Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tutalipa kwa ruble
Bonds za Russia hazilipwi kwa Ruble. Hiyo sarafu tunaikuza tu humu ila mtu yeyote anayejua biashara na anayefanya biashara za kimataifa hata awe Mrusi mwenyewe anajua hizo ndoto hazipo. Kwani Ruble si ipo miaka yote mbona Russia huwa hawalipi kwa kuitumia.

Bond holders wamekataa kupokea kwa Ruble, ni kinyume cha makubaliano. Labda bonds za miaka ya karibuni nazo kwa uchache. Inabidi wasubiri vikwazo viondolewe au Russia itafute namna kulipa kwa USD, sijui inaweza vipi kukwepa hapo
 
Wakiwa makini Majeshi ya Ukraine yanatakiwa yarudi nyuma mpaka Mji wa Dnipro angalau ili kuweka base hapo na kupambana na Urusi.

Ila Bakhmut, Kramatorsk na Slavyansk ambayo ipo ndani ya kilomita 100 Toka Lyschansk bado wataendelea kupata kipigo kitakatifu.
 
Sehem kama hizi ndio hua nakushangaa kwamba kwakutokujua ama makusudi tuuu
Kwamba hujui kinachoendelea kuhusiana na RUSSIA na hizo DOLA YURO PAUND nk au!!!??
Eti !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unazunguka. Kina nani wamekataa kulipwa ndilo swali. Maana comment ilisema walikataa kulipwa, kina nani?

Sanctions hazimhusu creditor, huwezi nunua hati fungani za BoT kisha muda wa kulipwa coupon wakaleta longolongo yeyote isiyokuwa kwenye mkataba. Haijalishi kuna vikwazo, uchumi mbovu, mnajenga miundombinu au what.
That's why zinaitwa risk free na zina return ndogo
 
Leta update acha mboyoyo
 
Kwasasa hakuna ila leo huko GERMAN rais wa france EMANUEL kaomba mafuta ya IRAN na VENEZUELA yakubaliwe kuingia kwenye soko la DUNIA ili iwe nafuu kwao
EU wanataka kutudhihirishia UPUMBAVU wao

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku zote huwa ni wapumbavu ndio maana huwa wanatoa hela tujenge vyoo. Ila Russia ni mjanja yuko ligi sawa na kina South Korea kwenye uchumi
 
MEDVEDEV: “The Russian response to the ban on transit of products to Kaliningrad will be very tough, we are able to cut off the oxygen to our Baltic neighbours.”

Ebu ongeza sauti mkuuu wanauwezo wa kukata hewa ya oksijeni 🙌🙌🙌🙌🙌sisi huku tumefanikiwa kukata umeme na mauno tuu.

OP ina vaibu kama movie vile hautamani hata iishe uone tuu maujuzi na mautundu ya akili kubwa.
 
St. Petersburg Economic Forum ni alternative ya WEF. Sasa why tusifanye comparison. Wapo delegation ya nchi 69. Na wapi nilisema walienda nchi tajiri tu? Nimeonyesha wanaoenda Davos mataifa makubwa Heads wao wanakuwepo wengi ila huko kwingine sivyo
 
Atulie Kwanza Ndio Watu wanaanzia Walipo Ishia Jana na Juzi

🤡Zelensky wants the war to end before winter, he told the G7 leaders during his online address — Reuters
Kaanza kupata akili 😄😄😄😄 maana kipindi cha baridi hao marcenary watapigika Sana, Kati ya vitu vilivyochangia jeshi la Hitler kupigwa ni pamoja na baridi, sasa wajiandae ulaya yote kipindi cha baridi hakuna rangi wataacha ona
 
St. Petersburg Economic Forum ni alternative ya WEF. Sasa why tusifanye comparison. Wapo delegation ya nchi 69. Na wapi nilisema walienda nchi tajiri tu? Nimeonyesha wanaoenda Davos mataifa makubwa Heads wao wanakuwepo wengi ila huko kwingine sivyo
Unaandika mashudu, ilisemwa wapi St Petersburg ni alternative ya WEF...? Jomba tunakuzoom tu ujue? Kueni na Step basi nyie pro NATO. Ndio maana mnashambuliwa mnalalamika. Mwenzio amekuhoji huko kwa mfano wa Wizara ya Afya hapa bongo na WHO. Hio comparison kwa akili yako ipo sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…