki, sawa tuendelee!!!na kyiv mlienda kuwachukua wanaozungumza lugha yenu pendwa ?
Wambie Ak-47 ndio iliyo ikimbiza Marekani na mashoga zake nchini Afghanistan na Somalia.Vita ni mbinu sio kuwa na silaha mpya au za zamani[emoji28]!
Hata ukipewa shehena ya AK 47 kama huna mbinu kipigo kitakuhusu tu. Hao si wamepewa Javelin mlizosema ni anti tanks mbona sahizi kimya wakati mlisema wanaharibu vifaru vya mrusi kama biskuti.
wakuu ila tukiacha ushabiki wa pro-max tukarudi kwenye uhalisia basi kwa pamoja tutasema Putin ni Kichwa haswaa. Kuendesha operation zote mbili(kijeshi na kiuchumi) kwa mpigo against nchi zaidi ya 30+ zenye nguvu na bado unazitoa jasho siyo jambo la kawaida. Sisi wengine kelele za wake zetu tu ndani huwa zinatuvuruga kichwa tunakimbia ndani na kwenda kushinda bar, vijiwen na n.k sembuse makelele ya USA, NATO na EU.
Mzee putin apewe heshima yake haijalishi wewe ni pro-Putin au pro-NATO penye ukweli tusimame pamoja.
Kabisa Yaani.🤣🤣🤣Kama vile Urusi na NATO wamepinga mchezo wa kuputa🤣🤣🤣 ... Ukraine Kila akitaka kula ( kupokea silaha ) warusi wanaputa .....
Hahahahah kumbe machoko wa NATO walitoka mduki Afghanistan baada ya kuchezea za mbavu🤣🤣🤣Wambie Ak-47 ndio iliyo ikimbiza Marekani na mashoga zake nchini Afghanistan na Somalia.
😄😃😀Wasukuma wanaita SIKUREPA .....🤣🤣🤣
😂😂😂Sisi Ni Dona kantri.
Basi safi,mie napenda tuifanye mijadala hii kama sehemu ya kuelimishana wala isiwe kuchukiana.Wala nisingefanya hivyo bwana Lee van cliff.
Uzuri wa mrusi anawabinya kende na plaizi taratibu tu wala hana papara. Kila wanalopanga wanakuta jamaa ana mbadala wake😅😅😅 wanaitana tena vikao kama ndugu na mshenga ukweni!Da kusema kweli Mzee mzima USA safari hii kakutana na mbabe mwenzie.
Yaani Kila Marekani akishusha mzigo wanaume wanaula kichwa.
Aloo Urusi sio congo.