Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sasa ulitegemea nione wakat umeniziba macho!!!??
Nieleweshe MKUU kuhusu hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na kwamba nimekuziba macho. Umeona au hujaona. Kama hujaona unataka tuseme nini? Kwamba umeona?
Venezuela ndio wataamua wauze mafuta au wasiuze wabaki nayo. Unashupaza shingo hapa na utashangaa wanakugeuka wanayauza. Russia huyu huyu aliiuzia Marekani eneo la Alaska, leo mbona wanatishana
 
Duh, na SWIFT nayo ni msaada? Unatumia nini kufikiria ndugu? Unajua kweli maana ya Msaada? Msaada ni nini?
SWIFT ni biashara sio misaada. Sasa unalazimisha biashara we ni kichaa. Biashara si ni makubaliano
 
Ujui lolote lile kuhusu snake island
Video ya kwanza Bayraktar ikishambulia Mi-8 transport helicopter. Video ya pili ikishambulia Raptor boat zote ni palepale Snake island. Hizo air defence zenu zilikuwa zimelala

Kama hujui geolocation omba usaidiwe
 

Attachments

  • 2022_06_28_20_30_46_bFCNOhPMHr4OR65_.mp4
    3.6 MB
  • 2022_06_28_20_31_43_c934Fet0PrBJHydt.mp4
    1.6 MB
Jamaa ni washamba sana. Bibi yangu kijijini kuna nyumba walibomoa ijengwe mpya eneo la pembeni, nimetumia coordinates kujua mazingira yakoje kwa sasa na nyumba hiyo iko upande gani.
Sasa hawa wanaleta mapya gani.
 
🤣🤣🤣🤣🤣. ...... Karibu tena.
 
Mambo yakikunyookea na lugha inabadirika Kama mwisho wa mwezi😂😂😂


Road of death 4 ⭕️


10th mountain assault brigade of the Armed Forces of Ukraine.

The commanders of the Ukrainian militants fled from Lysichansk, leaving their personnel, but the reconnaissance of the Brave group found them near Seversk, where our artillerymen mixed them with the ground with the help of corrected ammunition.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…