Wee jamaa ni mpuuzi sijapata kuona; akisema anatoa unafurahi na kusema mtaona sasa, akisema hatoi anathibitisha ujinga kwa pro Russia. You are hopelessly angaging your empty head in serious staffs.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha hapo penye kukusaidia sasaUkitaka kupima kiwango chao upumbavu we tamka "Marekani hivi na vile" kisha kaa pembeni kusoma yanayotoka kwenye mafuvu yao!
Wadogo zetu hawa level waliyofikia, hata kama watamkuta mmarekani kajisaidia barabarani watakwambia anasave gharama za kuzibua choo endapo kikijaa kwa kujisaidia kwake mara kwa mara huko chooni.
To them, US hakosei wala hashindwi...[emoji848]
Canada inaripoti kwa huzuni kuwa majeshi ya Russia yameshaingia kwenye jiji kubwa la Sievierodonetsk, huko Luhanks huku yakigawa kipigo cha 'paka aliyeiba mboga (samaki)' kwa wanajeshi wa Ukraine.
Zelensky alia kuwa zaidi ya asilimia 90 ya majengo ya jiji hilo la kimkakati linalotakiwa na Russia yamesawazishwa kwa mvua za makombora ya Russia na majengo hayo yamekuwa majivu na vifusi.
Omusolopogasi na Glenn piteni hapa mteseke zaidi
======
View attachment 2244810View attachment 2244811View attachment 2244812
View attachment 2244813
Naona mnazidi kujifariji
Si US ama NATO yeyote anaeweza kuhatarisha usalama wa RUSSIA
Waeke basi No fly zone ili UKRAINE iwe mahali salama dhidi ya RUSSIA
Kama wamechemka kumpa silaha zakupiga ndani ya RUSSIA
UKRAINE inaondoka mujue oohoo[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena imexaidia xn ndo maan Russia alirud nyuma kweny kuwek nguvu huk donbassUnajua isingekuwa Javelin Kiev ingeondoka
Unaandika kishabiki unafikili vita hiyo ni kama ligi ya NBC?Rasmi, Ukraine imeanza Kupokea Makombora hatari ya harpoon ambayo yatakuwa na uwezo wa kupiga hadi Moscow.
Urusi itegemee Upinzani mzito kwenye Mapigano baada ya Ukraine Kupokea Makombora haya.
Je, tutarajie Ukraine kuanza kushambulia ndani ya ardhi ya Urusi.
______________
Ukraine yaanza kupokea makombora hatari ya Harpoon kukabiliana na Urusi
Waziri wa Ulinzi wa Ukraine Oleksii Reznikov amesema Ukraine imeanza kupokea makombora ya kivita aina ya Harpoon kutoka Denmark na ndege za zisizo na rubani kutoka Marekani.
"Ulinzi wa pwani wa nchi yetu hautaimarishwa tu na makombora ya Harpoon - yatatumiwa na timu zilizofunzwa za Ukraine," Reznikov aliandika kwenye ukurasa wake wa Facebook.
Reznikov alisema usambazaji wa makombora ya Harpoon ni matokeo ya ushirikiano kati ya nchi kadhaa.
Ukraine imekuwa ikiomba silaha za kisasa zaidi lakini hadi sasa misaada mingi imekuwa katika mifumo ya masafa mafupi kama vile silaha za kukinga vifaru.
Marekani inazingatia ombi kutoka Ukraine kuipatia Kyiv silaha nzito za masafa marefu lakini bado haijafikia uamuzi wa mwisho.
Chanzo REUTERS, Aljazeera, BBC
Hapa Chini ni kombora la harpoon [emoji116]View attachment 2243356
Aaya n ligi ya NBC, vp unasemaje.Unaandika kishabiki unafikili vita hiyo ni kama ligi ya NBC?
Duuh! Wasiwaue. Wawafunge hata kifungo cha maisha. Lakini siyo kuwaua.
Swadakta mkuu,wakati hivi vita vinaanza,pro NATO wanaanza kusema Urusi itapigwa kama Iraq,nikawakumbusha, kwamba Ujerumani anamjua mrusi kama vizuri sana alichomfanyia kule Stalingrad. Ndio maana Ujerumani Yuko reluctant kutoa silaha,eti anasema mpaka mwenzi wa Saba ndio atatoa silaha, really!!? Ukisoma vizuri Ile vita, Mjerumani alizingirwa na mrusi,njaa ikampiga mpaka wanaanza kula nyama za farasi, Mrusi ni shidaaaa!
Democracy inapigiwa chapuo mbaka kwenye cartoon watoto zenu uhuru mwanana wa bila mipaka...
View attachment 2244918
Maoni ya huyo jomba yazingatiwe,
Habari hii yaripotiwa na chombo cha habari cha Uingereza kiitwacho 'The Scotsman'.
Muingereza toka Scotland aitwaye Mr. Aitkin aliyeenda Ukraine kuyasaidia majeshi ya Zelensky kupambana na majeshi ya Russia aliamuaua kurejea zake kwao Scotland kupiga pizza ,deserts na ice cream. Anatoa ushuhuda walichokiona huko Ukraine kuwa ni wapiganaji wa kigeni waliokuwa wakiipigania Ukraine hawana mpangilio mzuri ktk vita, hawana mafunzo ya kivita, na hawana vifaavita na silaha. Serikali ya Ukraine haijali usalama wa wapiganaji hao (wanatumika kama chakula ya mizinga ya Russia).
Mr. Atkin anasema aliponea chupuchupu kunaswa katika shambulio baya zaidi la mjeshi ya Russia kwenye kambi iliyokuwa ikiwahifadhi wapiganaji wa kigeni huko karibu na Lviv magharibi mwa Ukraine, karibu na Poland. Anasema Russia ilimimina makombora ya kruizi takriban thelathini, na dazeni nyingi za wapiganaji wa kigeni walikufa siku hiyo. Alikuwa kishaghairi kupigana na akaamua kwenda kujiunga na vikundi vya kutoa misaada. Nyuma yake ndio kambi hiyo aliyokuwepo ikapelekewa moto mkali na Russia
Mr. Atik anasema wale wapiganaji wa kigeni wanaotaka kwenda huko Ukraine watambue ukweli kuwa wanaenda kutumika kama chakula cha mizinga ya Russia (Zelensky hatowajali wapiganaji hao wa kigeni wakishafika Ukraine).
Mr. Curtis, mwingereza mwingine aliyeenda kuipigania Ukraine pia nae anaongelea uzoefu huo huu. Anaema wapiganaji wa kigeni toka Uingereza waliofika Ukraine ni mamia kadhaa. Lakini baada ya lile shambulio la makombora 30 ya kruizi lililofanywa na Russia kwenye kambi iliyokuwa imewahifadhi wageni hao, wapiganaji wengi wa kigeni wakashtuka kuwa kumbe sio gemu lile, wakaamua kurejea makwao (kwenye nchi zao, ikiwemo yule Sniper Bora Duniani toka Canada, Sniper Wali)
View attachment 2244899View attachment 2244900View attachment 2244901View attachment 2244902
View attachment 2244903
View attachment 2244904View attachment 2244905
Kwa Sasa sioni kama kuna haja ya Urusi kuwa na mazungumzo ya amani kati yake na Zelensky:the Cocaine pusher and Drama Queen,after all they are at an advantage millitarily.Watekeleze kwanza malengo yao Ukraine.Kwanza the UN ni matapeli wale wale tu,hawana tofauti yeyote na matapeli ya nchi za Magharibi.
Sisi tunafungua nchiGhana and Uganda are banning the export of grains and other farm produce.
Ghanian government has extended a ban on grain exports. A temporary ban on exporting maize, rice, soybeans and other grains implemented in Sept 2021 has been extended until Sept 2022.
So it continues.
Express ni chombo Cha habari cha NWO,kwa hiyo kina conflict of interest na vita ya Ukraine.So hii taarifa as long as ina mkono wa Ukraine na Western Media,itabaki kuwa udaku kwa sasa.Tuletee taarifa za media ambazo hazina conflict of interest na vita ya Ukraine na Russia tutaamini.Kikosi kizima Cha wanajeshi wa miavuli Cha Urusi "Paratroopers" chaangamizwa na wanajeshi wa miavuli wa UKRAINE 🤔
Putin devastated: Entire battalion of paratroopers annihilated
VLADIMIR PUTIN has suffered further devastation after an entire Russian battalion of paratroopers was "annihilated" by Ukrainian forces.www.express.co.uk
Mnafungua nchi kwa wezi,hawa hawa walio ibia Urusi reserves zao!Hamtapona,mtapigwa tu.Sisi tunafungua nchi
Sawa mama wa royal tour aka van dame tumekusikia.Una roho na hulka kama za Jiwe