Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Vipi ule msaada wa silaha walioahidiwa wameshapata au bado
Hizo silaha zimeshafika siku nyingi ila waukraine na nato wanadai hizo silaha zimekuwa ONE SHOOT AND THEN YOU DIE ...wanasema ukizifyatua tu nikama kujilipua mwenyewe maana ndani ya sekunde 2 tu unakuwa umesha lipuliwa hivyo ukizitumia unatakiwa kuwa na mbio za kufa mtu ili kuzikimbia mara tu baada ya kuvyatua bomu la kwanza
 
Hawa acha wafe tuuu
 
Akishindwa uje ututag
Hatutaki kelelele kelele MKUU
Kwanza atashindwa lini !!!??
 
Ndugu yangu ndugu yangu, umesema??[emoji28][emoji28]
 
Hawajawahi nini?
Si ndio wametoka afghanistan mikono juuu au ni vitagani hawashindwi? Vietnam kwa wakulima wa mchele ilikuaje?
Jaribu kujikagua kabla haujafungua mdomo apa.
 
Hawajawahi nini?
Si ndio wametoka afghanistan mikono juuu au ni vitagani hawashindwi? Vietnam kwa wakulima wa mchele ilikuaje?
Jaribu kujikagua kabla haujafungua mdomo apa.
Vita ya Ukraine ni ngumu sana kwa maana iliandaliwa kwa gharama kubwa sana. Ukraine ilichimba na kujenga mahandaki mengi kwa msaada wa NATO na US . Yalikua matarajio ya NATO na US kuwa Russia atashindwa na kuacha mapambano na hapo heshima yake iporomoke. Russia aliandaliwa mtihani mkubwa . Kama sio haya Mapango kazi ingekuwa rahisi sana. Russia ameona atumie hayo makombora mazito kukabili hizo structure na anafanikiwa.
 
JF hii tabia ya kutufikishia kwenye hiyo page ya "trending" sio poa.

Naingia hapa nafikia thread juu inasoma "Ushawahi kula tunda kimasihara" khaa!

Ule mfumo w zamani ulikuwa poa, hii usipootea thread uliyokuwa kwenye browsing history basi kuipata mbiinde.
 
Mm mbona siyo muislamu hata nyerere na magufuli awakuwa waislamu tena kwa taarifa yako nyerere alikua adui mkubwa wa mabeberu ya nato na hata jpm, kuliko hata maraisi waislamu katika hii nchi yetu ...wewe unafikili JPM AU NYERERE WANGEKUWA HAI WANGEKUWA UPANDE WA NATO ?[emoji849][emoji849]
 
Urusi nini kimemtuma akaue watu Ukraine, mumejificha kwenye mgongo wa ushoga, kwani Ukraine ndio inaongoza kwa ushoga dunia hii, halafu kama kweli wewe Mkristo kama unavyojidai, hivi mafundisho ya Kikristo yanafundisha kuwaua mashoga?
Nato ni sawa sawa na gaidi kwa urusi hivyo nato kuingia ukrain ..ni hatari kwa urusi
 
Your browser is not able to display this video.

πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊOn June 12, four thousand Sima-Land employees sang a hymn in honor of the Day of Russia.

The company's employees simultaneously sang the first verse of the national anthem and launched a wave with ribbons in the color of the tricolor.πŸ‡·πŸ‡Ίβ™₯️✌️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…