πππ An' yet he is advancing, see!?Russia is using inaccurate missiles from old Soviet stocks for more than 50 percent of its strikes in Ukraine
aiseee !!! kumbe ndiyo maana yanaangukia makazi ya watu hadi shopping centers.
Kuna list flani hivi sikumbuki source niliona kawekwa nafasi ya 10 kwa EUROPE, Kidunia sijawah kumfatilia.U
Ukraine amepewa udogo ili aonewe huruma. Kijeshi ni kati ya nchi 20 bora duniani akiwa amerithi viwanda anuwai vya aerospace toka Soviet. Piakumbuka ana kiwanda cha kutengeneza engine za ndege kilichotandikwa. Ile steel industry sio ya mchezo ana machuma ya kutosha. Uwezo wa majeshi huwa ni siri.
Russia ******* wengi kuliko ukraine.Aisee hii dunia west wanaiharibu kwa kasi. Hili jambo linatia huzuni sana. Tuendelee kuiombea Russia ndugu zangu ndio taifa teule tunalolitegemea kutotolea mashetani haya.View attachment 2278486
Kitovu cha teknolojia duniani kwa sasa ni Silicon Valley. Kataa au kubali huo ndio ukweli
Huwezi kuitenga teknolojia nzuri na biashara. Apple, Microsoft ,na Google zimekuwa biashara kubwa zaidi duniani kwa sababu ni teknolojia nzuri za hali ya juu.
Halafu unarudia kutaja brand za Japan, Ujerumani na kwingineko ambazo ni global brands lakini huwezi kutaka hata Global brand moja ya Russia ambayo inaboresha maisha ya binadamu, labda hata ungetaja AK47 kama ni teknolojia na ni muhimu kwa raia wa kawaida.
Russia ******* wengi kuliko ukraine.
Kwa hiyo mnataka putin atolewe myatetee yanaonewaRussia ******* wengi kuliko ukraine.
Bado fuvu lako limeganda US, So usinikaushe mate kukutafutia vilainishi. Apple, Google... Top tech Giants... Unajua zimefika hapo zilipo kwa kuzimeza kampuni ndogo ndogo zingine ngapi?
Google Maps, Android ni mifano miepesi ya Services za Google walizozipata through acquisitions. Na huo ndio Ubepari uliopo magharibi.
Competitors wananunuliwa, kampuni inazidi kujitanua... Nimekupa mfano mdogo uko juu ungekuwa na akili ungepunguza porojo. Nimekuuliza kidogo tu. Mtoto kazaliwa na Neema, kalelewa na Jesca, Mtoto kakua Unakaza fuvu kusema mtoto kazaliwa na Jesca... Una akili kweli wewe?
Huyo Neema asingebanjuka mtoto akapatikana Jesca angemjulia wapi?
Haya walau mfano wa haraka haraka kwenye hii mitandao ya kijamii.. Insta na WhatsApp competitors wa enzi hizo wa Facebook zote zikanunuliwa na sasa ni mali ya Facebook. Unashindwa vipi kutofautisha mwanzilishi na mmiliki?
Na US analazimisha kumiliki all emerging technology across the Globe kwasababu ya agenda zake za kutaka kua na ile control juu ya kila kitu. Hili nalo wajifanya hulijui.
Kwa taarifa yako waanzilishi wa Google hiyooo unayoisemea vile unavyoijua wewe ni akina Sergey Brin na Larry Page. Huyu Sergey ni raia wa Urusi, ambae kabadili uraia kuchukua wa US.
Elon Musk, anayetamba na hizi Star Link, Space X na Tesla ni Mzawa wa South Africa, Raia wa Canada na sasa Raia wa US. Wala haishangazi coz ndio tabia ya US miaka nenda rudi. All talents muhim anazipiga chapa yake.
We jifunze kuitumia akili yako vizuri sio kutuletea mahaba zaidi tutakupachika majina usiyoyapenda tu.
Anyway nikufunze zaidi au let say ushauri wa bure, unapozungumzia Technology, em ijue maana ake kwanza kabla ya kuijengea hoja.
Sisi binadamu ni watu wa ajabu sana hivi tunavyoshabikia vita inatupa manufaa gani, angalia mfano wewe unaomba hicho kisiwa kipigwe na satan 2 na ilihali wakati mwingine itasababisha hata ardhi hiyo isiwe na rutuba kabisa, lakini mwingine anataka Russia iwe na hali mbaya ya uchumi.. na ni jambo litalo tuasili dunia yote.Hahahahahah kisiwa chenyewe hakina ishu. Nafikiri ni muda muafaka wa kukipoteza na sarmat moja matata [emoji23][emoji23][emoji23] hao wanaojifanya wamewafurusha warusi itakuwa ni eneo lao la makaburi!
Tech za mchongo kama hypersonic inawashinda tu. [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Hao Apple wanapotea steve jobs aliondoka na apple yake sahv apple hawana mpya hawana ubunifu. Mimi nimetumia iphone zote matoleo yote na mpaka sasa natumia latest. Iphone walikua zamani sahv limebaki jina ndomana ukifuatilia mauzo yao yanashuka daily.
Hakuna iphone itakayokuja fikia sales za iphone 6 na iphone SE hakuna kipindi hicho ukizungumzia iphone kweli iphone.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukimwambia hivi ambae hajawahi kutumia Iphone sijui anakuonaje ha ha ha, wakati hapa kuna wale wa kulala kwa Shemeji wapo tayari wawe mfano wa "Deputy assistance" ilimradi waipate.
Na ni kweli ukiangalia 11, 12 na hii 13 tofauti kubwa saaana labda change ya Version ya OS kutoka iOS-13 hadi sasa iOS15 π₯±[emoji276]
Hao Apple wanapotea steve jobs aliondoka na apple yake sahv apple hawana mpya hawana ubunifu. Mimi nimetumia iphone zote matoleo yote na mpaka sasa natumia latest. Iphone walikua zamani sahv limebaki jina ndomana ukifuatilia mauzo yao yanashuka daily.
Hakuna iphone itakayokuja fikia sales za iphone 6 na iphone SE hakuna kipindi hicho ukizungumzia iphone kweli iphone.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukimwambia hivi ambae hajawahi kutumia Iphone sijui anakuonaje ha ha ha, wakati hapa kuna wale wa kulala kwa Shemeji wapo tayari wawe mfano wa "Deputy assistance" ilimradi waipate.
Na ni kweli ukiangalia 11, 12 na hii 13 tofauti kubwa saaana labda change ya Version ya OS kutoka iOS-13 hadi sasa iOS15 π₯±[emoji276]
Huyo jamaa sijui anatumia maungo gani kuongeleaThis is nonsense.warusi wamewahi kuhak mpaka uchaguzi wa marekani hao wote Kwa urusi ni watoto wadogo kwenye technologia.wamarekani wameshindwa kutengeneza mpaka hypersonic.
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Apple imekuwa kampuni ya kwanza US kufikia thamani ya USD Trillion 1 mwaka 2018 miaka 7 baada ya Steve Jobs kufariki, ilifikia thamani ya USD Trillion 3 mwaka huu. Yani thamani ya apple January mwaka huu ilikuwa ni kubwa karibia mara 2 zaidi ya GDP ya Russia.
Pamoja na yote kipondo kinaendelea kwenye kambi ya adui[emoji848]
Recent updates as of 01.07 [emoji116]View attachment 2278552