Wangewaokoa wale kiwanda cha chuma.Za ndani kabisa "Uk ameshapata sabab ya kuingia Ukraine kwenda kuokoa raia wake,
Vikao vya kibabe vinaendelea ingawaje mkuu wa wajeda na wa ujasus wakiwa wanasitasita kuunga mkono op hiyo.
Ingawaje wanasiasa wanakazia kuwa inapaswa kufanyika kwa matarajio kuwa nato wataingilia ili kuongeza nguvu.
Chanzo;Mchambuzi toka karume mchikichin
Watu wenyewe wa kukaa kujadili mustakabali wa Taifa ndio kama Mrembo Yoda na Miss Fuso binti Kenta? He he he Nitawezea wapi mimi.Mwambie habari za Urusi na Marekani zinaihusu Dunia pakubwa sana.ajue op hii imesababisha vitu kupanda Bei huko ulaya nabamerika na hatimae Dunia nzima.bila kuiacha Tanzania.
Mwambie tuliambiwa kuwa,
"Marekani ikipiga chafya Dunia nzima ni lazima tutakohoa".
Kumbe walificha hili pia kuwa,
"Urusi ikanzisha vita na nchi moja maana yake itapigana na Ulaya yote,pamoja na USA na baadhi ya wa Asia na Australia."
Mwambie pia Urusi ikifanya op yake dhidi ya nchi moja basi haitapigwa kijeshi Bali itapigwa kwa vikwazo sio kijeshi na nchi nyingine zinazoichukia zitachangishana silaha ili kuishinda Urusi lakini hakuna kitakachoitingisha."
Matokeo yake uchumi wa Dunia kuyumba na nchi nyingi kuteterka kisiasa."
"Kwa hiyo Urusi ikifanya op yake uchumi wa Dunia unatingishika sana,na Urusi ikipigana vita kamili usalama wa Dunia unakua mashakani"
Sasa kama yeye sio raia wa Dunia hii aseme.
M23 walipigana maisha yeti yanaendelea kama kawaida.
Inachekesha halafu inahuzunisha pia!
Akili zako zilitoka pamoja na marinda, hii thread haikufai nenda kwenyd majukwaa ya kenya. Hata wanaobishana na wewe wana moyo sana.
hahahahaha ila mrusii mnoko sana ni sawa umpe demu pesa halafu umdai tena hahahahaha wavivu wa historia wanasema urusi kavamia ukraine kumbe mwamba anadaia maeneo yake.
miaka ya kama 1200 na kati ya 1600 ufalme wa russi enzi zile ulitoa maeneo ya odesa crmea donestk kharakiv luhasnk kama zawadi kwa kiev russ yaani ukrain ya sasa.sjajua baharia russia kaamua kumdai bi mdashii hizo zawadi tena kwa nguvu sana miznga risasii
wadau hii inatupa funzo demu ukiachana naye dai pesa zawadi zote ulizokuwa unampa wakati mpe wotee
note vita vipo toka kuumbwa kwa dunia hakuna cha ajabu nashangaa watu wanalalamika tu kizembeee
"Spaner" Boy akishusha Spanner zake Daaadeki... Em ongeza sauti hapo, kwamba ukimpa nini udai nini [emoji23]hahahahaha ila mrusii mnoko sana ni sawa umpe demu pesa halafu umdai tena hahahahaha wavivu wa historia wanasema urusi kavamia ukraine kumbe mwamba anadaia maeneo yake.
miaka ya kama 1200 na kati ya 1600 ufalme wa russi enzi zile ulitoa maeneo ya odesa crmea donestk kharakiv luhasnk kama zawadi kwa kiev russ yaani ukrain ya sasa.sjajua baharia russia kaamua kumdai bi mdashii hizo zawadi tena kwa nguvu sana miznga risasii
wadau hii inatupa funzo demu ukiachana naye dai pesa zawadi zote ulizokuwa unampa wakati mpe wotee
note vita vipo toka kuumbwa kwa dunia hakuna cha ajabu nashangaa watu wanalalamika tu kizembeee
JWTZ ni Kati ya majeshi matatu Bora kabisa Africa.Kigali wakisaidiwa na South Africa, Egypt, Algeria na nchi zingine 40. Jwtz watapigwa kama watoto.
Hahaha nimesoma historia ulivyokuwa unajifurahisha wakati sina access, huko nilipotoka ukiitwa ukiripoti unakabidhi simu, unapewa project hauruhusiwi social media wala JF na fake Id, unapewa dakika 200 za simu kuwasiliana na familia, ndo maana nikasema hakuna fake Id. Sasa naona hukuelewa ukajiambia ambia mambo yasiyokuwepo ili ujifurahishe.Naomba Ubadili, huu uzi hauruhusu ID fake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Umenena na kufafanua vyema ndugu...Well said mdau!
Naomba nikazie ule mfano niliosema nimeupenda. Nataka niushereheshe kwa manufaa ya Pro-Russia lakini sio hao Makima msemo wa flani hapa.
Katika maeneo uliyoyataja nitatumia ramani tuelekezane vizuri.
View attachment 2257108
Hayo maeneo niliyoyawekea "black mark" ni machache kieneo na kiidadi ukilinganisha na ukubwa wa TZ. Lakini katika hiyo mikoa 9 hapo Juu ndipo kuna 43.5% ya Pato la Taifa (GDP) la Tanzania.
Kwenye hiyo Mikoa, ie. Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Tanga, Pwani, Dar es Salaam, Morogoro, Lindi na Ruvuma... Dar es Salaam peke ake inachangia 17% percent ya Total Tanzania GDP. Dar yenyewe kwenye ramani iko hivi.
View attachment 2257119
Again tuongezee Zanzibar (Uliyoitolea mfano kama Snake Island) Zanzibar inachangia 5 point kadhaa asilimia za Pato la Taifa. Ukiongeza kwenye hiyo mikoa 9 means eneo la pwani kwa pamoja linachangia around 49% of Tanzania's GDP. Lakini Zanzibar yenyewe ndio hii
View attachment 2257120
Hivi leo namna tunavojiendesha hilo eneo la ukanda wa pwani likikaliwa na asiye rafiki basi Tanzania ina Collapse. Source ya nishati, Viwanda, na vingine viiingi vipo upande huo.
Kilimo Morogoro, Itabaki mbeya tu nao ambao kulingana na Idadi ya watu wanategemea kuzalisha kuuza nje ya Mkoa. Consumers wengi wapo upande huo.
All big Companies Headquartered in Dar es Salaam. Finacial service Zote makao makuu yapo huko. Kiasi ukiivuruga Dar tu umeivuruga Tanzania. Gas inasafirishwa kutoka mtwara kuja dar kuzalisha umeme. Ubungo ile ikizimwa Tanzania tunaenda gizani.
Sasa Pro-NATO kama wanashindwa kung'amua Ukubwa wa Pua sio wingi wa kamasi, Ama Ukubwa wa kichwa sio wingi wa Maarifa mtawaeleza nini waelewe?
Naandika haya kunufaisha Pro-Russia wenzangu, naaamini mmejifunza kitu na mnaeza tumia the same principle kwenye maisha yenu ya kila siku.
Kua na Afya sio kwa kula kilo 2 za mchele kila siku bali kwa kuupatia mwili lishe bora in a desirable quantity!
Sasa ndio kama hii Map!
View attachment 2257143
Huezi kuhusudu misaada ya ARV na Ndom za bure plus Vyoo ukaielewa.
Ila mkuu utakuwa james deliciuosNiliogopa sana baada ya kuona limsafara nikajua Ukraine kwisha, ila kumbe jamaa anatumia mbinu za WW2 kasahau ulimwengu wa leo ni mwendo drones, msafara ulifyekwa hadi raha.
Waacha we, sasa unakabidhi sim halafu huruhusiwi social media... Kwa hiyo sim mnakabidhi za nini?Hahaha nimesoma historia ulivyokuwa unajifurahisha wakati sina access, huko nilipotoka ukiitwa ukiripoti unakabidhi simu, unapewa project hauruhusiwi social media wala JF na fake Id, unapewa dakika 200 za simu kuwasiliana na familia, ndo maana nikasema hakuna fake Id. Sasa naona hukuelewa ukajiambia ambia mambo yasiyokuwepo ili ujifurahishe.
Hii vita ikiisha nadhani wewe ni kati ya watu wanaohitaji Nishani ya juu kabisa ya NATO. Unapambana kuliko hata Zeleinsky na ukisikia hasara yoyote kwa NATO yaani unaugua. KWA KWELI UNA UZALENDO MKUBWA SANA KWA NATOSijuia unapimaje kiwango cha kukubalika kwa Rais wa Marekani nje ya Marekani ila historia ya kukubalika kwa kiwango cha chini zaidi katika kura za maoni za Marekani kwa Rais wa US inashikiliwa na Trump aliyewahi kufikia 29% katika kiwango cha kukubalika.
Pia ni ujinga kuhusisha kiwango cha Biden kukubalika na uvamizi unaoendelea Urusi, kama kuna kitu Wamarekani wengi wa
Democrats na Republicans wanakubaliana na jinsi Biden alivyoonyesha uongozi kwenye uvamizi wa Putin, kwa kuanzia na ku declassifiy taarifa nzima ya uvamizi huo kabla haujaanza huku Putin akikataa
Hata mataifa mengi ya Ulaya walikuwa wanatilia shaka taarifa za CIA na Biden kwamba Putin ataivamia nchi nzima ya Ukraine.
Lakini kama unafikiri pia Wamarekani hawamkubaki Biden kwa kiwango hicho subiri uchaguzi wa 2024
Hii vita ikiisha nadhani wewe ni kati ya watu wanaohitaji Nishani ya juu kabisa ya NATO. Unapambana kuliko hata Zeleinsky na ukisikia hasara yoyote kwa NATO yaani unaugua. KWA KWELI UNA UZALENDO MKUBWA SANA KWA NATO
😃 JF raha. What ever I did ile siku nia ilikuwa ni just a tip ya kutoa info kuwa naondoka kijiweni na nawaheshimu members wote tunaotofautiana humu kijiweni ila kwa sababu akili yako inawaza spana basi ukatumia nililofanya kujifurahisha kwamba unapiga spana😃. NIMERUDI, SASA NIPIGE SPANA NIKIWA NA ACCESS YA KUKUJIBU.Waacha we, sasa unakabidhi sim halafu huruhusiwi social media... Kwa hiyo sim mnakabidhi za nini [emoji23].
ID fake inahusikaje na Project, hiyo Project unaifanyia Jamii Forums sio?
Enhe, kwamba Social media wala JF he he he, kwahiyo mwamba JF yenyewe ni Social nini? Au ni Social Ukraine em tujuze tujue.
Hivi huwa mnajisikiliza mnayoyazungumza nyie? Au hakukuwa na kuku za kupiga picha huko ulikokua mwamba [emoji23]
Maama hili wenge ulokuja nalo so poa [emoji848]
Kati ya makamanda wa Kiev wanaostahili Nishani ya huu ya NATO ni pamoja na wewe. Unapigana kuliko hata Zeleinsky na unaumia na kukereka unaposikia hasara yoyote kwa NATO.Na haitokuja siku uiskie mtaishia tu huko kwenye tumiji twa mipakani, kwa kifupi Mrusi ameshindwa, ile tu kwamba siku zimeingia zaidi ya 100 na hajaifunika Ukraine, hana lolote huyo ambaye ametegemewa na waarabu na dini yao miaka yote.
Leo hii hata akiua Wa-Ukraine milioni moja, kwangu mimi haijalishi, aliposhindwa kuiteka hiyo "Kyev" ndani ya siku chache tayari udhaifu wake ulidhihirika alivyo wa hovyo.
[emoji23][emoji2] JF raha. What ever I did ile siku nia ilikuwa ni just a tip ya kutoa info kuwa naondoka kijiweni na nawaheshimu members wote tunaotofautiana humu kijiweni ila kwa sababu akili yako inawaza spana basi ukatumia nililofanya kujifurahisha kwamba unapiga spana[emoji2]. NIMERUDI, SASA NIPIGE SPANA NIKIWA NA ACCESS YA KUKUJIBU.
Hii vita ikiisha nadhani wewe ni kati ya watu wanaohitaji Nishani ya huu kabisa ya NATO. Unapambana kuliko hata Zeleinsky na ukisikia hasara yoyote kwa NATO yaani unaugua. KWA KWELI UNA UZALENDO MKUBWA SANA KWA
Kati ya makamanda wa Kiev wanaostahili Nishani ya huu ya NATO ni pamoja na wewe. Unapigana kuliko hata Zeleinsky na unaumia na kukereka unaposikia hasara yoyote kwa NATO.
Unaupiga mwingine kuliko hata Rais wa Poland aliye jirani na Ukraine. Na kwenye Propaganda unastahili kuwa mwalimu wa propagandists wa Kiev na NATO
Sahih
Yaleyale ya Mariupol yanatokea Tena.300-400 Ukrainian soldiers are blocked at the Azot plant in Severodonetsk, the LNR ambassador to Russia said.
Ukrainian militants in Severodonetsk are guaranteed their lives if they release civilians and surrender, Miroshnik said.