Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
Na ni kweli refu so poa, alianza akiwa anajiita Ganga Zumba, akaona abadili mapigo C-M-S, hapo nahisi akaona limekua lefu sana hivyo linamsumbua sana kulitype wakati wa ku-log in, akaona bora awe nazi, so AZOV linamfaa akalitohoa kidogo kwenye A akaweka 3, eti 3ZOV.et ana jina lefu
Naomba nichangie kwa mara ya mwisho na kama Kuna mtu hajaridhika basi anaweza kufungua Uzi na Mizimu ya mababu ikipenda tutakutana huko.Ngoja tufanye kama Muhtasari,
kisiju pwani kwanza inaonesha wafikiri mwarab ni ngozi nyeupe tu.
According to study, kwanza Arab haielezewi kama ni Race, Wanadai Arab sio race, Arabs are not a distinct ethnic group, since there are both white Arabs na black arabs. Wanadai kua Some have blue eyes na wengine wana red hair; wengine are dark skinned; na walio wengi zaidi wapo somewhere in between.
Baadhi kama hao the black Sudanese Arabs ambao wana-claim descent ln the male line from Arabs of Mohammed's time, na yasemekana wanaweza kua correct in their claim.
Wala huezi tumia language as a sufficient criterion of Arabness since kuna wengi katika wayahudi wanaozungumza kiarabu lakini are not normally called Arabs.
Leo hii nyanyua mguu either mtandaoni au kwa watu kaulize Arab ni nini hakuna atakayekupa majibu yaliyonyooka, hata wao wenyewe wanajua ilivyo ngumu kutafsiri Arab n nini.
Neno Arab ina connotation of "people who speak clearly." hii ipo contrasted with ajam, or "people who speak indistinctly." Ingawa ajam (Kiajemi) came to be used specially of Persians, Na mfano wa hii contrast inafanana to that between Greeks and "barbarians."
Umeizungumzia Arab league, Yes arab league imeanza 1945, ilikuja kwa lengo la kuunganisha mataifa ya kiarabu ambayo nyuma hayana historia ya kua pa1 sababu kubwa ikiwa kwenye mvutano wa utawala na ukabila.
Kwa membership ln the Arab League the primary criterion ni language, Arab league ni muungano wa Arabic-speaking countries. Hapa utakuwa umepata majibu kwanini Djbout, Mauritania na Comoros wapo ndani ya Arab league.
Djibouti yupo ndani ya Arab league kwasababu ni Arab Speaking Country sio kwamba kwasababu ni Weupe kama waarab wale kwa mujibu unaowawaza kwamba kama ni weupe.
Afghanistan na Iran ni Muslim countries with over 97% percent lakini hawapo Arab league kwasababu sio Arab speaking Countries na vile vile sio waarab, Lakini wapo eneo moja. Iran wanazungumza kiajemi, Persian Language, Afghanistan wana-zungumza Pashto sio arabic.
Mtu anvyoitamka Arab, ni kama anavyoitamka Asia, anavyoitamka Europe n.k Ndani ya Asia kuna Chinese, Japanese, Korean, Mongolian n.k ndani ya Europe kuna Dutch, Polish, Irish, British, Welsh, Scottish, Portuguese n.k
Upande wa Arab nako kupo vile vile, in term of geneology, waarab wana-wagawa katika mafungu matatu, Ancient Arabs, Pure Arab (Walio kuepo kabla ya Abraham na Ishmael) na Arabized Arabs (Waarab waliofatia baada kwenye uzao wa Ishmael).
Ukija kwenye ethnic, Being Arab inabase kwenye criteria nyingi tu mfano
1. Genealogy kama waliopo Saudia,
2. Ancestry kama wale Afro Arab waliopo Comoro
3. Self Concept, kwamba naamua kujivalisha au kujinasibisha na Uarab.
4. Attribution of Identity, hii category wapo hao Sudan Kaskazini, ambao pia huwa wana claim hiyo ya pili kua chimbuko lao nyuma kabisa linatoka uko.
Nyinginezo ni kama Cultural, Language, Political (Hapa ndipo kuna Djibouti na Somalis), Society na Nationality.
Kuna yule mwingine pilot waliompachika jina la ghost of Kiev nae sijui kaishia wapi......ila tumepitia kwenye propaganda nyiingi mpaka leo hii na Bado mwamba Putin analisongesha huko Ukraine huku sie tukilisongesha humu jfHivi yule mkulima wa trekta kuvuta vifaru mbona kimya siku hizi?
Ask-Q ... najiuliza sana hivi ... Wana Mafikirio Gani.....!!?? Unajua Kwa Umri wako .... Ukifuatilia comments .. naheshimu sana.. ndio nilikuwa namalizia Bachelor of Arts In Economics .... !! Nikaona hili JF ni Jimbo huru.....katika umri.mdogo nimefuta vyeo vyote vya Serikali.... ANZIA HUKO ...MJIPANGE.. NIMEIPIMGA HII SERIKALI... KARIBU...MNIMUSANYE ..... NIBUT
Utulivu unahitajika..... Tunaingia oddesa ... Tunakata nchi ,1/3... Ndiowaje mezani....HAKUKUWA NA CROATIA,SLOVAKIA WALA SERBIA.. SI ZIKUJA !! KOSOVO!??SASA,TUNAIFUTA UKRAINE....Kwa hiyo Bulgaria wamemwaga mboga, hawataki kuwasha mkaa na kuni kipindi cha joto, here comes Italy, waitaliano waliumizwa na covid 19 kuliko nchi yoyote duniani, leo myopic leaders wanataka ugomvi nyumba ya kumi huko uwaathiri.
What I need, UK I crash kabisa, huyu ndio kiherehere namba moja wa [emoji631].
Maisha ya Makete kusanya mbao mbichi ....🤣🤣🤣🤣💪💪💪🤗Kwa hiyo Bulgaria wamemwaga mboga, hawataki kuwasha mkaa na kuni kipindi cha joto, here comes Italy, waitaliano waliumizwa na covid 19 kuliko nchi yoyote duniani, leo myopic leaders wanataka ugomvi nyumba ya kumi huko uwaathiri.
What I need, UK I crash kabisa, huyu ndio kiherehere namba moja wa [emoji631].
Mkuu, na mimi nina Ombi moja tu kama la huyo mwanetu. Nje ya mada ila nifahamishe.Naomba nichangie kwa mara ya mwisho na kama Kuna mtu hajaridhika basi anaweza kufungua Uzi na Mizimu ya mababu ikipenda tutakutana huko.
Pia niombe radhi kwa Wana jf kwa kuwatoa nje ya mada yetu pendwa ila Sina budi Kurekebisha upotoshaji.
Wasudani hawana Uarabu wowote ule hapa Afrika na jamii za kale zilizokuwepo Misri zilikimbia kutokana na vita ya wavamizi kutoka Asia.
Mpaka Leo kusini mwa Misri kumejaa wanubi na jamii nyingine za kiafrika ila hazipewi support ya kutosha na waarabu wa misri.
Na Kuna ushahidi wa kutosha hata farao wa mwanzo hawakuwa waarabu.
Waarabu aliwatawala watu mpaka eneo la Sudan ya leo na kuimpose lugha yake, Utamaduni wake na Imani yake kutokea Misri, wengine wakaenda wa waberber na kuwasilimisha na wenyewe kulowea huko na mpaka Leo North Africa ni waarabu na jamii zinazojinasibisha na uarabu.
Turudi kwa Sudan
Watu wa Sudan, Chad, Tuareg, Fulani katika nchi za Mali, Burkifaso, Mauritania,Niger na Nigeria Wanaongea western sudanic group of language.
Sasa iweje watu wa Sudan ambao ni wanubi wawe waarabu na Fulani wa Nigeria wasiwe waarabu?
Kumbuka hawa wote Wana Utamaduni na Imani ya Muarabu?
Halafu Kuna eastern sudanic language zinazoanzia kusini mwa Misri mpaka Tanzania ila wanaopatikana sio waarabu?
Halafu Waarabu ni Semetic sawasawa na Wayaudi na waethiopia.
Kwa nini waethiopia sio waarabu Ili wapo kwenye kundi Moja?
kumbuka Arabic language imekopa maneno mengi kutoka Amharic language ambayo ni Moja ya lugha inayotumiwa na Waethiopia.
Hivyo utagundua watu wa Sudan sio waarabu haijalishi wanavyojinasibu na uwarabu.
Kumbuka watu wa Djibout asili yao na vinasaba vyao ni Wasomali na lugha ya Somali ndio huzungumzwa, ikawaje wawe waarabu?
Utagundua ni Imani, Utamaduni ndio wakaingizwa kwenye Arabu league na kutambulika kama Taifa la kiarabu.
Muharabu sio mweupe kwanza, wale watu ni brown hivi na msudani so kati Yao.
Unafikiri kwa nini Mzanzibari anajiona muharabu zaidi?
Kwa nini wanahisi Watu wa Oman ni ndugu zao zaidi?
Kwa nini watu wa mikindani, kilwa zote, Lindi, Kisiju, Mafia, koma, kwale, Bagamoyo, Sadani, Pangani na Mkinga kuwa waarabu sio wakoloni?
Na wapo wanaojiona waarabu zaidi kuliko waafrika?
View attachment 2270013View attachment 2270014View attachment 2270015View attachment 2270016
View attachment 2269794
Mtongea Ukweli tu
Majority ya wakomoro ni BantuSijui kukujibu jibu nitakuwa kama nakushambulia? Any way utanisamehe tu. Em tuambie waarab ni wakina nani? Ukiwa na majibu ya hilo basi hoja ya wa Sudan huezi kuipinga.
Case ya Sudan sio kama hiyo mifano unayoitoa. Somalia ethnic yao ni Somali sio arab japo wanazungumza kiarab na kisomali hilo linafahamika.
Lakini kwa Sudan ya kaskazini. Kule kuna waarab ambao wanadai Ancestry yao ni moja ya koo zilizokuepo enzi. Ukiwa na wazo la waarab ni weupe basi hutopata picha kamili.
Wala case ya Sudan haifanani na Djbout, Djbout asili yao ni Somalis na Afar.
Issue ya Sudan unaweza kuifananisha na Comoros, Comoro kuna Afro-Arab, utawaona wapo partial au totally black. Kama Sudanese Arab waliopo hapo Sudan.
Una kaza FUVU vitu vya kijinga...unafahamu Kuna "Race " ngapi..sio "Race" mbio za magari na pikipiki.. nauliza "RACE" ETHNICITY....SIJUI UMENIELEWAAAAA....!!!Naona haujapinga andiko langu Bali umeliongezea nyama tu.
Hivyo Sudan sio waarabu Bali ni Arabized au they identify them as such.
Nimekuqoute
. Self Concept, kwamba naamua kujivalisha au kujinasibisha na Uarab.
Lakini umeondoa culture aspects katika hili.
Nchi kama Mauritania ambayo utumwa mpaka Leo hupo sio tu Wanaongea kiarabu lakini pia Utamaduni wao ni kiarabu.
Comoro lugha yao wameichanganya kati ya kiswahili, kiarabu na kifaransa zama hizi ila zamani kiarabu na kiswahili kilitamalaki kwa kutumia maandishi ya kiarabu.
N.B kujinasibisha na jamii Fulani hakukufanyi kuwa miongoni mwao
Hata team ya taifa ya sudan haina mwarabu hata mmojaNaomba nichangie kwa mara ya mwisho na kama Kuna mtu hajaridhika basi anaweza kufungua Uzi na Mizimu ya mababu ikipenda tutakutana huko.
Pia niombe radhi kwa Wana jf kwa kuwatoa nje ya mada yetu pendwa ila Sina budi Kurekebisha upotoshaji.
Wasudani hawana Uarabu wowote ule hapa Afrika na jamii za kale zilizokuwepo Misri zilikimbia kutokana na vita ya wavamizi kutoka Asia.
Mpaka Leo kusini mwa Misri kumejaa wanubi na jamii nyingine za kiafrika ila hazipewi support ya kutosha na waarabu wa misri.
Na Kuna ushahidi wa kutosha hata farao wa mwanzo hawakuwa waarabu.
Waarabu aliwatawala watu mpaka eneo la Sudan ya leo na kuimpose lugha yake, Utamaduni wake na Imani yake kutokea Misri, wengine wakaenda wa waberber na kuwasilimisha na wenyewe kulowea huko na mpaka Leo North Africa ni waarabu na jamii zinazojinasibisha na uarabu.
Turudi kwa Sudan
Watu wa Sudan, Chad, Tuareg, Fulani katika nchi za Mali, Burkifaso, Mauritania,Niger na Nigeria Wanaongea western sudanic group of language.
Sasa iweje watu wa Sudan ambao ni wanubi wawe waarabu na Fulani wa Nigeria wasiwe waarabu?
Kumbuka hawa wote Wana Utamaduni na Imani ya Muarabu?
Halafu Kuna eastern sudanic language zinazoanzia kusini mwa Misri mpaka Tanzania ila wanaopatikana sio waarabu?
Halafu Waarabu ni Semetic sawasawa na Wayaudi na waethiopia.
Kwa nini waethiopia sio waarabu Ili wapo kwenye kundi Moja?
kumbuka Arabic language imekopa maneno mengi kutoka Amharic language ambayo ni Moja ya lugha inayotumiwa na Waethiopia.
Hivyo utagundua watu wa Sudan sio waarabu haijalishi wanavyojinasibu na uwarabu.
Kumbuka watu wa Djibout asili yao na vinasaba vyao ni Wasomali na lugha ya Somali ndio huzungumzwa, ikawaje wawe waarabu?
Utagundua ni Imani, Utamaduni ndio wakaingizwa kwenye Arabu league na kutambulika kama Taifa la kiarabu.
Muharabu sio mweupe kwanza, wale watu ni brown hivi na msudani so kati Yao.
Unafikiri kwa nini Mzanzibari anajiona muharabu zaidi?
Kwa nini wanahisi Watu wa Oman ni ndugu zao zaidi?
Kwa nini watu wa mikindani, kilwa zote, Lindi, Kisiju, Mafia, koma, kwale, Bagamoyo, Sadani, Pangani na Mkinga kuwa waarabu sio wakoloni?
Na wapo wanaojiona waarabu zaidi kuliko waafrika?
View attachment 2270013View attachment 2270014View attachment 2270015View attachment 2270016
Nijibu swali mdau, Waarab ni akina nani... Mie nipe jibu la hilo tu... Only that. Kimoko tu. Who is Arab?Majority ya wakomoro ni Bantu
Kitu pekee kinachofanya wajinasibishe na Uarabu ni lugha na Tamaduni.
Afro Arabs hawezi kuwa muharabu na sio percentage kubwa.
Je, afro European anaweza kujifananisha na uzungu?
Je, afro Chinese anaweza kujifananisha na wachina?
Tutoe tongotongo kwenye hili
Tulijibu hii zamani sana ..mpe mtihani tu.Mkuu ulisema kuwa EU ni sawa na NATO, nilichofanya ni kukuonesha kuwa EU na NATO ni vitu viwili tofaut.v
Hiyo ya kuaccelerate ni yako wewe
Wanabadiri majina.....🤣🤣🤣Hivi yule jamaa aliyekuwa akileta humu kile kinachodaiwa ni majina ya Askari waliouliwa mbona simuoni Tena humu?! Alikuwa na Id yenye jina refu hivi...
Tulia mdogo wangu, Bro wako nipo!
Desayi na we tujuze, waarab ni wakina nani mwambaHata team ya taifa ya sudan haina mwarabu hata mmoja
Lipo bomb la furaha.. NATO wenyewe waliliiita Joy Bomb... Sarmat II wakaiita SATAN II... SASA KUNA S-500 NA SARMAT III... HiiiiiiiBomba bhana, dude la mrusi
Umeniuliza waarabu ni watu gani?[emoji38][emoji38][emoji38]Sijui kukujibu jibu nitakuwa kama nakushambulia? Any way utanisamehe tu. Em tuambie waarab ni wakina nani? Ukiwa na majibu ya hilo basi hoja ya wa Sudan huezi kuipinga.