Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ha ha we umeelewa nini mdau, au unahisi kwanini?
Nakuelewa Jomba,

Unauliza kwanini tena? Mbona lipo wazi hilo jomba, rejea ulichokiandika mwenyewe kwenye hii post wakati ukimjibu Mathanzua


Uliandika hivi nanukuu Sure! Tatizo ni kwamba huezi kuhubiri "Mbuzi" kwa lugha ya "Simba" ukaeleweka zaidi utaonekana kama "you are out of your mind".

Why? Simply b'se unawaambia vitu vilivyo nje ya uwezo wao, so ni hardly for them to understand!

Kwa hiyo It's either kutafuta "Simba" mahala walipo uwaeleze au kubaki na uliyonayo moyoni!

Sina hakika kama kila mtu anahitaji kuamshwa "usingizi" aliolala, You can't change people who do not want to change! Binafsi, I no longer watering people who don't want to grow.

For your comment, subiri "akili kisoda", "akili mshikaki" zitakavyokuwakia hapa yangu macho tu [emoji23][emoji23][emoji23].


Nakazia hapo ulipoandika you no longer water people who don't want to grow!

CC babu na mjukuu
 
Jitahidi usishinde muda mrefu kwenye vibanda umiza.
 
Ulichoandika ni sawa na kusema South Africa ndio Africa Kusini wakati mwenzako alikuwa anazungumzia USSR na Russia.
Ukijujua una uwezo mdogo wa akili ni bora ukae kimya usije ukaibisha familia yako au ukoo wenu.
Acha uboya. Russia ndio urusi. Japo imepungua ukubwa. Makao makuu ya urusi yalikuwa Moscow. Russia makao makuu yake ni Moscow. Ni sawa na kusema congo iliyokuwa Zaire ni goigoi.
Russia ni Urusi
 
Uingereza anawauzia radar kwa being isiyolingana na thamani take huku viongozi wenu wakipewa rushwa bila aibu unakuja kujisifu
 
Kwa hiyo Sasa ili kutimiza lengo lao la Ukraine kushinda vita watamusaidiaje Zelensk? Mkuu hawa ni wauza siraha tu tena kwa bei kandamizi mara dufu ili waidai Ukraine milele.
Wauza silaha i'la so silaha Bora ambazo wanahisi zinaweza kuingia mikononi mwa Russia .eg ndege Vita Kama f16
 
Sio lazima kuwepo wakati wa Nyerere kufahamu ujamaa na matokeo yake kwa Taifa hili.

Ujamaa wa Nyerere ulishindwa vibaya sana ndio maana ulizikwa kwenye kaburi la Historia mwisho wa utawala wake na Mwinyi akaja na sera mpya za soko huria
Tueleze sasa hivi tunefanikiwa nini? Zaidi ya kuzalisha vilaza kama wewe ambao mnaona mgao was umeme in kitu cha kawaida
 
Galip we mtata, rafiki yako mie league na mtu huwa siwezi, nachoweza kikubwa hasa huwa ni kupuuza kutunza energy ya mambo mengine ya muhim zaidi. Naona umempa notes akajisomee [emoji23]

Bill Gate anayemsifia sasa ndio huyu anayetaka waanze kula nyama za kutengeneza maabara kwamba ng'ombe wale wa asili wana haribu mazingira Utambadilisha nini huyu zaidi ya kumpuuza... [emoji41]
 
Una mbuku mbuku kama sio kumbu kumbu mdau, nilishasahau kama nimewahi kusema hivyo...

Uko makini mdau [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ucheke pia mtu aliyeko Buza akisema jeshi la Ukraine limekaa kizembe.
 
Tukubaliane kwamba Kuna watu ambao hamuijui Russia! Munasumbua sana Pro NATO wa Kwa Mtogore
 
Una mbuku mbuku kama sio kumbu kumbu mdau, nilishasahau kama nimewahi kusema hivyo...

Uko makini mdau [emoji23]
Yah jomba, hizo mambo nazijua jua kiasi chake so sio mageni kiviiile. Ndio maana sipati shida kuelewa unazungumzia nini.
 
Mbona una makasiriko hivyo ndugu? Kakosea nini? Ask-Q umemwelewa huyu ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…