Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
Bongo likiingia Giza uchochoro wowote ni 5 Star Lodge.... Viwanda sio havina umuhim kiviiiile [emoji23][emoji23]Pro nato wengi saa hizi wamekimbilia mafichoni....hawataki hata kusogelea hizi nyuzi....bahati mbaya tz hakuna viwanda vingi vya kujificha kama pro nato wa ukraine maana wako vizuri kitafuta maficho kwenye viwanda
Nimeanza kuogopa!Huko mbeleni nahisi Jina litabadilishwa, hakutakuwa na nomenclature ya kufata herufi ya mwanzo ya jina la nchi. Wataupa huo Muungano jina la pa1.
Nasema hivi, kwasababu mfano zikifika nchi 7,8 au 20. Utaitwaje?
Bro wataikinga na nini hiyo London? Mmmh! Kule haitakuwa kwenda kuteka bali kuifuta London, UK kwenye uso wa dunia.
Ikianza vita rasm hakutakuwa na matumizi ya Ak47 kama hapo kwenye Operation ya Ukraine. Zitatumika silaha nzito mno.
Nitataja mbili kama mfano.
1. The Poseidon, Status-6
Hii ina 100Megatons, ina uwezo wa kutengeneza Radio active Sunami yenye wimbi hadi 500m. UK ni kisiwa, its like kitaenda kufunikwa na Sunami kiwe uninhabitable kwa milongo kadhaa huko mbeleni.
Hiyo ni tsunami, Je watailinda kwa kutumia nini?
2. Samart 2...
Ambayo yategemewa kuingia mzigoni kwa matumizi mwishoni mwa mwaka huu. Dude linatembea kwa speed ya zaidi ya mach 20, Speed mara 20 ya sauti. Chini ya dk 7 linaweza kuipiga London.
Hizi dk 7 hata mtu hajamaliza kukata gogo chooni, rudi kwenye raman iangalie London iliko kutoka Moscow kisha jiulize hao waliopo katikati kitawakuta nini.
Hizi nchi ambazo tu kupeleka silaha Ukraine zishaanza kupiga kelele Stocks zao "zinapokoyoka"
Mambo yameanza kua matam kuyaeleza, kuna lingine linaitwa Skyfall missile. Hiyo project bado haijakamilika. Hili litakuwa kombola lenye unlimited range. Yes unlimited range.
Wanadai n Nuclear war head itakayokua na uwezo wa kuizunguka dunia miezi likiwa kwenye Patrol Mode. Sasa fikiria Circumference ya dunia af unaambiwa linaweza kuizunguka dunia for months likiwa kwenye Patrol Mode.
Avangard bado, hujakaa sawa kuna EMP bomb, Electro Magnetic Pulse Bomb. Hili likipigwa linazifanya Electronics zote ziwe taka taka. No modern Vehicle itajongea, Power grid zote zitazima, hakutakuwa na mawasiliano kwasababu EMV inaua all electronics components.
So there you know Russia kutunza Vifaa vya kivita vya WW1 na WW2 ana akili miingi, They knows side effects za ku-modernize kila kifaa. Back up ni lazima.
Madude ya kutisha kama hayo watajilinda nayo kwa kutumia nini? Kama tu ile Hypersonic yao yenye Mach 5 iliyowatia joto kuitest muungano wa nchi kadhaa, wakati Russia yeye anayo Hypersonic yenye Mach 9, yan speed zaidi karib mara 2 ya ile waliyokuwa wanai-test na ipo mzigoni?
Kibaya zaidi ana defence mechanism ya kutungua alichokitengeza S-550 kwa hizo Hypersonic Missile.
Weeeee Russia anatisha bro in term of military na hakuna aliye closer kwake. US, Paper Tiger na wajukuu wake wanajua hilo jamba jamba lake.
Show show kama bikra aliyepakiwa mkongo! We Zisikilize tu kauli zao utagundua hawawezi kamwe kumchokoza Russia mazima.
Upande wa NATO... Utasikia "We don't want direct confrontation with Russia"
[emoji842]Hawa wapo zaidi ya mataifa 30 hawa.
Lakini Upande wa Russia... Utasikia "Tutapiga London, tutapiga Washington, tutapiga Satellites zao, tutapiga kile na kule"
[emoji842]Huku ni Nchi moja tu, de Russian Federation.
Hizo kauli mbili tu ushajua nani atachora 7 in case likizuka la kuzuka!
Eeee ase, niishi mingi miaka nishihudie mengi. Awam hii tunaziona Hollywood behind the Scenes za West Wadau.
Kumbe wachumba tu hawa kelele nyingi ila hawana kitu.
Mnafungua tu. Akaunti mpya .... Mamaaaaaeeeeee...... Ndio mtajua Kwa Nini kuku anakunywa maji lakini hakojoi.... Putin pigaaaa mbwaaa hiziDikiteta Putin bado anahenyeshwa tu, Toka operesheni ya saa 72 [emoji12][emoji12], mpaka Sasa tunaelekea mwezi wa 5
Mkuu hiyo Sarmat tukisema inachukua chini ya dkk 7 kufika Uingereza tunakuwa tumerefusha sana muda. Bomu hilo (Sarmat au Satan II) linachukua DAKIKA TATU tu kusafiri toka Urusi hadi UingerezaHuko mbeleni nahisi Jina litabadilishwa, hakutakuwa na nomenclature ya kufata herufi ya mwanzo ya jina la nchi. Wataupa huo Muungano jina la pa1.
Nasema hivi, kwasababu mfano zikifika nchi 7,8 au 20. Utaitwaje?
Bro wataikinga na nini hiyo London? Mmmh! Kule haitakuwa kwenda kuteka bali kuifuta London, UK kwenye uso wa dunia.
Ikianza vita rasm hakutakuwa na matumizi ya Ak47 kama hapo kwenye Operation ya Ukraine. Zitatumika silaha nzito mno.
Nitataja mbili kama mfano.
1. The Poseidon, Status-6
Hii ina 100Megatons, ina uwezo wa kutengeneza Radio active Sunami yenye wimbi hadi 500m. UK ni kisiwa, its like kitaenda kufunikwa na Sunami kiwe uninhabitable kwa milongo kadhaa huko mbeleni.
Hiyo ni tsunami, Je watailinda kwa kutumia nini?
2. Samart 2...
Ambayo yategemewa kuingia mzigoni kwa matumizi mwishoni mwa mwaka huu. Dude linatembea kwa speed ya zaidi ya mach 20, Speed mara 20 ya sauti. Chini ya dk 7 linaweza kuipiga London.
Hizi dk 7 hata mtu hajamaliza kukata gogo chooni, rudi kwenye raman iangalie London iliko kutoka Moscow kisha jiulize hao waliopo katikati kitawakuta nini.
Hizi nchi ambazo tu kupeleka silaha Ukraine zishaanza kupiga kelele Stocks zao "zinapokoyoka"
Mambo yameanza kua matam kuyaeleza, kuna lingine linaitwa Skyfall missile. Hiyo project bado haijakamilika. Hili litakuwa kombola lenye unlimited range. Yes unlimited range.
Wanadai n Nuclear war head itakayokua na uwezo wa kuizunguka dunia miezi likiwa kwenye Patrol Mode. Sasa fikiria Circumference ya dunia af unaambiwa linaweza kuizunguka dunia for months likiwa kwenye Patrol Mode.
Avangard bado, hujakaa sawa kuna EMP bomb, Electro Magnetic Pulse Bomb. Hili likipigwa linazifanya Electronics zote ziwe taka taka. No modern Vehicle itajongea, Power grid zote zitazima, hakutakuwa na mawasiliano kwasababu EMV inaua all electronics components.
So there you know Russia kutunza Vifaa vya kivita vya WW1 na WW2 ana akili miingi, They knows side effects za ku-modernize kila kifaa. Back up ni lazima.
Madude ya kutisha kama hayo watajilinda nayo kwa kutumia nini? Kama tu ile Hypersonic yao yenye Mach 5 iliyowatia joto kuitest muungano wa nchi kadhaa, wakati Russia yeye anayo Hypersonic yenye Mach 9, yan speed zaidi karib mara 2 ya ile waliyokuwa wanai-test na ipo mzigoni?
Kibaya zaidi ana defence mechanism ya kutungua alichokitengeza S-550 kwa hizo Hypersonic Missile.
Weeeee Russia anatisha bro in term of military na hakuna aliye closer kwake. US, Paper Tiger na wajukuu wake wanajua hilo jamba jamba lake.
Show show kama bikra aliyepakiwa mkongo! We Zisikilize tu kauli zao utagundua hawawezi kamwe kumchokoza Russia mazima.
Upande wa NATO... Utasikia "We don't want direct confrontation with Russia"
🔸Hawa wapo zaidi ya mataifa 30 hawa.
Lakini Upande wa Russia... Utasikia "Tutapiga London, tutapiga Washington, tutapiga Satellites zao, tutapiga kile na kule"
🔸Huku ni Nchi moja tu, de Russian Federation.
Hizo kauli mbili tu ushajua nani atachora 7 in case likizuka la kuzuka!
Eeee ase, niishi mingi miaka nishihudie mengi. Awam hii tunaziona Hollywood behind the Scenes za West Wadau.
Kumbe wachumba tu hawa kelele nyingi ila hawana kitu.
Wapi nduruuu in kunyaland voice😃😃😃😃😃.Belarus amenunua makombora ya nyuklia ya Iskandar-M pamoja na mfumo wa ulinzi wa anga wa S-400 toka Urusi. Urusi imesema itapeleka makombora hayo ya nyuklia ndani ya miezi michache tu...
Ikumbukwe kuwa makombora ya Iskandar-M ballistic missiles hata yakibeba milipuko ya kawaida mifumo ya Ulinzi ya NATO haiwezi kuyadungua. Sikwambii sasa yabebeshwe vichwa vya nyuklia...yaani hadi raha aisee
View attachment 2272057View attachment 2272059View attachment 2272060
Na juzi kati hapa kalifungia kanisa la mashahidi wa Jehova,kwa sababu lilikua linatoa mahubiri ya upotoshaji.Si kweli aisee...Urusi dini nyingi tu..majority ndo orthodox christians..but kuna Islam (Dagestan, Chechnya etc.), Wayahudi na dini nyingine....
Huko mbeleni nahisi Jina litabadilishwa, hakutakuwa na nomenclature ya kufata herufi ya mwanzo ya jina la nchi. Wataupa huo Muungano jina la pa1.
Nasema hivi, kwasababu mfano zikifika nchi 7,8 au 20. Utaitwaje?
Bro wataikinga na nini hiyo London? Mmmh! Kule haitakuwa kwenda kuteka bali kuifuta London, UK kwenye uso wa dunia.
Ikianza vita rasm hakutakuwa na matumizi ya Ak47 kama hapo kwenye Operation ya Ukraine. Zitatumika silaha nzito mno.
Nitataja mbili kama mfano.
1. The Poseidon, Status-6
Hii ina 100Megatons, ina uwezo wa kutengeneza Radio active Sunami yenye wimbi hadi 500m. UK ni kisiwa, its like kitaenda kufunikwa na Sunami kiwe uninhabitable kwa milongo kadhaa huko mbeleni.
Hiyo ni tsunami, Je watailinda kwa kutumia nini?
2. Samart 2...
Ambayo yategemewa kuingia mzigoni kwa matumizi mwishoni mwa mwaka huu. Dude linatembea kwa speed ya zaidi ya mach 20, Speed mara 20 ya sauti. Chini ya dk 7 linaweza kuipiga London.
Hizi dk 7 hata mtu hajamaliza kukata gogo chooni, rudi kwenye raman iangalie London iliko kutoka Moscow kisha jiulize hao waliopo katikati kitawakuta nini.
Hizi nchi ambazo tu kupeleka silaha Ukraine zishaanza kupiga kelele Stocks zao "zinapokoyoka"
Mambo yameanza kua matam kuyaeleza, kuna lingine linaitwa Skyfall missile. Hiyo project bado haijakamilika. Hili litakuwa kombola lenye unlimited range. Yes unlimited range.
Wanadai n Nuclear war head itakayokua na uwezo wa kuizunguka dunia miezi likiwa kwenye Patrol Mode. Sasa fikiria Circumference ya dunia af unaambiwa linaweza kuizunguka dunia for months likiwa kwenye Patrol Mode.
Avangard bado, hujakaa sawa kuna EMP bomb, Electro Magnetic Pulse Bomb. Hili likipigwa linazifanya Electronics zote ziwe taka taka. No modern Vehicle itajongea, Power grid zote zitazima, hakutakuwa na mawasiliano kwasababu EMV inaua all electronics components.
So there you know Russia kutunza Vifaa vya kivita vya WW1 na WW2 ana akili miingi, They knows side effects za ku-modernize kila kifaa. Back up ni lazima.
Madude ya kutisha kama hayo watajilinda nayo kwa kutumia nini? Kama tu ile Hypersonic yao yenye Mach 5 iliyowatia joto kuitest muungano wa nchi kadhaa, wakati Russia yeye anayo Hypersonic yenye Mach 9, yan speed zaidi karib mara 2 ya ile waliyokuwa wanai-test na ipo mzigoni?
Kibaya zaidi ana defence mechanism ya kutungua alichokitengeza S-550 kwa hizo Hypersonic Missile.
Weeeee Russia anatisha bro in term of military na hakuna aliye closer kwake. US, Paper Tiger na wajukuu wake wanajua hilo jamba jamba lake.
Show show kama bikra aliyepakiwa mkongo! We Zisikilize tu kauli zao utagundua hawawezi kamwe kumchokoza Russia mazima.
Upande wa NATO... Utasikia "We don't want direct confrontation with Russia"
🔸Hawa wapo zaidi ya mataifa 30 hawa.
Lakini Upande wa Russia... Utasikia "Tutapiga London, tutapiga Washington, tutapiga Satellites zao, tutapiga kile na kule"
🔸Huku ni Nchi moja tu, de Russian Federation.
Hizo kauli mbili tu ushajua nani atachora 7 in case likizuka la kuzuka!
Eeee ase, niishi mingi miaka nishihudie mengi. Awam hii tunaziona Hollywood behind the Scenes za West Wadau.
Kumbe wachumba tu hawa kelele nyingi ila hawana kitu.
Dalili za ukichaaaa.....Vip, dikiteta Putin hajatangaza kuanza mazoezi ya siraha za nyukria? Maana ilkuwa haipiti siku tatu yanatangazwa mazoezi ya siraha za nyukria baada ya kuona mambo yanakwenda ndivyo sivyo huko Ukraine [emoji12][emoji12]
Kama wanavyokudindishia. Wewe na kuinamishwa !!??Russia alikuwa na plan ya kubadili utawala na kuweka kibaraka wake huko kyvi, lakini wanaume wamemndindishia
Wafuasi wa NATO kwa sasa tuna aibu kubwa sana. Au nasema uongo ndugu yangu figganigga ? Kitendo cha kufuatilia BBC,The sun sijui sky ni kupoteza muda,uhalisia ni tofauti na habari zao.
Nimestuka sana jana kusikia wanajeshi wa Ukraine wameambiwa waondoke tu kwenye mji wa severdonetsk kwa sababu hawana wanacholinda.
Ukienda vyombo vya magharibi unaona vifaru vya Urusi vikipigwa tu. Nimesikitishwa sana,sa ni chombo gani cha habari hakiegemei upande wowote nikifiate?
Mi nimeona kwenye maelekezo kwelii wako smart yaaani vitu vidogo vidgo ila ni shap na smart.Cheki mashine hiyo inavyokunya moto kuelekea kwa majeshi ya Ukraine. Hakikisha hupitwi na video hiyo, hasa kuanzia dkk ya 2:30 hadi mwisho