NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Nime weka like kama vile Mimi ndio putn😂😂Viva Russia, hii ndo Russia iliyokua haina chakula na wanajeshi wake mstari wa mbele waliishiwa chakula pia. Ahsante Putin
Ni kweli wanamwogopa Putin maana tangu mwaka 2008 (uvamizi wa Georgia) alianza kutenda kama mkorofi. Marekani inaona anasumbua kwa sababu wenyewe wanapendelea kuendelea kama wakorofi wakuu duniani....Kusema NATO haijapeleka jeshi kwa sababu Ukraine sio member ni kujiFicha kwenye shamba la karanga!
Swali, hizo nchi zote walizowahi kupeleka ma/jeshi zilikuwa wanachama!?
Kubalini tu wanaiogopa Urusi!!! Na wao wenyewe wamesema kwa lugha ya 'kuavoid direct confrontation with Russia'
Peleka jeshi Puti aminye kitufe chekundu. Kuna anayetaka kubaki historia kwenye hii dunia!?
Hiyo ni vita ya kibiashara! inataka nchi zingine ziache kununua drones hizo za uturukiKwahiyo USA anataka kusemaje!?
Mbona anajibu ndugu?Una tatizo gani ndugu? Mbona nimekuuliza swali rahisi tu wewe unajibu kingine.
Out of point!pamoja na pumba zote hiz umeandika , Ukraine imevamiwa na inaoambana kama.walivyopambana babu zako dhidi ya uvamiz wa wakoloni , au na wao walikuwa wanatumika kuwadhoofisha wakoloni ?
Niliwaambia hii vita imeisha na Russia ameshinda. Fikiria drone zilisumbua lakini dawa imepatikana within short time. Nguvu ya Russia ni vifaru na ndio vimeanza kazi . Russia ameongeza wanajeshi na mifumo ya ulinzi wa anga. Majeshi ya Ukraine yanajificha kwenye mitaro na maporomoko wanaogopa battle . Russia anawaona maana anga la mashariki kalishika anaona hata mabondeni .Kitakachokwenda kutokea sasa ni NATO kuweka wajeda wao rasmi sijui kama watakubali kushindwa coz wajeda wa Ukraine waliokua wanategemewa ndio hao washakamatwa hahaha naona kama vita ndio imeanza sasa ila huyu comedian angekubali mashart ya urusi wasingefika huku sema alikaza pole yake!
Ndiyo ni kujigamba. Nchi zote zenye silaha za nyuklia wameshajadili kila uwezekano tangu miaka 60 hivi..... hii ni sababu kwamba wote wana nyambizi zenye roketi za nyuklia. Tabia ya nyambizi ni, inatembea chini ya maji inaweza kurusha roketi kutoka mahali chini ya maji ambako haionekani.Hivi huko ni kujigamba?! Hizo nuclear za Uk zitaipiga Russia saa ngapi wakati Uk itakuwa imeshafutwa kwenye ramani na hypersonic missles carrying nuclear warheads?! Hypersonic missles cannot Be detacted...mnashitukia tu mmeshatwangwa...ukitaka uelewe vizuri mchezo wa vita vya nuclear soma vizuri nuclear doctrines za West (na hasa USA) na Russia...doctrine ya USA ni first strike yaani awe wa Kwanza kurusha makombora. ..na ndiyo maana USA hupenda silaha za nyuklia ziwe karibu na nchi zilizo karibu na Russia kama Ukraine, Poland na hata Rumania ili makombora hayo yatumie muda mfupi kwa first strike kwa miji kama Moscow...
Doctrine ya Russia kuhusu nuclear ni kutumia nuclear anytime dola ya Russia ikiwa hatarini kiusalama....Russia pia ana strategy ya 'dead hand' kwa maana kuwa kama leaders wa Russia wamekuwa wiped makombora ya nuclear automatically yanabonyezwa..
Aha haaa, kwa hiyo issue ni kusikitika na siyo idadi ya drones zilizoangushwa. Hapa ndiyo naanza kuelewa kwa nini wahenga walisema, bora ukose mali kuliko kukosa akili. Unabisha ili mradi ubishe.
Hiyo Supa Pawa inawasaidia nini?? Walipigwa Kyiv, walipigwa Kharkiv, wanapoteza watu maelfu kukamata vijiji huko Donbass, jeshi lao la anga halidhibiti anga juu ya Ukraine . . . . Super Power inawasaidia nini??? (na uchumi tuangalie tu..... )ICBM za USA hizi hapa:-
Active
KAMA NA HAPA HUJAELEWA KUWA RUSSIA IS A SUPER POWER. Basi wewe hutaelewa maisha yako yote.
- Minuteman-III (LGM-30G): Only land-based ICBM in service in the United States. The first MIRV (Multiple Independently Targetable Reentry Vehicle) missile.
- Trident II (UGM-133): Submarine-launched.
Ndio uposhaji wenyewe huo. Unaposema Marekani imesikitika wakati habari nzima hakuna sehemu inkaosemwa Marekani kwa akili yako ndogo hiyo kiasi huoni ni upotoshaji wa makusudi? Habari ya drone imetolewa na Wizara ya Ulinzi wa Russia. Wewe kwa kijaikili chako hicho, unategemea nini toka Wizara ya Ulinzi ya Russia?
Ule msafara uliogopesha sana, Putin akachimba biti kuwa salama ya askari wa Ukraine ni kuweka chini au kumkamata raisi wao.Kumbe Putin alijazwa upepo ya machuma ila vitani hakuna kitu.Urusi alianza kwa mzuka sana, akawa na limsafara la kilomita 60, tukajua Ukraine kwisha habari yake, nyuzi humu zikarindima kila uzi ukituahidi namna show itaisha kwa siku chache, ila Mrusi akasahau hamna kitu kigumu duniani kama kujaribu kupiga watu kwao hususan wenye uzalendo na nchi yao, utaanza kwa nguvu ya soda ila mwishoye utasubiriwa uanze kuhema na ndio kimemkuta Mrusi, leo hii anahemeshwa na kutafuta pakutokea.....
Hii ramani hapa inaonesha alivyokuwa amekaba maeneo, ila yanavyomtokea puani.....
In recent weeks, Russia has lost substantial ground that it initially captured after the start of its invasion in Ukraine.
When Russian President Vladimir Putin ordered the invasion in February, the Kremlin anticipated a quick takeover of Ukraine. However, Russia was met with surprisingly strong resistance from the Ukrainian people, who have put up an intense fight to protect their country.
As the invasion has continued, Russian military forces have largely been confined to the eastern part of Ukraine, including the Donbas region, with a report released Sunday by the British Ministry of Defence stating, "Russia's Donbas offensive has lost momentum and fallen significantly behind schedule."
Maps Show Where Russia Has Lost Ground in Ukraine
Ukrainian fighters have retaken several key areas in recent weeks.www.newsweek.com