Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huu ndio urafiki na ishirika wa ukweli.
Sio mtu kaomba weeee no fly zone Hadi kanyamaza tu masikini.
Mimi nkuambia ulifanya urafiki na Urusi ujue utalindwa hakika,
Syria, Venezuela na Sasa beralus
 
Naona huruma sana wa wanajeshi wa Ukraine kwa kweli.
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji106]
Wewe jamaa ni bonge la mstaarabu.
Usijal kawaida man, si wajua tena source ni kama zile zile kila mmoja akiwa anapost itakuwa utoto. Taarifa zitakuwa zinajirudia rudia. Nyundo y moto naona yupo nje ya Mji. For the meantime tutazileta hadi watakaporejea.
 
hakuna ulazima wa kuingia ndani ya kiwanda, uamuzi ambao unaweza kuhatarisha usalama wa wanajeshi wetu wetu. tunachopaswa kufanya ni kuzingira hicho kiwanda tukiwa nje na hapaswi hata mdudu nzi kuruka. Tunakumbushana hilo wazo lilitolewa hapo kwa hapo na putin wakati akipokea ripoti ya operesheni mariupol kutoka kwa sergei shoigu. Umegundua nini?
 
Jamaa wa NATO walikuwa wanafanya mkutano hapo Lithuania, sasa Putin baada ya kujua akiamua kuingiza ndege juu ya paa jamaa wakapoteana na mkutano uliishia hapo hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Heheheee
Mungu alibariki taifa lake teule la RUSSIA pia amuangalie na PUT IN ili azidi wanyoosha hawa UMBWA
 
Ningependa kuzijua hizo Nchi nne!
 
Ni sawa kabisa, Ila nilichogundua asilimia kubwa ya nchi hazipendi siasa za west walikuwa pamoja Kwa kuwa walikuwa hawana jinsi Ila hii Vita ya Ukraine ikiisha na dunia ikatulia kuna anguko kubwa Kwa west wanaenda kushuhudia,

Kuna msomi mmoja wa west kama sijakosea alisema kwenye Vita hii EU na USA ndiyo zimetengwa na dunia na Siyo Russia, akasema hebu angalia nchi ngapi zimeiwekea Russia vikwazo na nchi ngapi hazijaweka????, Alisema baada ya Vita hii West wanapaswa kujitathimini kwenye siasa zake
 
[emoji95] Whoooa [emoji45][emoji45][emoji45]!!!

[emoji1151]The President of Lithuania decided not to concede to Russia on the issue of transit of goods to the Kaliningrad region.

According to Nauseda, the country "must and will maintain control over the goods transported through its territory, and there can be no question of any corridors."
 
[emoji95] Updates!!!

Chinese troops are on high alert in connection with the flight of a US combat aircraft in the Taiwan Strait

The Chinese military said that the flight of an US military plane through the Taiwan Strait deliberately violated the regional situation and "jeopardized peace and stability"
 
Mkuu hizo nchi nne za Afrika zilizoudhuria mkutano wa Zelensky ni zipi?
 
Ningeshtuka kama wangempa ucandidate wa NATO!Wafanye kama wanajikuna wamuingize NAT

Ningeshtuka kama wangempa ucandidate wa NATO!Wafanye kama wanajikuna wamuingize NATO!
Huwa napitia comment za watu humu naona Kama hawaelewi tofauti ya Nato na EU.Kuna ambao wanachama wa Nato hawako Eu pia Kuna wala wanaowaza kutoka Eu Kama uingereza ila watabaki Nato.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…