Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tangu lile li msafara la km 60 kugeuzwa vyuma chakavu na Javelin niliona kumbe Russia ni chui wa makaratasi kijeshi
 
Huyu chizi huyu amwambie na marekani kapata profit kubwa kutokana na COVID 19 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ficha ujinga wako mkuu na huko kujilazimisha kugugo mambo usiyoyajua...

Teknolojia ya laser imekuwa ipo toka miaka ya 1960s, na nchi mbalimbali zimekuwa zikifanya tafiti za silaha za laser toka miaka ya 1970s.

Silaha hizo za laser zipo aina tofauti tofauti...Kama unavyosikia bunduki zilivyo na makundi mbalimbali na uwezo tofauti tofauti. Usikariri kuwa bunduki zote zipo na mundo au uwezo kama wa gobole.

Russia ilitengeneza silaha ya kwanza ya laser miaka mingi kitambo, mwaka 1984. Lakini silaha hizi za sasa tunazoongelea hapa ni aina mpya "generation mpya" ktk maswala ya ubora na uwezo ukilinganisha na zile ilizokuwa nazo miaka ya zilipendwa...NATO wenyewe wanakiri kuwa ni silaha ngeni (secret weapons) na hawafahamu undani wake.

 
Wote wenye akili timamu walishakupuuza

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Mbona wanaogopa kumpiga wakati kavamia Ukraine kama hazibadilishi kitu? Ww unajifanya mjuaji kuliko NATO!
 
Siijui Urusi wakati nakaa Urusi Au unamaanisha Urusi nyingine and for your few information nimeletwa na CCM Miaka hiyo kusoma baadhi ya vitu vya ndani kabisa
Baki navyo hivyo na ndani hata wapumbavu pia wanasoma na wajinga wanazeeka na wewe Ni mmja wao.. si ulisema hakuna mikate , supermarket ziko empty ,Urusi maisha magumu ....maandamano Kila kukicha si uondoke uende kwa mabwana zako ......
 
Hehehe mnatafuta vijisababu vya kufutia aibu, mwambieni aguze kataifa kamoja ka NATO ndio ajue wamemtamani sana.
Eti mwambieni aguse..... Punguzeni vikao vya kitchen party NATO.... Ingizeni timu hapo hapo Ukraine si mnapeleka silaha ambazo hazina watumiaji ...tumeni watumiaji na silaha zao kichafuke....
 
Hili jamaa taa.hira kweli unapoteza muda na energy bure.
 
Aise hii thinking ya Israel kila kitu ndio inatufanya tuwe watumwa wa kufikiri
 
Tunatakiwa tuelewe kuwa hata Watsi, na makabila mengi yaliyopo ukanda wa bonde la ufa ni descent wa Jews haijalishi rangi, kwahiyo Hawa Jamaa wako deep in our countries na siku wakitaka kufanya wanayohisi ni faida kwao watafanikiwa
Yaani mkimbizi kupewa uraia na akawa hana nidhamu kwa nchi ndio unaita deep, wanauana Kama nguchiro hao watusi hawana hata ustaarabu mdogo tu. They have nothing kwa Tanzania au Kenya. Wataishia kuvurugana na watusi na wahutu wa Rwanda, Uganda, DRC na Burundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…