Dhambi ni mbaya sana, Putini akimaliza Ukraine ingawa hatuombei hivyo basi kuna watu anawabokoa tena kwa jeuri kuu.Lete habari kubwa! au mna ukame wa habari dhidi ya Russia!
Sasa NATO wanangojea nn kumzuia MKUU [emoji23][emoji3][emoji16]Dhambi ni mbaya sana, Putini akimaliza Ukraine ingawa hatuombei hivyo basi kuna watu anawabokoa tena kwa jeuri kuu.
1. Who's next? Lithuanians prepare for potential Russian aggression
Lithuanians are anxiously following events in Ukraine. Many are preparing for a worst case scenario and some are training to take up arms against Russia.
2. “If Ukraine fails, Slovakia is next," Prime Minister Eduard Heger told other EU and business leaders.
"They (Ukraine) have to win,” he said.
Heger went on to criticize members of the European Union for relying too heavily on Russian energy. He urged leaders to “stop compromising” their principles when dealing with Russia.
Putin ni wa kuzuia kwa gharama zote
NATO hawawezi kuingia vita hii, hapa ni individual countries kutoa msaada kwa Ukraine ambayo inaruhusiwa kwa sheria za kimataifa za vita. Ila ukiingia mwenyewe pia hairuhusiwi ndiyo maana unaona hakuna taifa la Magharibi limetia mguu ndani ya Ukraine hadi wa leo.
Hahaha kumbe umerudi?!?! Kiev imeachwa kwa muda, sasa hivi ni Donbass ambako Askari wa Zele wanachakazwa Hadi huruma...Kuna baadhi wanaelekea kuzungukwa Kama ilivyokuwa kwa Mariupol....baada ya hapo target ni Odessa....na kuizunguka ...Kiev itakuwa ya mwisho Kama Zele atakuwa bado yupo...Tuliambiwa hapa kufikia mida hii Kiev itakuwa majivu,ngoja tuwasubiri waliopo mstari wa mbele kwenye battle field watuletee LIVE hali ilivyo,si unajua JF inawakilishwa vyema kwenye mstari wa mapambano.
Kwa uelewa wako US anapotoa hizo aid za 40B usd unadhani ni cash?
Anatoa silaha zenye worth hiyo amount not cash mkuu.
R.I.P kwakeRetired Major General Botashev Kanamat Khuseevich was born in 1959 in the village of Nizhnyaya Teberda, Karachay-Cherkessia, and died on 22/05/22 from a meeting with Stinger in Popasnaya district, Luhansk region of Ukraine. Su-25 he probably bought it in military trade
Yes ishu ni Donbass , yaani severodonetsk, Lugansk Lyman na mambo ni moto hakuna drone huko ndio utajua Mrusi kifaru anatumia namna gani na Multiple Rocket Launcher. Jiungeni huku tushangilie kipondoHahaha kumbe umerudi?!?! Kiev imeachwa kwa muda, sasa hivi ni Donbass ambako Askari wa Zele wanachakazwa Hadi huruma...Kuna baadhi wanaelekea kuzungukwa Kama ilivyokuwa kwa Mariupol....baada ya hapo target ni Odessa....na kuizunguka ...Kiev itakuwa ya mwisho Kama Zele atakuwa bado yupo...
Tena mpinzani,Yani mtu mmoja kumuita Putin mwendawazimu nayo ni ya kuandika kweli. Hamna habari upande wenu!!?
Wamesemaje kwani ,wameshamwondoa Putin au
Unions vizuri,usinipige mabomu ukinikuta Town natafuta mlohatimae umeamua kuweka picha yako
Hata Rusia hawafanyi chochote zaidi ya kusema Cremia inajitawala sijui iko kwao .Kimataifa haiko kokote na bado wanatumia Central Bank ya Ukraine na vitu vingine lazima vipitie huko,hawana rais hawana chochote hata wenyewe hawajielewe na wamegawanyika nusu kwa nusu.Dada yangu unakosea sana kuifananisha Russia vs Uganda, na pia unakosea sana kumfananisha Putin na Iddi amin. Russia ni taifa kubwa sana wanamaamuzi yao wenyewe ambayo hayawezi ingiliwa na taifa lolote wala UN sijui takataka gani.
Wakati imechukuliwa crimea walifanya nini? Na hizi territories zinachukuliwa na hakuna chochote watafanya wataishia kulialia na kupiga kelele tu. Ukraine akiendelea kukaza fuvu watajikuta landlocked.
NATO hawapo pamoja wanaona ni ishu binafsi ya US . Mfano wengine wanaahidi misaada na hawatoi kwa wakati. US kama ni mbabe kiuchumi atoe misaada mwenyeweItaly and Hungary have urged the EU to call explicitly for a ceasefire in Ukraine and peace talks with Russia, putting themselves at odds with other member states determined to take a hard line with Moscow ahead of a summit next week. Reuter
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Waambie tena wapigie na mstari hao mashabiki wa Putin.Rassia atadhibitiwa tu in next few days to come - mwache atambe leo kuiteka hiyo miji midogo 2.
UN akamsaidia Marekani kuchunguza Iraq na kujua haina ulinzi? Hiyo UN unajua inavyofanya kazi au unaongea kujifurahisha. UN hii ambayo inapewa fedha yake nyingi ya bajeti kutoka Marekani, haina jeshi inachangiwa na kina Tanzania na Uganda, haina silaha kasoro magari na helikopta za kupewa ndio iisaidie Marekani?Kwamaana hiyo US sio super power kwani ni muoga kweli wa proxy-war.
Tulimshuhudia kule Iraq akitalii angani baada ya UN kumsaidia kuichunguza Iraq na kugundua hana ulinzi madhubuti wa anga.
Huku chini akawaachia waarabu
Wanachochea moto wa kuni mbichi.Dhambi ni mbaya sana, Putini akimaliza Ukraine ingawa hatuombei hivyo basi kuna watu anawabokoa tena kwa jeuri kuu.
1. Who's next? Lithuanians prepare for potential Russian aggression
Lithuanians are anxiously following events in Ukraine. Many are preparing for a worst case scenario and some are training to take up arms against Russia.
Lithuania will transfer a new shipment of aid to Ukraine "to further support its defence against Russia," the Lithuanian ministry of defense said Wednesday.
On Twitter, Arvydas Anusauskas said the Baltic nation will send 20 M113 armored vehicles, 10 military trucks and 10 SUVs for demining operations.
M113 armored Vehicle.
View attachment 2238117
2. “If Ukraine fails, Slovakia is next," Prime Minister Eduard Heger told other EU and business leaders.
"They (Ukraine) have to win,” he said.
Heger went on to criticize members of the European Union for relying too heavily on Russian energy. He urged leaders to “stop compromising” their principles when dealing with Russia.
Putin ni wa kuzuia kwa gharama zote