TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,646
- 28,747
Mkuu unaweza kutupatia orodha ya nchi nyingi duniani ambazo zimeiwekea vikwazo Russia, ukiachana ni na nchi zenye maeno madogo madogo za Ulaya?YALIYOJIRI JUNI 231. Uingereza yatangaza vikwazo vipya vya kibiashara kwa Urusi
Serikali imetangaza awamu mpya ya Vikwazo vya kibiashara dhidi ya #Russia ikiwa ni mwendelezo wa Vikwazo kutoka nchi nyingi Duniani kutokana na kuendelea kwa #RussiaUkraineWar.
Je lugha ya kiarabu imeanza lini.Sio mbaya mkuu elim haina mwisho... Kama upo tiari kuingiza nitakwambia.
Arab ni term inayotumika cultural na linguistically, hakuna Race ya Waarab.
Na Arab wa ukiwachimba kihistoria kaa hivyo utatumia Genealogy, kuna sehem dogo kalisema huko nyuma. Wapo hao Ancient Arab hii jamii ilikuwa destroyed miaka kibao, kuna Pure Arab hawa walikuwepo kabla ya Ismail na bab yake Ibrahim. Kisha kuna Arabized Arab. Hawa ambao wetoka kwa Ismail.
Elim ziko wazi fatilia itajua zaidi Mjomba.
Hii swali nikuombe kutolijibu mjomba ili tusirudi kule kwa jana. Tuendelee na wanazi wetu vyura-krainia hadi mwishoJe lugha ya kiarabu imeanza lini.
Aisee kuna jamaa genius katutoa kwenye mada.
Dini zilikuja kuua ubunifu na utamaduni wetu Kwa asilimia kubwa SanaYote tisa kumi ni dini hii ni kansa inayotutafuna wototo wa Africa.
Maarifa yetu yamemezwa na hofu ambayo haipo.
Angalizo.
Sijazungumzia Mungu mkuu wa kila kitu ila dini.
Africa tulikua tunamtambua Mungu na hata kwenye kabila zetu ana jina la kikabila hivyo .
Dini ni biashara ila sisi hatutambui hili ila naamini kitakuja kupatikana kizazi majasiri,wajuzi na wenye msimamo kuisimamisha Africa.
Tukiweza kurudi kwenye tamaduni zetu na kuzienzi tutafika.
Hivi kwann mme hamua kuharibu thread kwa mambo yasiyo husika na jukwaa hiliDini zilikuja kuua ubunifu na utamaduni wetu Kwa asilimia kubwa Sana
Nakumbuka kigoma mwaka 1989 kijijini maeneo ya kasulu kulikuwa na ligi ya ng'ombe katika mchezo ule kuna mchezaji alichezewa vibaya na mwenzake akavunjika mguu yaani ugoko ulikatika katikati Kati ya goti na kiganja cha mguu
Alichukuliwa na kupelekwa nyumbani kwako akakandwa na dawa za mitishamba Kwa siku Ile maana muda huo ilikuwa unapelea Saa mbili kasoro usiku,
Kesho yake asubuhi aliendelea kukandwa na mitishamba, Ila ilipofika Saa Saba mchana alikuja mtaalamu akachukua vigoda viwili akavuweka Kati Kati ya uwanja palipokuwa hakuna kivuli kisha akamchukua mgonjwa akamuambia akae juu ya kigoda kimoja na kigoda kingine akaambiwa aweke kisigino cha mguu wake uliovunjika, kiufupi asilimia kubwa ya ule mguu uliovunjika kivuli chake kilionekana ardhini, Yule mtaalamu akaanza kuchanja chale kile kivuli cha mguu uliovunjika,
Na ule mguu ulikuwa unajitajika kunyooshwa ili ukae sawa, Yule mtaalamu alianza kunyoosha kivuli cha mguu mpaka kikakaa sawa na mguu wa mgunjwa ukakaa sawa, akaanza kupaka dawa kivuli cha mguu sehemu aliyotumia alipomaliza kuna nyingine alipaka kwenye mguu wenyewe, kutoka hapo jamaa alibebwa kwenye machela hakutakiwa kutembea Kwa wiki moja na alikuwa anapiga dawa tu, baada ya wiki jamaa alianza Kwa kutembea japo Kwa kuchechemea lakini hakufungwa hogo wala kitu chochote hata miti hakufungwa
Sasa jiulize waafrika Kama tungekuwa na technology yetu hiyo kulikuwa na umuhimu wa kutumia x-rays ambapo kila ukipiga inakupunguzia umri wa kuishi?
Kuna sehemu Kati ya mbeya na iringa sikumbuki sawasawa, jamaa anauza asali lakini kwenye kibamda cha kuuzia hakuna muuzaji, hapo unakuta asali imeandikwa bei yake pembeni kuna ungo Una pesa, unachotakiwa kufanya ni kuchukua asali inayolitaka pesa ya manunuzi unaweka kwenye ungo kama unahitaji chenchen chukua inavyotakiwa usizidishe kisha ondoka, jamaa anakuja jioni anakuja kuchukua asali iliyobaki na pesa yake anaondoka,
Sasa jiulize technology hiyo waafrika wangekuwa nayo tungefunga kwenye masuper market tungeokoa kiasi gani kwenye technology inayotumika kwenye hayo maduka??, Computer, camera za CCTV, walinzi, cashier mitambo ya kuscan bidhaa nk, tungeokoa kiasi gani????, Na nchi za ulaya wangetuuzia nini maana hawana resources,
Watu zamani walikuwa wanaweza kuita nyuki,Simba, nyoka,fisi,mamba na walikuwa na uwezo wa kutuma Hadi radi kwenda kuangamiza, sasa jiulize kama wataalamu hawa wangejiunga na kutengeneza umoja ambao wanakuwa Kwa maslahi ya kulinda taifa tungehitaji mizinga,rada na bunduki za wazungu????
Babu yangu alipokuwa mdogo walikuja Dar kuja kuchukua chumvi na kuipeleka nyumbani songea alibeba pishi tatu za chumvi walitbea Kwa miguu kutoka dar Hadi songea alifika akiwa anaumwa Sana na kichwa Baba yake akampatia dawa ya miti shamba hilo tukio lilitokea akiwa na miaka kama 20 hivi basi toka siku hiyo mpaka amefariki anamiaka 93 lakini hakuwahi kuumwa kichwa, yaani ataugua magonjwa yote lakini kichwa hajawahi kuumwa tena toka atumie dawa, katika vitu alivyolaani babu ni kutukumuuliza Baba yake kuwa alitumia dawa gani kumtibu, maana wakati Baba yake anafariki babu alikuwa vitani mashariki ya Kati alipigana Vita ya pili ya dunia yeye akiwa kama Askari,
Sasa jiulize kama utaalamu huu ungekuwepo tungehitaji panaldo????
Kwa hiyo matatizo mengi yanatufika waafrika Kwa kuziaacha mila na tamaduni zetu kisa dini zilizoletwa na ngozi nyeupe,
Sikatai kulikuwa na makosa flani kwenye Mila zetu tulichotakiwa ni kuchuja kuacha zile Mila potifu na zile zingine kuzirekebisha na kiziimarisha, kama kuna watu walikuwa wanatumia utaalamu wao kuumiza watu wengine tungeanzisha umoja WA wataalamu ambao katika majukumu yao ni pamoja kuwaadhibu wale wanayotumia utaalamu wao kuwadhuru wengine,
Ungejusikiaje MTU kakuibia simu unaenda Kwa mtaalam unalipia 10k, mtaalamu akachukua tube ya baiskeli anaijaza upepo Yule mwizi aliyeiba tumbo linajaa, Anatoka alikokuwa anakuja mpaka nyumbani kwako anakurudishia simu yako na yeye anapata unafuu, kwenye kitu kama hiki ubaya wake ni nini??????
Dahh umenikumbusha asee kuhusu swala la kutotawadhaHiyo conclusion yako nimeipenda.
Ukiangalia mwenendo wa waingereza na ukilinganisha na Slaves wao akili ni zile zile. Kujiona kuwa ni bingwa, kuongea maneno yasiyofaa. Mpaka unashindwa kuelewa hawa watu wamelogwa au ni nini!?
Unakuja kugundua ni inferiority complex inawasumbua. Hivi kweli kwa akili za kawaida UK inaweza kupambana na Urusi!?
Hawa wakenya wameathiliwa na elimu ilinayopandikizwa na waingereza. Ukiangalia maisha wanayoishi ni ya ajabu ajabu. Wakienda choo hawatawadhi wanatembea na mborea.
Basi ngoja niishie hapo. Wanaanza kuleta mambo ya Udini kwenye mada ambayo haihusiani na udini.
Huwezi kukuta mtanzania anaongelea masuala ya Udini, Ukabila, race nk. Tukishatoka huko. Sisi ni civilized. Wenzetu wakenya bado wapo na mentality za ujima.
Russia ipo na mkusanyiko wa kila aina ya imani na dini. Kama hapa kwetu Tanzania. Unakuta familia moja wapo waisram, wakristo na wasio na dini. Na wanaishi vizuri tu, kila mmoja anamuheshimu mwenzake.
Ukiangalia kwenye sherehe za kidini huwezi kutofautisha mkristo wala muislam wote tunasherehekea kwa pamoja. Unakuta kabisa familia ya wakristo siku za idi wanasherehekea tena kwa furaha.
Ukweli mtupu kwa sababu hata izo technology zao pia zinatumika kuangamiza tofauti na lengo kusudiwa.Dini zilikuja kuua ubunifu na utamaduni wetu Kwa asilimia kubwa Sana
Nakumbuka kigoma mwaka 1989 kijijini maeneo ya kasulu kulikuwa na ligi ya ng'ombe katika mchezo ule kuna mchezaji alichezewa vibaya na mwenzake akavunjika mguu yaani ugoko ulikatika katikati Kati ya goti na kiganja cha mguu
Alichukuliwa na kupelekwa nyumbani kwako akakandwa na dawa za mitishamba Kwa siku Ile maana muda huo ilikuwa unapelea Saa mbili kasoro usiku,
Kesho yake asubuhi aliendelea kukandwa na mitishamba, Ila ilipofika Saa Saba mchana alikuja mtaalamu akachukua vigoda viwili akavuweka Kati Kati ya uwanja palipokuwa hakuna kivuli kisha akamchukua mgonjwa akamuambia akae juu ya kigoda kimoja na kigoda kingine akaambiwa aweke kisigino cha mguu wake uliovunjika, kiufupi asilimia kubwa ya ule mguu uliovunjika kivuli chake kilionekana ardhini, Yule mtaalamu akaanza kuchanja chale kile kivuli cha mguu uliovunjika,
Na ule mguu ulikuwa unajitajika kunyooshwa ili ukae sawa, Yule mtaalamu alianza kunyoosha kivuli cha mguu mpaka kikakaa sawa na mguu wa mgunjwa ukakaa sawa, akaanza kupaka dawa kivuli cha mguu sehemu aliyotumia alipomaliza kuna nyingine alipaka kwenye mguu wenyewe, kutoka hapo jamaa alibebwa kwenye machela hakutakiwa kutembea Kwa wiki moja na alikuwa anapiga dawa tu, baada ya wiki jamaa alianza Kwa kutembea japo Kwa kuchechemea lakini hakufungwa hogo wala kitu chochote hata miti hakufungwa
Sasa jiulize waafrika Kama tungekuwa na technology yetu hiyo kulikuwa na umuhimu wa kutumia x-rays ambapo kila ukipiga inakupunguzia umri wa kuishi?
Kuna sehemu Kati ya mbeya na iringa sikumbuki sawasawa, jamaa anauza asali lakini kwenye kibamda cha kuuzia hakuna muuzaji, hapo unakuta asali imeandikwa bei yake pembeni kuna ungo Una pesa, unachotakiwa kufanya ni kuchukua asali inayolitaka pesa ya manunuzi unaweka kwenye ungo kama unahitaji chenchen chukua inavyotakiwa usizidishe kisha ondoka, jamaa anakuja jioni anakuja kuchukua asali iliyobaki na pesa yake anaondoka,
Sasa jiulize technology hiyo waafrika wangekuwa nayo tungefunga kwenye masuper market tungeokoa kiasi gani kwenye technology inayotumika kwenye hayo maduka??, Computer, camera za CCTV, walinzi, cashier mitambo ya kuscan bidhaa nk, tungeokoa kiasi gani????, Na nchi za ulaya wangetuuzia nini maana hawana resources,
Watu zamani walikuwa wanaweza kuita nyuki,Simba, nyoka,fisi,mamba na walikuwa na uwezo wa kutuma Hadi radi kwenda kuangamiza, sasa jiulize kama wataalamu hawa wangejiunga na kutengeneza umoja ambao wanakuwa Kwa maslahi ya kulinda taifa tungehitaji mizinga,rada na bunduki za wazungu????
Babu yangu alipokuwa mdogo walikuja Dar kuja kuchukua chumvi na kuipeleka nyumbani songea alibeba pishi tatu za chumvi walitbea Kwa miguu kutoka dar Hadi songea alifika akiwa anaumwa Sana na kichwa Baba yake akampatia dawa ya miti shamba hilo tukio lilitokea akiwa na miaka kama 20 hivi basi toka siku hiyo mpaka amefariki anamiaka 93 lakini hakuwahi kuumwa kichwa, yaani ataugua magonjwa yote lakini kichwa hajawahi kuumwa tena toka atumie dawa, katika vitu alivyolaani babu ni kutukumuuliza Baba yake kuwa alitumia dawa gani kumtibu, maana wakati Baba yake anafariki babu alikuwa vitani mashariki ya Kati alipigana Vita ya pili ya dunia yeye akiwa kama Askari,
Sasa jiulize kama utaalamu huu ungekuwepo tungehitaji panaldo????
Kwa hiyo matatizo mengi yanatufika waafrika Kwa kuziaacha mila na tamaduni zetu kisa dini zilizoletwa na ngozi nyeupe,
Sikatai kulikuwa na makosa flani kwenye Mila zetu tulichotakiwa ni kuchuja kuacha zile Mila potifu na zile zingine kuzirekebisha na kiziimarisha, kama kuna watu walikuwa wanatumia utaalamu wao kuumiza watu wengine tungeanzisha umoja WA wataalamu ambao katika majukumu yao ni pamoja kuwaadhibu wale wanayotumia utaalamu wao kuwadhuru wengine,
Ungejusikiaje MTU kakuibia simu unaenda Kwa mtaalam unalipia 10k, mtaalamu akachukua tube ya baiskeli anaijaza upepo Yule mwizi aliyeiba tumbo linajaa, Anatoka alikokuwa anakuja mpaka nyumbani kwako anakurudishia simu yako na yeye anapata unafuu, kwenye kitu kama hiki ubaya wake ni nini??????
Si uweke wewe izo update m****Koo nini😏😏😏😏haujafungwa mikono,kuandika tuu unahema hema.Hivi kwann mme hamua kuharibu thread kwa mambo yasiyo husika na jukwaa hili
Nalaani wote hata kama mna nia nzuri hila hapa si mahala pake
Sasa hvi hna updates kisa kutunishiana misuli ya linguistics tu
Hovyoo
Hii sijui akili ya wapi, vikwazo walivyompiga wanasahau, siraha wanazozituma kwa Ukraine wanazisahau, vikao vya vicoba wanavuokaa juu ya Russia wanasahau, wapambane tu.Yeah,how lunatic!Germany is accusing
Russia of ‘economic attack’ on EU. Wow,mkuki kwa Nguruwe,kwa Binadamu mchungu.
Germany says reducing Russian gas supplies is part of Moscow’s plan to stir up fear in Europe
[emoji2398] Getty Images / Manuel Brunner
The German government has accused Russia of leading an “attack” on Germany and the EU, by restricting gas supplies to the continent.
“Reducing gas supply via the Nord Stream 1 pipeline is an attack against us – an economic attack against us,” the country’s Economy Minister Robert Habeck said on Tuesday.
Speaking at an industry conference, Habeck added that Moscow is trying to stir up fear in Europe and that the gas-supply situation could lead to a crisis worse than the coronavirus pandemic.
Russian energy supplier Gazprom last week slashed natural gas flow to Germany via the pipeline by 60%, citing a technical issue. Turbines from a pumping station have not been returned from repairs in Canada, with Ottawa explaining that it was unable to return them due to the sanctions against Russia. According to media reports, Canada is now exploring ways to send the crucial parts without breaching the restrictions.
READ MORE: EU told to prepare for total Russian gas cut-off
The reduction in gas supply affected the flows of Russian gas from Germany to other European countries, including France, Austria and the Czech Republic, prompting these and other EU nations to introduce emergency measures to reduce the use of natural gas.
The slowdown has hampered the EU’s attempts to refill its gas storage facilities, now about 55% full, according to Reuters, to meet a bloc-wide target of 90% by November, a level that would enable the region to get through winter if Russian supplies were cut further.

Akitoka hapo anaenda uwanjani siku ya uhuru kusifia mvumo wa ndege za kirusi zikipita kutoa salute na akigeuka nyuma anakuta msisitizo kuwa raia haruhusiwi kumiliki Ak47 kwaajiri ya kijilinda ni silaha za kivita kwa vile anastress anaenda kunywa vodka na kuzima kesho yake aamke aendelee tena kuitukana urusiHahahahah hivi nchi yenye watu wenye akili kama Warusi unawayumbishaje yani. They have alternatives to almost anything thats existing.
Kuna kima mmoja alikuwa anadiss oh Russia hana brand yeyote sokoni inayotambulika...ila at the same time utamkuta yupo telegram kwenye magrupu ya malaya anachagua demu wa kwenda kumla. Akichoka anaingia channel za forex kuomba signal na kupost asijue kuwa Telegram imetengenezwa na mrusi.
Mrusi ni mtu smart ila asiyependa show off za kijinga ila ana rasilimali na watu smart sana.
Huyu anapua kama za kwetu kabsaaMpaka sasa hivi sijaelewa hoja yako.
Kwahiyo Omar Al Bashir siyo mwarabu!?
Kama siyo mwarabu yeye race yake ni ipi!? Mbona wapo Wahindi weusi.
Black color ni kwasababu ya Melanin.
View attachment 2269211
Oo wakulima watakua jeshi jipya hatari sana kwa hiyo supply ya Urusi ya vifaa vya kejeshi, saizi wamesahau hata kilimo ni nini wanaishia kulalama ngano inasafirishwa kwenda Urusi na nyie si mlijipiga picha mkivuta vifaru vya Urusi, kila mtu ashinde mechi zakewalidhani vifaru ni kwa ajili ya kilimo, ila kwa sasa ndio wamejua kazi yake hapo Ukraine.
kama hujui, hujui tu.Kawalazimisha mahasimu wake wanunue bidhaa kwa fedha yake.
Huduma zote kama kwenda anga ,a juu kwa fedha zake.
Kweli mkuu hakuna kitu kizuri kama kukubali kujifunza,hii elimu ya hapa ni bure.Ni suala la kukubali uhalisia hata nisioupenda. Facing my nightmares katika uhalisia wake. namuombea Puttin afeli ila so far amekuwa smart inabidi kukubali uhalisia, niuone mwisho wake. Ikitokea Akawa defeted nitafurahia sana tu.
BY THE WAY WE ARE ALL MASHABIKI, SIPOTEZI KITU KWA KUUKUBALI UKWELI KAMA NILIVYOKUBALI MSIMU HUU SIMBA TUMEFELI.
Sisi pro- NATO wengi wetu tumepata uchizi ‼️. Haya ngoja tusubiri tuone mabadiriko, lakini usikimbie humu kwa aibu.KIMEUMANAA - NI PIGO JIPYA KWA PUTIN.
Ukraine granted EU candidate status in ‘historic moment’
European leaders have formally accepted Ukraine and Moldova as candidates to join the EU, in a “historic moment” which will also serve as a blow to Russia’s Vladimir Putin.
unajua lengo hasa la Urusi kuivamia Ukraine ama unabwabwaja tu sababu mdomo unao.Sisi pro- NATO wengi wetu tumepata uchizi ‼️. Haya ngoja tusubiri tuone mabadiriko, lakini usikimbie humu kwa aibu.