NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Urusi endeleeni kutesti hizo silaha zenu, ila chonde chonde endapo mtatumia silaha ambazo Umoja wa Mataifa umezuia, aisee Urusi itafutika kwenye ramani ya Dunia.Tunatesti silaha mpya hapa za mionzi[emoji23]View attachment 2230407
Mna visa sana nyie. Putin ndiye kaleta kiangazi Afrika? Putin ndiye kasema msiwekeze kwa nguvu zenu zote miundo mbinu ya umwagiliaji, mbegu, utayarishaji shamba, uhudumiaji shamba, muache kukamilisha miundo mbinu ya SGR na bwawa la Mwalimu Nyerere mapema zaidi? Ebu tulizina kwanza!analeta njaa
NATO hawapigi Urusi kwa sababu si umoja wa uvamizi ni umoja wa kuteteana. Ilhali Ukraine si mwanachama wa NATO, katika kanuni zao hakuna sababu ya kuvamia Urusi.
Ila katika tishio la kinyuklia hakuna kilichobadilika kutokana na roketi hizo mpya.
ha ha ha - yaani huo ubavu autoe wapi, Mziki wa NATO ni balaa !! wale ndani ya masaa 4 tu wanaweza kupiga vinu vyake vyote vya nuclear anavyotamba navyo !!Yaani kwa akili zangu za Kitanzania ,ningekuwa Putin na mimi ningeanzisha NATO yangu
HIV watu wengi sijui huwa hamna timamu wa kumfuta Nani sasaUrusi endeleeni kutesti hizo silaha zenu, ila chonde chonde endapo mtatumia silaha ambazo Umoja wa Mataifa umezuia, aisee Urusi itafutika kwenye ramani ya Dunia.
We Bwana Mkubwa mwenye hekima, unasema kweli Afrika kuna ardhi yenye rutba. Kwa bahati mbaya rutba inajificha wakati hamna mvua. Kwa hiyo mavuno huko Kenya, zaidi Ethiopia na Somalia (pamoja na vita) yalifeli. Tokeo ni njaa na haja la kutafuta chakula nje.
Kama wewe, Bwana wa Hekima, unajua sababu nyingine kwa tatizo la njaa katika nchi hizo, tafadhali utuambie.
Au ukijua habari kwamba taarifa za njaa katika nchi hizo ni uwongo, tafadhali utuelimishe!!
Kwa sasa ninajua tu kwamba njaa iko, najua pia kwamba hawana uwezo kulipa bei za nafaka zilizopanda, kwamba taasisi kama World Food Programme (ambako Urusi inachangia kidogo sana, ilhali mabepari wabaya walipa kiasi kikubwa) haina pesa ya kutosha - na sababu kuu ni vita ya Putin na kufungwa kwa mabandari ya Ukraine.
Nikisubiri hekima yako kuhusu ukame, rutba na bei ya ngano, bado naona Putin analeta njaa na vifo hadi Afrika.
Hahahaha...anatisha kweli kama anajua LASER WEAPON ni modification ya LADAR kwa nini asiende USAF akawaelezee kwa undani ili vifaa vya visiunguzwe angani. Hana shida ya kwenda US kabisa akipeleka pale ubalozini watashukuru Sana na kumfanya msaidizi mkuu wa ubalozi masuala yote.🖕Mtaalamu wa silaha wa kidenzi wa kitanzania🤣🤣🤣. Eti naye anajua technology ilyotumika kuengeneza silaha inazoziunguza hizo drone. Mahajabu ya dunia bado yanaendelea kutokea
mbona hueleweki ndugu, tulia basi..HIV watu wengi sijui huwa hamna timamu wa kumfuta Nani sasa
Sent from my Nokia 4.2 using JamiiForums mobile app
ha ha ha - yaani huo ubavu autoe wapi, Mziki wa NATO ni balaa !! wale ndani ya masaa 4 tu wanaweza kupiga vinu vyake vyote vya nuclear anavyotamba navyo !!
Ukraine tu inamtoa jasho mwezi wa pili sasa ngoma isambe, itakuwa NATO.
usijitoe ufahamu, NATO imeshasema inalinda inchi moja ya wanachama wake, Mrusi ajaribu basi ashuhudie kipondo.Mataifa 30 against Taifa moja nani ni dhaifu hapo?? Na bado hao NATO wanamgwaya Russia. Dogo hao NATO wakisia Russia lazima wajinyeee hao ni wazee wa NO ACTIO TALKS ONLY.
Amepita bhaaanaMacron bila wasiwasi anaenda kushinda uchaguzi
Inaonekana haujui maana ya Operation na Vita kamili.usijitoe ufahamu, NATO imeshasema inalinda inchi moja ya wanachama wake, Mrusi ajaribu basi ashuhudie kipondo.
Achana na NATO, kwa sasa tujikite vita ya Ukraine ambayo sasa wiki ya tatu inakwenda hiyo goma bado bichi.
Kila siku wanasemaga hivi, lakini hakuna action yoyote wanayochukua.The European Union must take responsibility for its own security by creating a European armed force, EU diplomat Borrell said.
View attachment 2235113
Mkuu tubet au?..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji867]Mtaalamu wa silaha wa kidenzi wa kitanzania[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Eti naye anajua technology ilyotumika kuengeneza silaha inazoziunguza hizo drone. Mahajabu ya dunia bado yanaendelea kutokea