Mabeberu wamwache TU mrusi Kwa I hawamwezi🏃🏃View attachment 2255403
⚡️ President Putin cancels requirement for exporters to sell 50% of foreign exchange earnings
The government commission will now determine the percentage.
That news comes as the dollar exchange rate dropped below 58 rubles for the first time since May 25.
Sasa Uongo wangu apo UKO wapi? Hao "The guardian" wamekuja na the maximum soldiers death of Ukraine na hawajatoa data za Russia. Sasa mimi nimekuta data za Russia and Ukraine kwa pamoja na bado kwa kuwa hili ni swala laacha uongo wewe unakuja na maneno yako bila hata source... leo the garden wametoa taarifa hii ...
The gardian
Russia-Ukraine war latest: Ukrainian forces ‘holding on’ in key Donbas battles but losing up to 200 troops a day, Zelenskiy aide says – live
HAHAHAHA
Ukraine inapoteza wanajeshi 200 kwa siku - msaidizi wa Zelensky
Wataisha,wanajeshi wa Ukraine, washituke kwamaana wanachochewa kupigana na urusi kisa nchi za maghalibiMwamba Putiiiiiin
Ndege vita za Ukraine bora zisiruke Russia amepata utawala wa anga na ndio anatamba sasaRussian Ministry of Defense: Air Defense Forces shot down two Ukrainian aircraft in a day - Su-25 in the Kharkov region and MiG-29 in the Dnepropetrovsk region.
View attachment 2256124
"Wise people study history, Because if you don't know what was you can't understand properly what is" Buddha.
Kila kinachotokea leo kina roots zake sio ajali au coincidence na tumejionea wenyewe hao weupe ni weupe kwelii kupitia maamuzi yao.
Sence 19thC viongozi wao wanamention NWO katika matukio tofauti ila kuna kenge atabisha bila hata rejea sijui anataka tumwamini yy kama nani?
UN ilianzishwa baada ya WW2 ilikua ni nmkusanyiko wa nchi 50 wakaunda UN charter na eneo ni US.
Cha kujiuliza kwa nini US atake yeye ahodhi peke yake ( NWO) kuhakikisha amani duniani? Na kuna nchi zaidi ya 150.........
Na ukizingatia kila taifa lina mamlaka,tamaduni,pesa,ulinzi wake,uchumi, siasa zake.
Kwa wenye macho ni dhahiri US anajiandalia kiti cha enzi hapa duniani,na mataifa yenye uthubutu,nguvu na visionary leaders wanawachalenge.
Nawasalimu kwa jina la RUSSIA...
Kichapo kiendeleee.
Historia tunayopewa hasa mashuleni waweza kuiona kama coincidence,lakin ukiangalia kwa jicho la tatu sio coincidence kabisa.Sababu utaona kuna akili kubwa sana imetumika.kipindi nipo o level nadhany form 4 kamasikosei,kwenye masuala ya vita vya dunia.ticha anakuelezea source ya WW1 ni assasination ya Sir archiduke france Ferdinand at sarajevo by a bosnia students.Ambapo matokeo yake yalikua mabaya sana,hapo namie niliamini hivyo. Lakin leo nikitrace back hilo swala nabaki kujiuliza kweli kifo cha mtu mmoja kiingize mataifa makubwa katika vita hivyo.Wakati kulikuwa na uwezekano mkubwa wa kukaa chini na kutatua hila kwa njia ya amani kabisa.what follow next after WW1 mara ma League of Nations lengo kuzuiwa vita na masuala ya kuiadhibu ujerumani ili vita isijirudie. Ikaja WW2 nayo ilileta matokeo mabaya hapo ikazaliwa UN as a world peace keeping.Yaani ni mlolongo wa matukio ili kila tukio lilete lengo kusudiwa,hapa wajua kabisa sio bahati mbaya.lakin baada ya UN kuundwa hakuna kilichobadilika vita na machufuko duniani haviishi kabisa.unafikiri watu wanataka peace lengo nikukuza fear and panic all over the world kwa faida ipi naya nany?au ya marekani hapana ni watu walionyuma ya pazia.Ndio maana rais putin wa anapambana kuzuia hawa watu kuikamata urusi, napia kuweka balance of power duniani ndio maana wanamchukia sana napia wanatamani kumua au afe mda wowote sababu Putin ni kichwa na uwezo wake ni mkubwa hivyo as long as yupo hai atawasumbua na kuwacheleweshea hao mashetani mipango yao wanayoendelea kuipanga ili kuiweka dunia kiganjani mwao."Wise people study history, Because if you don't know what was you can't understand properly what is" Buddha.
Kila kinachotokea leo kina roots zake sio ajali au coincidence na tumejionea wenyewe hao weupe ni weupe kwelii kupitia maamuzi yao.
Sence 19thC viongozi wao wanamention NWO katika matukio tofauti ila kuna kenge atabisha bila hata rejea sijui anataka tumwamini yy kama nani?
UN ilianzishwa baada ya WW2 ilikua ni nmkusanyiko wa nchi 50 wakaunda UN charter na eneo ni US.
Cha kujiuliza kwa nini US atake yeye ahodhi peke yake ( NWO) kuhakikisha amani duniani? Na kuna nchi zaidi ya 150.........
Na ukizingatia kila taifa lina mamlaka,tamaduni,pesa,ulinzi wake,uchumi, siasa zake.
Kwa wenye macho ni dhahiri US anajiandalia kiti cha enzi hapa duniani,na mataifa yenye uthubutu,nguvu na visionary leaders wanawachalenge.
Nawasalimu kwa jina la RUSSIA...
Kichapo kiendeleee
Dadekiii piga maboya hao wanatumia vibaya na viongox wa west[emoji3538][emoji3538][emoji3538]Russian troops captured the Severodonetsk airport. battles are currently underway for Borovskoye[emoji3538][emoji3538][emoji3538] https://t.co/HG8kWy8iZx
😁😁 Alafu bado Wale wa Azov.Hii Nadhan Ni revenge
Ukraine ndo walianza kwa kuhukumu wanajeshi wa urussi waliotekwa kifungo Cha maisha.
Urusi nae karevenge na mamluki wa kivita kwa hukumu ya kifo
Ha ha haa,unaogopa utachomwa?Hahahahahah mkuu nashukuru kwa offer sio jingine ni laser za Putin tu baba. Wacha niendelee kusoma nyuzi tu kwa amani