Wooiiiii sema spana zimezidi unakimbia nani analishwa humu ndani kila mtu anamajukumu anyway wasalimu hapo Ukraine ya msambweniHili nimelifanya sababu najua sina muda sana humu ninarudi kwenye majukumu na NITAWAMISS SANA. Ningeweza kuweka picha kabisa ila sasa itakuwa balaa.π
Dont take it too serious huu ndo ujumbe wangu ninaokuacha nao.Wooiiiii sema spana zimezidi unakimbia nani analishwa humu ndani kila mtu anamajukumu anyway wasalimu hapo Ukraine ya msambweni
Pamoja Jomba... amani amani... kila la kheri kwenye shughuli hizo.HAYA NDUGU ZANGU NAWASHUKURU KWA KAMPANI. WALE TULIOTUKANANA TUSAMEEANE, NARUDI KWENYE MAJUKUMU YANGU AMBAYO HANIRUHUSU KUWA NA FAKE ID. NA HII NDO COMENT YANGU YA MWISHO HAPA. NIWATAKIE KILA LA HERI NA TUSIACHE KULIPA KODI.
Lazima avuliwe sketi achanwe rindaKuna mtu anaviziwa[emoji16]View attachment 2232711
Da Safi sana mdau,umefanya rejeo vizuri sana.Kabisa lee van cliff inabidi kuwakumbusha hawa wadau mitazamo yao ilivyokua na sasa hali ilivyo maana huwa tunatumia history + current situation ili tuweze kupredict future itakuaje.
Mara moja moja napitia post za nyuma kuangalia ilivyokua na ilivyo sasa.
Russian block bado iko stable toka operation ianze ikiongozwa na wazee wa surgical operation "surgeons" kama Galip Vrl Bwana Utam green rajab Sikirimimimasikini RTI wa kupuliza Champagnee bila kusahau mzee wa "hot news" NYUNDO YA MOTO kuna specialists wakutosha kama DeepPond Extrovert TUJITEGEMEE George Betram Ask HQ Jesus Mlokozi ngaboru desayi Mr Tyang Nkuba25 Carlos The Jackal Katunge World Wide lee van cliff Kizibo Mtoto wa nzi na wadau wengine wengi sana
Kwa upande wa Ukr/NATO block, surgeons wengi wamekimbia uzi ila wamekua wanapita mara moja moja kuangalia maendeleo kama Nyamizi Frank Wanjiru MK254 wakabaki wachache kama Omary - Msamalia Mwanamkiwi Tsh britanicca baadhi ya specialists wao bado wanapambana ila wanakutana na pingamizi kali kutoka russian block CHAMASON-MORISON-SAKHOSON Proved Jackal bila kumsahau general practitioner YEHODAYA na wengine wengi.
Hapa katikati wamepotea wadau wachache ambao tulitamani kuona michango yao mfano T14 Armata aliyekua mchambuzi wa masuala ya kivita japo alionekana kuwa na imani sana na silaha za nchi za NATO/ulaya kama Javelin, stingers, manpads, howtizers bila kusahau drones pendwa aina ya Bayraktar TB2 kutoka uturuki ambazo zimeonekana kudhibitiwa na Russian army.
Operation hii imekuja na mambo mengi mfano kuna watu walikua na uhasama kwenye siasa za ndani ila kwenye siasa za nje wakaungana wakawa block moja mfano Salary Slip na johnthebaptist
Nawasihi Ukr/Nato block warejee tuendelee na mijadala maana hii vita imetufungua macho vitu vingi kuhusu hizi siasa za kimataifa.View attachment 2234117View attachment 2234119View attachment 2234120
Hatuez toboa kama viongozi wenyewe ndo walamba asali wanamdanganga bibi wa watu kutwa kiguu na njia ruslts zeroTanzania wana diplomasia ya uchumi lakini wameshindwa kuchangamkia fursa ya mafuta ya bei rahisi pamoja na mafuta ya kupikia hii yote inatokana na kuongozwa na viongozi pro nato ambao hawajitambui.
[emoji23][emoji23][emoji23]Msameeee aiseee asije akajimwagia supu yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sio kwa spana hizo.
Ili iwe Nini?! Wasipochukua itakuwaje?!Zenensky:Umoja Wa Mataifa Na Msalaba Mwekundu Wawaagiza Urusi Wakachukue Milima ya Mizoga Ya Wanajeshi Wao Huko Ukraine π€
Zelenskyy says UN, Red Cross order Russia to take its 'mountains of corpses'
Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy say the UN and the International Committee for the Red Cross had to tell Russian President Vladimir Putin to take his corpses.www.foxnews.com
π€£π€£π€£π€£Kashanyoosha mikono tuwatendee kama Putin anavyowatendea uko siteππππsijui kama atalala leo ashaanza kuaga mapema na kazini kwake hawamruusu atumie ID fake ukiendelea ataama mazima jf.[emoji23][emoji23][emoji23]
Hamna tunajaribu jaribu kunyoosha na kukunja samaki zingine zilizokauka.... ingawa its too risky, nyingi huwa zinaishia kukatika/kuvunjika.
Duh.......hahaha ujue ndiyo Kwanza nimetoka kanisani halafu nakutana na comment hii ya ' kutembea uchi ili kutamanisha watu'...duhπππHuyu YEHODAYA Hana lolote alikua anatafuta sababu TU, ya kutembea uchi ili kutamanisha watu.
Habari yako imetoka tarehe ngapi? Btw huna akiliJipe matumaini hewa tu na hivyo vistori vyako toka kwenye magazeti ya Kyiv ya kufungia maandazi...
Russia imesema haitowaachia huru hao wapiganaji wa Azov Nazis na tayari kundi hilo linafanyiwa mchakato wa sheria nchini Russia ya kutambuliwa rasmi kama kundi la kigaidi...kisha ndio habari yao inamalizikia hapo
View attachment 2234053View attachment 2234054
three months is over, hakuna hitajio hata moja la russia lililotimia, makanali na wanajeshi wastaafu wa urusi wametoa tathmini nzuri sana kwamba russia imeshafeli hawa wengine tunaachana naoKwetu sisi Russia, mapambano nchini Ukraine tunachukulia kama ni maandalizi ya mzozo mkubwa wa kijeshi utaojiri kati ya Russia na nchi za NATO...
Kupitia opereshini yetu maalumu ya kijeshi nchini Ukraine tunapambana dhidi ya silaha toka nchi zote za NATO ikiwemo Marekani. Tutaona kwa vitendo, kupitia uwanja wa mapambano wa Ukraine, namna gani silaha zetu zilivyo bora dhidi ya silaha za NATO. Tunajifunza kwa ajili ya mpambano ujao kati ya Russia na nchi za NATO.
Ameongea hayo Prof. Alexei Fenenko katika TV ya taifa ya Russia na kuripotiwa na The New York Post.
======
View attachment 2233331View attachment 2233333
Kama Russia angekuwa na uwezo nae angejitanua kuelekea karibia na USA, ungeona MotoAti! Hivi Nato wanavyohaha dhidi ya Russia alafu we unasema hawana uwezo wakupambana nao? Kwani hujiulizi kinachomfanga Nato ajitanue kuelekea mashariki ni nn?
Sent using Jamii Forums mobile app
Utafikiri kuna mtu kauliza kazini zinatumika ID gani... vijana w Fedha.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kashanyoosha mikono tuwatendee kama Putin anavyowatendea uko site[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijui kama atalala leo ashaanza kuaga mapema na kazini kwake hawamruusu atumie ID fake ukiendelea ataama mazima jf.