walidhani wanaenda mashineni kusaga kwa fujo kwa kudhani nyuki wa kila mashine hawang'ani , sasa wameenda kusaga sehem ngeni kilichowakuta. Nitamalizia ngoja niongee na PutinMercenaries wengi walikuja kwa mbwembwe, wakaishia kupata aibu[emoji4]View attachment 2261073
Umechangia kinyooonge sana MKUU[emoji3][emoji23][emoji16]Mwishowe kuna upande lazima ukubali kupoteza ili vita isimame.
Juha pekee ndio huenda akaweza sikiliza porojo zako na kuzikubaliπππππnafikiri leo Mrusi atachekelea ila awe tayari maana watu wa magharibi + USA watatafuta njia hata kama itakuwa ya muda mrefu ku fix hili aka killing softly. Wameona kama wangetoa silaha nzito basi vita ingekuwa balaa maana Mrusi anaweza kusababisha maafa zaidi ya Dunia, Hajali kurusha kumbora hata kama ni kwenye uwanja wa mpira wakati watazamaji wamejaa maelfu - Putin ni mtu dhaifu sana - watu dhaifu wenye mamlaka hupenda kuua bila kujali what next.
Kupigana na mrusi uwe tayari, ni kama ugomvi wa kitaa - bisibisi, yai viza, koleo, mundu, upupu, viwembe, nyundo, misumali, mpini nk - yaani chochote kilichombele yake anakitumia.
Hii ni tofauti kubwa na mataifa ya Magharibi kwa mfano US alikwenda IRAQ wakamaliza vita bila kuvunja vunja majumba na kuharibu miundombinu..... US pia akaenda Libya akamaliza vita bila uhalibifu mkubwa wa miundombinu kama huu hapa.
Ni kama Mrusi bado anapigana vita kizamani.
View attachment 2260433
View attachment 2260434
View attachment 2260485View attachment 2260484
Huyo jombaa vita ya maneno imemshinda hivyo ana tapika badala ya kuongea πππ mwonyesheni clip za huaribifu ulio fanywa na US kule Iraq afananishe na Ukraine aone kuwa Putin ni mstaharabu. Pia hapo hafanyi vita hio ni Op tuu.Pale Afghanistan marekani iliangusha mpaka mother of all bomb ila halikufua dafu unaujua uharibifu wa ilo bomb kweli
Huu ni msumari kwa hao mashoga wata pita kama hawajaona hii comment ππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππkorintho 6:9 [9]Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
Nataka niandike kitu ila ngaboru introvert Sikirimimimasikini naomba mnisaidie kumjibuMrusi anabomoa majengo, mitaro ya maji safi na taka... huu si ubinadamu. Vita imegeuka ya kuharibu miundombinu na majengo, this is not acceptable; kimataifa Putin kachemka vibaya sana.
Na ambatanisha na comments yako kama mfano wa rejea.Huh kweli tena na ukitaka kuona Raha ya hizi mambo, soma vitabu vyote. Mie ni Muslim Pure ila sikuishia kuisoma Quran pekee. Nimeisoma hiyo Bible, Vitabu vya Mabudha, Na iman zingine kama Judaism, Buddhism na sasa niko naifatilia Confucianism na wala sitoishia hapo nilijiwekea ahadi kuendelea mbele yani mbele na zaidi.
For that case lugha ya wenzangu (Muslims) in the same belief naifaham, lugha yenu niko aware nayo hadi lugha ya wapagani naifaham, Yes I know them ila nimeamua ku'practice Uislam.
The more you read, the more you widen your knowledge! the more you understand, the more wise you become.
tulia dozi iingie wewe, acha janja janja.Hakuna jipya uliloleta, yote zilipendwa.
Mrusi ana fomula moja hatari sana ya ground fighting ambayo inaonekana jeshi la Ukraine na washirika wake wameshindwa kabisa namna ya kuizuia.[emoji3538][emoji3538][emoji3538]2,500 Ukrainian Troops are hauled up in βAzotβ Plant in Severodonetsk, 20-25% are Foreign Mercenaries - LPR Officials[emoji3538][emoji3538][emoji3538]
Kijana kaa kwa kutulia maana huna chakumfanya putin hata wale mabwana zako wanawaza ujinga kama wako ila ndo hivo hawana uwezo hata wa kuchezea sharubu za mzee putin.Putin ni katili, anaua watu sababu he got nothing to loose at his age 70+, he has eaten his life already now teminating life of innocent youngsters below 35.
Tena kwa sababu ya kijinga kijinga za kale wakati wa Soviet union.
RUSSIA TAIFA TEULE
Ahsante sana1-elimu,2-burudani.
Balaza ndio limepiga kura wangewashirikisha wasanii wao angefukuzwa mapema tu mkuuHahahahaaa, Hivi walimpigia kura au!?