Tuliwaambia wakabisha sasa hivi nato wanazidi kuiogopa russia baada ya silaha zao kali walizo peleka kuchakazwa vibaya hadi majuzi serikali za nato walikuwa wanaulizana silaha wanazo peleka ukrain ni nyingi kuliko matokeo ya madhara kwa urusiWamejificha kama panya [emoji23][emoji23]
Sure walikuwa kwenye mahandakiRuss
Russia wanafanya propoganda,wenye tabia za WaNazi ,kina Hitler ni wao!
Viva Russia, hii ndo Russia iliyokua haina chakula na wanajeshi wake mstari wa mbele waliishiwa chakula pia. Ahsante PutinView attachment 2234453
❗️Russia's MoD has published a video of another batch of humanitarian aid being delivered to Melitopol.
Subscribe to @sputniknewsus
Ebu acha ukorofi wako bana.
Subiri waje jamaa wa mtaa wa pili utaona watakavyodharau😂😂😂Marekani inaripoti kuwa Russia imetumia mashambulizi ya ndegevita na mizinga kupelekea moto mkali kwenye mikoa ya Donbas na Mykolaiv ambapo wamewachoma wanajeshi wa Ukraine, na kuunguza maghala ya silaha za Ukraine pamoja na vituo vya kutoa kamandi za kijeshi.
Marekani imeendelea kuripoti kuwa mpaka leo hii, majeshi ya Russia yameshachoma jumla ya droni 977 za Ukraine, ndege vita 174 na helikopta 125 vya Ukraine. Aidha Marekani imeripoti pia kuwa majeshi hayo ya Russia hadi leo May 22 yameshashambulia na kuchoma jumla ya mifumo 317 ya ulinzi wa anga ya Ukraine pamoja na vifaru/magarivita 3,198.
Habari hiyo imekuja sanjari na kauli ya Zelensky ya kukiri kwa moyo na kutamka kwa ulimi (video ya Zelensky naiweka hapo chini) kuwa Ukraine imepoteza marubani wengi mno huko Azovstal, Mariupol, walipokuwa wakijaribu kurusha ndege zao ili kupeleka chakula, maji, na madawa kwa maelfu ya wanajeshi wa Ukraine waliokuwa wamejificha kwenye mashimo kama panya huko Azovstal. La kusikitisha ni kuwa wanajeshi hao wote (zaidi ya 2400), pamoja na makamanda wao, wameishia kusalimu amri kwa wajeda wa Russia na kukamatwa kama makuku ya broiler.
=======
View attachment 2234461View attachment 2234462View attachment 2234463
Mwamba naamini wa kuelewa wataelewa.Shukran sana mkuu kwa utambulisho mujaarabu kabisa wa timu zote katika hii operation na umemaliza kwa kutoa nasaha nzuri sana ya kuwaomba PRO-NATO Kurejea kwajili ya mijadala ila chakusitikisha nikuwa hawataweza kurudi kwa kasi ile ya mwanzo kwasababu walichokuwa wanakifahamu au kufikiri kuhusu Westerners nitofauti kabisa na wanachokiona sasahivi.
Watu walio anza kuifuatilia Urusi baada ya hii operation kuanza ndo hawa PRO-NATO waliopotea kwa kasi maana walidhani USA&NATO+EU zinavyo ogopwa na kutetemekewa na nchi zao masikini basi itakuwa hivo hivo hata kwa Russia, na wakati wanaambiwa kuwa Russia siyo Zimbabwe nadhani hawakujipa muda wa kuutafakari vizuri huo usemi, kama wangeufanyanyia kazi huo usemi basi pengine wangeelewa uhalisia wa nguvu ya Russia na wangebadili akili zao nakuanza kuchambua operation hii kwa facts na siyo kwa mahaba ya USA&NATO kisa tu walisikia story za USA&NATO walivyozichapa Libya, Yugoslavia, Iraq na Vietnam(japo kwa Vietnam USA maji aliyaita Mma).
Wito wangu kwa PRO-NATO mliobaki mkitaka uchambuzi wenu uwe na mashiko na wenye nguvu basi naomba muelewe huu usemi wa RUSSIA SIYO ZIMBABWE WALA ESTONIA NI THE GREAT RUSSIA FEDERATION baada ya hapo naamini ndo tutaanza kwenda sawa hata kama mawazo nitofauti ila bado hayatoki sana kwenye uhalisia.
Hii picha inatia huruma kwa kweli,dogo Zele anaonekana mnyonge kweli.
Inashangaza saana kuona Ukraine anateka raia wake mwenyewePro russia wengi humu ndani ni vichwa maji
Kufa kifala nako ni ufala wa kikomandiVitani lazima watu wafe hata utumie strategy ya maroboti
Hii vita sio vijana tu mpaka wazee.View attachment 2234416
O michezo yake iyo marekani,Marekani atanufaika na kudai mabilioni yake hayo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nope Bei za tank pm, naweza kukuungisha pro-russia mwenzanguDaadeki show kali... wapambane tu na hali zao... Kama una namba zao nigei huku "tanks" tunazo pia kubwa za kutosha View attachment 2233456
Anatapa tapa TU kama mfa majiIla huyu mwamba kuna mda anatia huruma basi tu.
Mfano kwa waliomsikiliza hotuba yake yote, kuna sehem anaelezea idadi ya marubani na ndege zilizopotea katika attempt ya kutaka kuwaokoa wale panya waliokuwa kule Azovstal...
Ili Polish solders wakapigane Vita.President of Ukraine Volodymyr Zelensky intends to submit a bill to the parliament that will establish a special legal status for Polish citizens in the country, said Olga Sovgirya, a representative of the Verkhovna Rada in the Constitutional Court of Ukraine.View attachment 2234353