Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hivyo nilivyokutajia ni Global brands, popote utakapotia mguu wako hapa duniani utavikuta kama sio kuvitumia, hata huko Urusi kwenyewe.
 
Upo sahihi mkuu.
 
Hakuna mkuu wala iyo sio maana kamili ya kudhibiti anga.kudhibiti anga ni kuakikisha mpinzani wako hawezi kurusha ndege vita kwa ajili ya kutoa suport,wala sio kushambulia mfumo maana kama ni mifumo ipo mpaka ya kuweka chumbani na yote iyo ina uwezo wa kutungua ndege.sasa hapo kama umepewa iyo kazi si itakuwa changamoto. .
 
Pro NATO wenzangu nazidi kuwasisitiza kuwa tuendelee kuiponda Russia. Japo kuwa kweli Russia anatukimbiza mbaya sisi NATO. Tupigeni Propaganda za kuamisha watu na kujipa Moyo. Na ikumbukwe kuwa hii silaha ya Propaganda imetumiwa sana na USA kujijengea umaarufu na Kuogopeka dunia nzima
Wakati kumbe ni how come tu wa kawaida na anayetafuta wenzake wamuunge kwa style ya KUCHANGIA.

Nawapongeza sana Propagandists wa NATO:

MWANAMKIWA, FUSO, T14 AMARTA, YODA, COCO RIBON.

Angalieni wenzetu wa EU na NATO wanavyofanya vikao kila wiki halafu wanatoka na kaagenda kamoja dhaifu tu lakini hako hako katatangazwa kwa mikwala ya kufa mtu. NA SISI JAMANI TUONGEZE BIDII. TUSEME HATA NATO WAMEWEKA BOMU MWEZINI HIVYO PUTIN AJIANDAE
 
Russia is using inaccurate missiles from old Soviet stocks for more than 50 percent of its strikes in Ukraine

aiseee !!! kumbe ndiyo maana yanaangukia makazi ya watu hadi shopping centers.
Basi hizo silaa ni balaa mbona anachukua sana maeneo ya ukraine na bado nato wanaziogopa hizo soviet era weapons

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Pro NATO sasa umeanza kujielewa
 
[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️Privolye and Shipilovka were taken under control by the People's Militia of the LPR together with allied forces-LPR representative

It is noted that during the battles for Shipilovka and Privolye, the UAF suffered major losses in manpower and equipment[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️
 

Hao tutawapa kim awavuruge
 
Warusi si wajinga kuanza ujenzi wakati vita bado iko on
 
Hivyo nilivyokutajia ni Global brands, popote utakapotia mguu wako hapa duniani utavikuta kama sio kuvitumia, hata huko Urusi kwenyewe.
So Toyota ni brand ya mlalakua sio? Acha upimbi punguza mahaba, af usichaganye concept za biashara na huo utumbo wako. Japan ni Home of Toyota ila kuna BMW na Mercedes za Germany sokoni.

Quality haipimwi kwa popularity, Ingekuwa hivyo leo hii hapa tungesema Tecno na Infinix ni bora kuliko Samsung coz zimetapakaa sana kwa watumiaji wengi Nchini.

Sasa wewe "high techie" unatengenezaje mfumo unao weza kuharibiwa na "low techie"? Usichokijua au unakijua ila unashupaza fuvu ni kwamba In technology aliyejuu humvuruga aliye chini.

The key concept ya kuharibu ama kuzuia X ni kwa kujua X imeundwa vipi inafanya vipi kazi na weakness yake ni ipi.

So the one who identify weakness knows better, Hiyo haipingwi ukubali usikubali hilo ni juu yako. Umeulizwa swali hujajibu. Kwanini US amlalamikie Russia tu wala sio nyinyi wataalam wa unyanyembe eh?

Uweke walinzi wa JKT mlangoni halafu wale unao waita "Panya Road" wawa-outsmart walinzi wako wakuvagae hadi ndani, yet unatoka nje unajigamba walinzi wako ni bora kuliko?

Kama "Killnet" wamewafanyia hivyo, Je vipi kuhusu team iliyo Rasmi kwa kazi hiyo? Kingine cha hovyo ila ukioni, US kumejaa expats, Talents kutoka sehem tofauti duniani.

Kwa wenye akili wanaitazama US kama Real Madrid au Barcelona FC, ni collection of talents tena zile top notch kutoka sehem tofauti duniani wanaokimbilia kujaza matumbo kuliko kuboresha kwao.

Kama hapa TZ tu namna Makolo na Utopolo FC zinavyong'arishwa na Talents za mataifa ya nje.

Kijana em Linganisha kwa akili sio mahaba tuone kweli umepevuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…