political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,951
- 6,399
mimi naongelea nchi kubwa apa africa siyo failed stateNaiwaza Central Africa Republic au kwa lugha ya kizaramo Jamhuri ya Afrika ya Kati na ushawishi wa Mmarekani naishia kusema hiiiii in magufuli voice.
Yani mashoga 40 wanapambana na mwanaume mmojaPutin will be fixed, hana uwezo wa kuisumbua Dunia kwa vitisho vyake !! Mara ntakata gas supply, mara ntauza gas kwa Ruble tu, mara kitengo cha nuclear kaeni tayari , mara atakayemsaidia Ukraine ntamfanyia kitu hatakaa asahau milele.....
vitisho vya kitoto hivi, vita mwezi wa 3 sasa na bado mambo magumu.
Na wewe unaona ni sawa kujengewa vyoo na pesa za misaada? Nchi ambayo inalipa watu posho karibu 300K bungeni kila kikao inashindwa kujenga vyoo? Nchi ambayo kila mkurugenzi ana V8 inashindwa kutenga hela za kujenga vyoo?Huu ulemavu wa kifikra wa kupenda misaada ndio unaofanya Africa iendelee kuwa maskinipro Russia niwakumbushe kuwa adi ndugu zetu uko kinijini wanaokunya porini wametengenezewa vyoo kwa msaada wa USAID
Kazi imeanza kama wanabisha waendelee kuhuzaUS Confiscates Oil from Russian-Operated Ship Near Greece
Washington has seized an alleged Iranian oil cargo from a ship operated by 19 Russian crew and impounded by Greek authorities near the island of Evia last month.
An anonymous source from the Greek shipping ministry told Reuters that the US Dept of Justice informed Athens of the cargo’s origins and that the oil had been transferred to an American vessel to be taken to the US.
Subscribe to RT t.me/rtnews
Nakukumbusha tu jinsi tulivyotegemezi mpaka vyoo tunahengewaNa wewe unaona ni sawa kujengewa vyoo na pesa za misaada? Nchi ambayo inalipa watu posho karibu 300K bungeni kila kikao inashindwa kujenga vyoo? Nchi ambayo kila mkurugenzi ana V8 inashindwa kutenga hela za kujenga vyoo?Huu ulemavu wa kifikra wa kupenda misaada ndio unaofanya Africa iendelee kuwa maskini
Hizi mindset za kupenda misaada ndio zinafanya Africa iwe omba omba na mtu bila aibu anaongelea jambo hilo hadharaniBora uyo anaekupa wakati wa dhiki, mrusi hakupi kitu. Scholarship za Lumumba ndio wanaongelea ila ni chuo cha waafrica wanao fundishwa kunywa vodka
Hahahahaha eti wanajengewa choo wanashangilia😁😁😁😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja nikujibu kiutani.
TZ imejaa watu aina hii unayoiona hapa JF wanaojengewa Choo wanashangilia, tutakuwaje kama wachina sasa hivi leo?
Na fikiria tena mathalani hao ndio walimu wa kizazi chako, darasani anakesha kumfundisha mwanao eeeh kumlisha "elim nzuri [emoji23]" huko mbele kuna nini?
Sio ushawishi ni utawala na ukibisha cha moto utakipata. Ndio maana vichwa vyetu vyapaswa kupata moto kufikiri namna ya kuishi nae.USA ana ushawishi karibia kwa nchi zote za Africa ukiitoa Moroco na Algeria
Msiwe kama mmezaliwa jana, toka zamani mnajua kuwa dunia aijawai kuwa fair kama mnavyotaka ili uweze ku control wengine lazma nguvu itumike hii ni dhana toka enzi za falme izo mpaka leo ndio iko ivyoSio ushawishi ni utawala na ukibisha cha moto utakipata. Ndio maana vichwa vyetu vyapaswa kupata moto kufikiri namna ya kuishi nae.
Sasa kama mmeshindwa kutumia raslimali zenu wenyewe msaidiwaje, mnapeleka proposal wenyewe ya kuomba mjengewe matundu ya vyoo.. hii ni aibuNa wewe unaona ni sawa kujengewa vyoo na pesa za misaada? Nchi ambayo inalipa watu posho karibu 300K bungeni kila kikao inashindwa kujenga vyoo? Nchi ambayo kila mkurugenzi ana V8 inashindwa kutenga hela za kujenga vyoo?Huu ulemavu wa kifikra wa kupenda misaada ndio unaofanya Africa iendelee kuwa maskini
Miaka yote tangu uhuru tunapewa misaada Kama inatusaidia mbona bado tuko maskini. Dogo utoto unakusumbua ukikuwa utajua .hatakama amna cha bure but uwezi ku deny misaada yao kwetu, kuhusu kuchukuliwa raslimali zetu dunia aijwai na autokuja kuwa fair kama unavyotaka wewe lazima utoe ndio upewe
Kwa upande wako unaona ni sawa. Wasiendelee kuhuza sio?.Kazi imeanza kama wanabisha waendelee kuhuza
Sasa kama aijawasaidia tatizo ni la nani anayetoa au wewe unayepokea kama mnakilakitu na mnashindwa kuvitumia ili muweze kupiga hatua na amfanyi mnataka mfanyiwe nini tena?Miaka yote tangu uhuru tunapewa misaada Kama inatusaidia mbona bado tuko maskini. Dogo utoto unakusumbua ukikuwa utajua .
Duniani amna haki kuna sheria na sera tu, haki utaipata kwa mungu, ukishapigwa vikwazo then ukakiuka unataka watu wafanyaje?Kwa upande wako unaona ni sawa. Wasiendelee kuhuza sio?.
Mkuu umezaliwa lini Kama hujui mchango wa Russia katika ukombozi wa kusini mwa jangwa la sahara⁉️ I see siwezi tena kubishana nawe.Ukombozi wa nnchi gani? Taja moja