👆
lee van cliff TUJITEGEMEE wasaidieni pro-Putin wenzenu kujibu hili swali maana angalau nyie mnajenga hoja zenye mashiko.
Mkuu Proved heshima kwako.
Swali hili limeshajibiwa sana humu.
Ila NAMI nitalijibu Tena.
Hata hivyo kabla ya kulijibu nitakuuliza swali lkini sio lazima unijibu.
Mara kadhaa USA na Allies wake wamekua wakizisaidia nchi zinazopigwa na nchi kubwa kwa kuingiza majeshi kamili wala sio misaada ya fedha na silaha kama inavyofanya Sasa kwa Ukraine.
Nchi ambazo USA na wenzake waliingia majeshi kamili ni
1).Kuipiga Iraq ilipoivamia Kuwait,
2). USA NATO kuipiga Yugoslavia ilipowapiga wa waliotaka kujitenga wa Kosovo,Bosnia na Herzegovina.
3).USA na Ufaransa kuipiga Libya ilipokua ikipigana na waasi.
4).USA,UK na France kujaribu kuipiga Syria ilipokua ikipigana na waasi .
Kama walikua wanazisaidia nchi au watu waliokua wanapigwa na majeshi yenye Nguvu zaidi Yao,kwa Nini wao NATO wanashindwa kuingiza majeshi kamili nchini Ukraine kuisaidia kwa kua inapigwa naUrusi kama walivyofanya kwa nchi hizo nilizozitaja?Iraq, Yugoslavia, Syria na libya?
USA ni ileile,NATO ni ileile na EU ni ileile.Kimabadilika Nini Hadi wakawa wanatoa silaha na fedha TU badala ya kuingiza majeshi kamili.?
Sasa najibu swali lako.
Naamini kabisa Kabla ya OP hii Urusi alijua fika kuwa USA na NATO watamsaidia Ukraine kwa njia mbili.
1) watatoa misaada ya silaha,fedha na Intelijensia,au
2) wataingiza majeshi mazima.
Ndio maana Putin akasema nchi yoyote itakayomsaidia kijeshi ataipa vita ambayo haijawahi kutokea hapa duniani.
Na kusema kweli tamko hilo limesaidia sana na hata asingetoa tamko hilo bado hakuna nchi Ingekua tayari kuingia vitani na Urusi kati ya nchi za NATO kwa sababu ya kuogopa vita kubwa sana kuweza kutokea.
Biden mwenyewe aliwaambia raia wake kuwa hatuwezi kupeleka jeshi letu kupambana na Urusi kwa sababu "safari hii tuadili na Jeshi kubwa sana hapa duniani,Urusi sio mtanado wa kigaidi kama tulivyoziea." .
Lakini pamoja na maneno hayo bado wanatoa silaha na fedha kwa Ukraine.
Hivyo Kuna tofauti kubwa sana kati ya kuingiza jeshi kamili la nchi kwenda kupigana na nchi nyingine kuisaidia nchi nyingine,tofauti na kutoa silaha kwa nchi moja ili kuisaidia kupigana na nchi nyingine.
Kwa kifupi ni kwamba Urusi alionya nchi itakayojiingiza kijeshi mazima kuisaidia Ukraine itakiona Cha moto,lakini kuhusu kupeleka silaha hiyo haikua hofu ya Urusi.
Urusi sio wajinga ndugu yangu,waliyajua yote,hawakukurupuka,walikua wanaenda kuipiga Ukraine kibaraka wa NATO Tena mpakani kabisa na NATO anaeitenganisha kimpaka NATO na Urusi,alijua itapata misaada TU ya Kila Hali hilo asingeweza kulizuia lakini alijua ata Dili nalo vipi.na ndio maana unaona silaha zinateketezwa na kuchomwa Kila siku.
Pia alijua kua Kuna nchi au NATO Watataka kuingia kijeshi ,ndio akatoa tamko like.
Ndugu yangu hii sio mara ya kwanza kwa Urusi kupigana na nchi moja na nchi hiyo kusaidiwa kwa kupewa silaha.
USSR iliipiga Afghanistan, afghanistan ilisidiwa na NATO wote ongeza china,Pakistan,Saudi Arabia,na vijinchi mingine vingi.lakini alodili nao sambamba.
Kwa maana hiyo Urusi alionya kuwa,kama Kuna nchi itakayojiingiza kijeshi kuisaidia Ukraine ataipa vita sio ya Dunia hii,hakumaanishi silaha,kwa sababu silaha zinaweza kuingia hata kwa njia za panya au ki magendo.
Na ndio maana hata NATO na uwezo wao wote wa kijeshi,kiuchumi na kiteknolojia lakini na wao wameishia kutoa misaada ya silaha na fedha TU. Badala ya kuingiza majeshi kama kawaida Yao.
Ukisema Ukraine sio mwanachama wa NATO ,NAMI ntakuuliza je Kuwait, Syria, Libya, Yugoslavia nao walikua ni Wanachama wa NATO?
Je unajua kua Ukraine ndio nchi pekee duniani iliyopata misaada mingi sana ya silaha na fedha kwa ajili ya kutumika kwenye vita?
Hakuna nchi yoyote duniani iliyowahi kupewa misaada ya silaha na fedha kiasi hikinkwa mda mfupi na umoja wa NATO kama Ukraine.
Unajua ni kwa Nini?
Ni kwa sababu NATO imewauma sana.
Sasa je kwa Nini. NATO isiingie kijeshi kama kawaida yake?
Jibu lake ndio jibu la hoja yako.
Kuwa hawawezi kuingia kijeshi kwa sababu Urusi katoa onyo na anasubiri nchi hata moja TU ya NATO irushe risasi moja kwa moja kutoka kwenye ardhi yake hiyo nchi ya NATO kwenda kupiga jeshi la Urusi.