Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

pro Russia niwakumbushe kuwa adi ndugu zetu uko kinijini wanaokunya porini wametengenezewa vyoo kwa msaada wa USAID
Sema kabla hawajazaliwa mama zao walipewa dawa zao na watoto chanjo zao.
Bado unajiamini kuwa umekamilika kichwani kwa kupewa msada na mtu aliyekufanya mtumwa tena anapenda uendelee kuwa mtumwa wa kisasa.
Wake up. Ulichoandika ni matusi sio sifa.
 
Ah wapi hafananii kabisa na watu wa fursa...

Wazee wa fursa huwa hawashiki upande katikati ya mgogoro mfano mzuri waangalie Middle east hapo. Wanaangalia mtanange huku Popcorns zikiwa mkononi wanasubiri atakayenyanyuka na kikombe waungane nae.

Sasa hawa ni machawa wadogo wadogo... Ukichoma godoro unasepa nao [emoji23].
 
Sema kabla hawajazaliwa mama zao walipewa dawa zao na watoto chanjo zao.
Bado unajiamini kuwa umekamilika kichwani kwa kupewa msada na mtu aliyekufanya mtumwa tena anapenda uendelee kuwa mtumwa wa kisasa.
Wake up. Ulichoandika ni matusi sio sifa.
ndio mahana nikasema kuwakwepa west na USA ni ngumu
 
Sema kabla hawajazaliwa mama zao walipewa dawa zao na watoto chanjo zao.
Bado unajiamini kuwa umekamilika kichwani kwa kupewa msada na mtu aliyekufanya mtumwa tena anapenda uendelee kuwa mtumwa wa kisasa.
Wake up. Ulichoandika ni matusi sio sifa.
Huyo nae ni kiongozi wa taifa la kesho [emoji1787]... Anafurahi kupata vyoo vya msaada huku wamekabidhi dhahabu mikononi mwao.

Akili zingine hazifai hata kutolea kamasi puani.
 
Huo ndio ukweli. Hakuna huruma na misaada ni jam kwenye mkate. Tena Acha kuongea mbele za watu wenye akili eti unapewa misaada. Hasira zipo kwa sababu naona jinsi tusivyojielewa na kukubali kuendelea kuwa subject. Na hii operation ni turning point kwa nchi nyingi kujikwamua na ukoloni mamboleo.
Hatujui kuwa hakuna cha bure.
 
Umoja wa warusi waishio Tanzania ndiyo walituaminisha kwamba vita hii kama ikimaliza wiki ni bahati - sasa unakwenda mwezi wa 3 kila siku wanakuja na vi-clip vya Urusi kuteka mitaa.

Waje hapa watueleleze nini kimewapata ?
Wakueleze ili iweje au iwe Nini?! Kwani wanawajibika kwako au kwenu?!
 
Mrusi ana msaada wowote kwa afrika ukiondoa yale machuma chuma yake na ayo pia atoi bure anawauzia
Mtegemea cha ndugu hufa maskini. Tanzania na Afrika hatuhitaji misaada, tunahitaji fair ground za kupambana.

US na Europe walipoona Ghadafi anania ya kuitoa Afrika kwenye utegemezi wao walimwondoa mara moja. Hao wazungu wa magharibi sio wazuri kama unavyodhani na hiyo misaada ni kukupumbaza tu. Afterall misaada yenyewe inakuja na masharti kibao, ushoga, mikataba ya ovyo kwa kampuni zao na ukijaribu kuivunja unashtakiwa sijui MIGA n.k
 
hatakama amna cha bure but uwezi ku deny misaada yao kwetu, kuhusu kuchukuliwa raslimali zetu dunia aijwai na autokuja kuwa fair kama unavyotaka wewe lazima utoe ndio upewe
 

We kweli FUSO
PUTIN approval rate >80%
BIDEN approval rate <40
Ndio ndio Putin atatolewa na wa Russia wenzie hii inaonesha jinsi ambavyo huijui Russia huijui historia ya Warussia, humjui Putin vizuri. Hiyo akili yako haina utofauti na Fuso.
 
pro Russia niwakumbushe kuwa adi ndugu zetu uko kinijini wanaokunya porini wametengenezewa vyoo kwa msaada wa USAID
Huoni aibu?? Mchina alitusaidia bure reli ya TAZARA ambayo mpaka leo tunanufaika nayo, we unaongelea vyoo??

Hiyo misaada wanatoa lakini mkono wa pili wanatuibia pakubwa. Huko kwao wako homeless wasio na makazi na yako makazi yanashida ya clean water sasa jiulize kwanini wasimalize shida kwenye nchi zao waje wakusaidie wewe bure bure tu..
 
Huyo nae ni kiongozi wa taifa la kesho [emoji1787]... Anafurahi kupata vyoo vya msaada huku wamekabidhi dhahabu mikononi mwao.

Akili zingine hazifai hata kutolea kamasi puani.
Nasomaga huu uzi sijawahi kujibu lakini huyo mpuuzi amenifanya niandike hapa.. Bila aibu anashangilia vyoo, mtu wa ajabu kabisa huyu
 
😂😂😂😂Kwa iyo tusubiri vitukuu vyetu vinaweza kututoa kimasomaso au ndio basiii
 
Hahahahah wanajenga vyoo na kuiba madini kwenye udongo waliochimba sio watu hao🤣
 
Your browser is not able to display this video.

‼️ANOTHER UNIT REFUSE TO BE CANON FODDER‼️
Another unit of Ukraine that is not ready to perform its tasks, the commanders threw them, there was no training, there is no comprehensive provision, weapons and ammunition as such
 
Huyo jamaa hakuna
Ikweli fuso yaani F kichwani
kitu kichwani mwake anaishukuru USA Kwa misaad?! Wakati hiyo misaada USA anakujengea choo mkono Wa kushoto Wa kulia anabeba dhahabu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…