Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kama mlishindwa kunufaika na madini ndio mnufaike na watalii
Poleni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biden confused North Korea with South.

At a meeting with graduates of the naval academy in Annapolis, he said that the country had joined the campaign to put pressure on the Russian Federation:

“Could anyone have thought that when I called for sanctions against Russia, then, in addition to NATO, they ... will be supported by Australia, Japan, North Korea, some of the ASEAN countries?”

North Korea has not joined the anti-Russian measures - it is itself under US sanctions.

 
Kupitia vita hii nimegundua kwamba wazungu tulikua tunawa over rate sana ila uwezo wao wa kufikiri uko chini tu mfano huyo Zelensky
Huwa wanafanya hadi tafiti za ajabu, ukiziona unajiuliza lengo la tafiti hii ni nini? Na ilifanyika ili iweje kwa kutumia kigezo gani?

Haraka mtu mwenye akili fupi size ya njiti ya kiberiti hawezi kuona but kwa wenye macho wanajua lengo la tafiti (na actually sio tafiti bali taarifa za kupika zinazopewa jina la tafiti) ni katika kueneza mapambano ya Kisaikolojia kua race flan ama jamii flan ni weak na ngingine ni strong.

That's aliye juu anajipa haki ya kumtawala aliye chini. Wa juu anampangia kila kitu wa chini ila wa chini hana mamlaka ya kuhoji aliye juu yake.

Afrika, afrika sijui tutaja jikomboa lini sisi.
 
Ndiyo halisi hiyo mkuu,Ukraine is no more.Zelensky ni mla cocaine tu yule,ndiyo iliyomfanya asione reality,na anakula Cocaine kweli kweli,tena anakiri inamsaidia kuwa na ujasiri!Yaani Ukraine na Urusi,wapi na wapi.
 
👉Mtu mwenye akili fupi size ya njiti ya kiberiti hawezi kuona but kwa wenye macho wanajua lengo la tafiti!👈Uko sahihi mkuu.Ni kwamba kuna vitu ambavyo wamesha fanya ili kupunguza IQ,for their World domination agenda,sasa wanataka kuona kama wamefanikiwa,au waongeze dozi zaidi na wapi.

Mkuu makutano wa Davos kwa wale wanao-elewa mambo, formation of a Totalitarian World Government is their most important agenda.

Angalia walivyo fanikiwa👇


This is Horrifying: Young Americans are Literally Stupid, literally!​

WORLD HAL TURNER 24 MAY 2022 HITS: 22719

The four minute video below shows the level of outright and almost complete stupidity of young Americans. With this level of shear, unmitigated lack of thinking, and absence of facts, the country has no future at all:
Some of those appearing in the video are wearing Graduation Gowns from schools! Some of them couldn't answer the question "How much is 3 x 3 x 3?" They are literally INCAPABLE of actually thinking!
Those schools should be immediately shut down, all the teachers/Administrators FIRED, and permanently barred from ever teaching again.


Angalia tena hii👇

"Well a new book proclaims, don't trust anyone under 30. The point being...

(Whispering) They're not that bright. Shhh, don't want to hurt their self-esteem.

Mark Bauerlein is an English professor at Emory University and author of "The Dumbest Generation: How the Digital Age Stupefies Young Americans and Jeopardizes our Future." I talked to him about his thesis, that the digital generation is pretty much filled with idiots."
 
Vita ni mbinu na ujanja wamemuacha ajidai, akaona ameshinda kumbe watu wanamlia timing na wameshampigia mahesabu kitambo...Slava Ukraini..View attachment 2241406
Kwanza warusi wenyewe ni wanasayansi wazuri Sana wanauwezo wa kuzalisha hizo Raw materials,pia wenyewe wanaraw materials za kutosha alafu ulaya hawawezi kukwepa mafuta ya warusi hata Kwa Miaka 10.
 
Jitahidi braza
 
Ile ilikuwa mara ya kwanza hilo bomu kutumika hivyo hakuna aliyejua madhara yake[/QUOTE]

Tumeshuhudia ujinga mwingi humu jf lakini huu ulionesha kwenye hii reply bhs inatuonesha jinsi ulivo mburura huna ufaham na uelewa wa vitu.

Kijana una mahaba na US [emoji2380] mpaka umekua zezeta sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…