Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Punguza hasira baba. Jibu swali Urusi imetoa msaada gani Tanzania kipindi hiki na unalingana vipi na msaada wa traditional development partners? Vizuri pia tukumbushane USSR is DEAD AND BURIED siku nyingi.
Ndio maana nikawaambia,Una akili ndogo Sana,siwezi kurudia swali ambalo nimeisha jibu.read between the lines.
 
Izi ishu za urusi kuisadia africa kwenye ukombozi wa uhuru nazisikia sana huku ila hakuna ushahidi wowote.
 
Kwanini wanatutia alama kwenye bega? Huwezi kuchoma chanjo mpaka itokee?
Mh Mdau mengine hayaelezeki, wahuni wanasema the less you know the safer you are!... Kwa kua kila nafsi itaonja umauti basi tuendelee kutafuna ugali tu siku ziende.

Mind you, hii ni issue nje ya swali thou kama unaweza kuunganisha dot kukifatilia basi kuna mengi huenda ukayafaham baadae.

Unajua kua Taasisi ya Bill Gate hapo mwanzo ilikuwa ikiitwa Bill and Melinda Gates Institute of Population Control? Now wanajiita Bill and Melinda Gates Foundation.. Unahisi walibadilisha jina hadi dhumuni la taasisi au walibadilisha jina tu huku dhumuni likiwa palepale? Sikiliza hiyo video vizuri

Your browser is not able to display this video.


Swali lingine hapo hapo, unamjua mfadhili mkubwa wa WHO? ni Bill Gate, the same Man with that Vision ndio mfadhili mkuu wa Taasisi ya Afya Duniani. Ambae hana background ya Taaluma ya Afya ila ndio mshauri mkubwa wa hiyo Taasisi.

Its the same man, ambae ni world largest investor kwenye makampuni ya chanjo haishtui ubongo kuwaza kuna nini?, Je wafaham during Pandemic katika makampuni yaliyoongoza kwa high Gross Profit ni haya ya Vaccine?

Unamkumbuka aliyesema kua Africa inabidi wajaribiwe hizo chanjo? Ulishawahi kujiuliza why always Africa Vaccine za kila sampuli zinapishana? Kwani miaka ya nyuma huko waliishije huku Africa?

Hizi issue huwa nataman kuanzisha uzi kila siku tuwe tunaambizana mawili matatu juu ya dunia yetu kwenye kurasa ambazo hazitizamwi na watu wengi.

Kuna baadhi ya mambo hatuna uwezo ya kuyabadilisha kwa sasa lakini kuyajua I think ni vizuri zaidi.

Wakati kwa wengi inaonekana zote ni Conspiracies ila kimya kimya wenye ajenda zao hizo hizo zinazoitwa Conspiracy wanaendelea na shughul zao as usual.
Una vituko [emoji23]

Kwamba sani ovu bichii
Ee mdau 😂, anajiita hivo mkuu!

Hiyo Flouride ni mwisho wa reli, nasikia inachagiza kupunguza uwezo wa kumbukumbu? Ni kweli?
Mbona kawaida mdau, familia yako we na wanao si mnatumia Whitedent ama Colgate? Je ulishaisoma Contents au huwa unaswaki swaki tu 😂🤔...



Je mwanao huwa anatema au anameza? Bila shaka mara moja moja huwa anameza nyakati ambazo anaswaki bila usimamizi wako, Je Unajua ambacho huwa anakimeza?



Huwa unajiuliza kwanini baadhi ya Madaktari walio wengi nje ya mfumo huwa wanapingana sana na hawa waliopo ndani ya mfumo? He he he 😆

Anyway usiyatile sana maanani maana unaweza kuogopa hadi mafuta unayojipaka 😂 tuachane nayo hayo turudi kwenye Issue ya Ukraine vs Russia.
 
EU watakufa kama kuku ila nisuala la muda tu MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapenda sana kusaidiwa! Ndio maana umekuwa tegemezi
Huyu jamaa simple mind anafanana na jina lake, ulaya ilipata misaada gani ikafika hapo ilipo? Ili tujiletee maendeleo,lazima tutumie raslimali zetu vizuri,huku tukiwa na viongozi wenye maono,hao viongozi wenye maono waliuwawa na hao wezi wanaojiita wabia maendeleo,kumbuka,wanachochukua kutoka kwetu,hakilingani na wanachotupa,ebu fikiria,kampuni zao zinachukua madini kwenye kontena,alafu wanakuletea vidonge vya ARV,neti za mbu,kuchimba visima vya million 10🚮
 
Kazi iendelee.
 
Nyie manyangau Al shabab si iko mbali huko uarabuni tena ni migambo tu mmetumia saa moja tu
 
Mtoto wa LBGTQ Unaonaje nikupelekee moto
 
Umeandika madini Sana nahisi wewe ni Educator by Professional. Ina stahili uzi wa hili suara. Ask-Q
Hapana mdau me jamaa flan tu hivi wa kitaa sina professional yoyote ya kwenye makaratasi iliyothibitishwa zaidi ya elim chini ya mwembe ndio imetufikisha hapa.

Kidogo japo kwa uchache huwa tunajaribu kuelezea yale tunayoyafaham so far!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…