Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ha ha shukran for your admiration..

Nikuchoshe zaidi kuelezea katika uliyoyasema na kitu ambacho binafsi huwa nakiamini.

Kwenye ulimwengu huu tulionao linapokuja swala la elim na maarifa tunatakiwa kujitahidi kuplay nje ya box. Tusijifunze kujua bali yapaswa kujifunza kuelewa.

Hivyo, First katika yote tusikubali kushika upande wa jambo lolote lile moja kwa moja, kwani kila upande una zuri na baya. Hivo kukamata upande flan wa maarifa au elim flan moja kwa moja haukufanyi hundred percent Correct bali utakuwa na some degree ya ukweli na some degree of wrongness!

Pil, Elim ama Maarifa na Mahaba ni kama maji na mafuta. Havijawahi kukaa pa1 Ukikubali kimoja wapo kikutawale kingine unakikosa. Ukiwa na mahaba unakosa maarifa like wise ukiwa na Maarifa unakosa mahaba, kwanini kwasababu utakuwa na habit ya ku-question kila jambo.

Tatu, tusibague aina ya elim. Lel say mie ni mtu wa fizikia hivo issue za historia au uraia hazinihusu. Hii mbaya as your mind will lack balance hata zile decision au understanding inakuwa limited since tunakosa wide view ya mambo yanayotuzunguka. Kwanini? Kwasababu elim zinategemeana.

Kwa mfano nimesoma Darasani Fizikia, Kemia na Mathematics on higher education ila siezi kudanganywa issue za Uchumi, Biashara na Kisiasa ama Historia maana nje ya formal edu nimeyasoma na kujifunza sana tu. Hivo akiongea mwana historia namuelewa, akizungumza mwana sayansi namuelewa na akizungumza mchumi namuelewa! Zaidi I can relate those knowledge kwa pamoja kwa jambo lililo mbele yangu.

Binafsi nimejijenga katika misingi hiyo. Na inanisaidia kuelewa kila lugha ya mtu anayozungumza katika mitizamo tofauti.

Sasa mtu akiegemea mazima kwenye siasa, personality na mindset yake inajijenga huko huko kila kitu anakipeleka kisiasa. Ukiegemea mazima kwenye Conspiracies, unakua Conspiracy theorist kweli kweli na bahati mbaya kundi limepewa mtizamo hasi, Ukibase kwenye science, nako unakua mtu wa design hiyo mazima. LAKINI ukitaka kua bora take what's "white" kwenye kila fungu na leave black spot zote kama zilivyo.

Na ni mie, Some1 who can agree with Mathanzua to some extent, with Mr Tyang to some extent, with Champagnee to some extent cuz niko able, na niko exposed to each of their perspective.... What else? Yes I can pick what it correlate in different perspective.

Mfano mwingine nje ya mada, we have two great Religion, Islam and Christianity. Kila upande unadai uko sawa. Kila upande una mambo ambayo upande mwingine hayapo na Kila upande una mambo ambayo wanashare. So to me yale ambayo wanashare pande zote is what I term them kama Truth like Uwepo wa the Almighty, Of course, its a shared Belief. To me huo ni UKWELI.

The world as we see it, inaendeshwa kwa siri sana, leo hii hata mipango ya serikali za vijiji hatuijui isipokuwa ile iliyotangazwa... Everything is enclosed until someone or themselves decides to reveal it to the majority kufaham what's going on.

Sasa walio na uelewa mdogo once a secret bocome revealed they call it Conspiracy 😂!

Nop vitu havipo hivo... Kimaana Conspiracy means a secret plan by a group to do something unlawful or harmful. Na nazani hii ndio sababu ya kuona kuna baadhi wanamponda Mathanzua kwa kuzungumza hasi, Yes ni hasi but to some extent He is right. I think somehow na kwangu thou sipo hivo. I always tell something with evidence not "free words"...

Kama kitu sina ushahidi nacho siwezi kukisema no matter nimekisia mara ngapi au nani kasema. I hate rumours wadau ha ha ha ha 😂 kwasababu sipendi kutafuna maneno leo niseme hiki kesho nibadilishe.
 


‼️🇷🇺🇳🇮 Visual infographic of the range of Russian missiles from Nicaragua

Earlier it was reported that Nicaraguan President Daniel Ortega allowed the entry of Russian troops, ships and aircraft into the country for humanitarian purposes from the second half of 2022.
 
Rais wa Ukraine Vlodomyl Zelensky amesaini muswada wa Serikali ya Ukraine kumuwekea vikwazo Rais Vladimir Putin wa Russia

Muswada huo umewajumuisha pia Waziri Mkuu wa Russia, Katibu Mkuu wa Mawasiliano ya Ikulu ya Russia bwana PESKOV pamoja na Waziri wa Ulinzi wa Russia bwana SHOIGU.




---
Ukrainian President Volodymyr Zelensky has signed a decree imposing sanctions, including asset freezes and travel bans, on Russian President Vladimir Putin and dozens of other top Russian officials, his website said on Thursday (June 9).

The sanctioned officials included Putin's spokesman Dmitry Peskov, Prime Minister Mikhail Mishustin, veteran Foreign Minister Sergei Lavrov and Defence Minister Sergei Shoigu.

The sanctions, imposed in the fourth month of Russia's Feb 24 invasion, appeared unlikely to have much practical impact beyond the symbolic.

In the early phases of the war, Zelensky had been pushing for a meeting with Putin, an idea downplayed by the Kremlin which said there was still much preparatory peace negotiating to be done by their respective delegations.

The peace talks are now frozen and Ukraine is lobbying the European Union to impose a seventh sanctions package on Russia.


"Given that Russia seems to aim to fight in Ukraine to the last Russian, sanctions pressure, of course, needs to be increased," Ukraine's foreign minister Dmytro Kuleba said on Wednesday.

Source: Ukraine's Zelensky imposes sanctions on Russia's Putin and his allies
 
Mkuu umeongea point kubwa sana hapa,pia hii dunia tunayoishi inasiri kubwa sana.pia haya mambo hayatokei kwa bahati mbaya hua ni mipango ya mda mrefu inayopangwa nama elites,lengo ni New world order itimie kwa vyovyote vile.pia kwa swala la trump mkuu cdhany kama urusi anamkono wa kumweka madarakani na imani aliwekwa na haohao ma elites, napia wao ndio waliomwondoa madarakani.Hivyo kusema sijui atofautiane nao mkuu asinge maliza even one year in office at the White House,hapo kingechompata nikile kilicho watokea maraisi marehemu john f Kennedy na Abraham Lincoln na baadhi nishasahau majina yao ila kennedy na Lincoln ndio famous.Kuna koo au familia za kisatanic ndio zinazosumbua dunia napia zinarun marekani kwa faida yao,nahao ndio wanamkono kwa kuangusha ufalme wa mwisho wa urusi chini ya mfalme tsar.Baada ya kumsapoti Vladimir irish lenin na mapinduzi ya bolshevik,pia ndio walioleta vita vya dunia vya kwanza navya pili na hapo kuna Rothschild family walioinunua ardhi ya israel ya sasa.hizi familia ambazo zadaiwa asili yake haitokani na binadamu wa kawaida wanampango wa kuiweka urusi chini ya himaya yao, napia zipo familia 13 pia kwa china ipo Li bloodline.sometimes kile wachokiona ndio kumbe siyo but time will tell.
 
Well said 👏
Well said 👏
 
Ndio atajua hajuhi,mpaka nchi nzima ishikiliwe ndio vita itaisha.
 
Asante sana. Elimu nzuri sana hii.
 
Urusi hana jeuri ya kupigana na ushirika wa nchi zaidi ya thelathini ambazo kwa pamoja zina share gharama ya vita. Urusi ya Vladimir itafilisika tu.
Akili hauna kabisa vita vya tatu vya dunia lazima nchi zote za nato zirudi zama za kutumia vibatari na kuni ikiwemo marekani hivyo usijidanganye ...tena hapo ni NATO +USA VS RUSSIA TU sasa china ndiyo itachukua dunia yote na kuitawala usa na nato na russia itainuliwa na china hii ni aina mojawapo ya vita ila kama itatokea vita vya dunia vya tatu vya aina hii ya pili NATO +USA VS RUSSIA + CHINA + KIDUKU basi hapo nchi zote zitachakazana na ushindi bado utakuwa kwa china na russia
 
Hata Ronald Reagan Rais wa 40 wa US alikuwa actor na alicheza movie ya Law and Order kabla hajawa Rais.

Arnold Schwarzenegger anafikiria kuwa Rais baada ya kucheza movie kama Rais.

Jimmy Morales alikuwa Rais wa Guatemala mwaka 2016 mpaka 2020 baada ya kuwa comedian kwa miaka 15.

Simpsons walichezea movie ikimuonyesha Trump kama Rais mwaka 2000.

Kwa akili finyu za ki conspiracy haya mambo yote yalipangwa na kila kitu kimepangwa duniani na illuminati au ujinga mwingine.
 
Wewe tuletee Swastika kutoka jeshi lolote la West tukuamini au hata proof kwamba ni official Government ideology ya nchi za West.
Tuletee Swantika kutoka Jeshi la Urusi tutakuamini au hata proof kwamba ni official Russian Government ideology.
 
Tuletee Swantika kutoka Jeshi la Urusi tutakuamini au hata proof kwamba ni official Russian Government ideology.
Hata huko ulaya hao Nazis sio official government ideology.

Huko Ukraine dikteta Putin aliwatumia Azov kama sababu ya kuhalalisha uvamizi haramu alioubatiza ' denazification'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…