1. Kama unataka kujifunza mbinu za kivita wasome Napoleon Bonaparte, Dwight Eisenhower, George Washington , Sun Tzu, Julius Caesar, Alexander the Great, Hannibal Barca. Hakuna mbinu zozote za maana na za zenye akili Russia walizo nazo katika huu uvamizi wao zaidi ya kitisho cha nyuklia na idadi kubwa ya wanajeshi wanaoweza kutumika kama canon fodder.
2.Kama unataka kujifunza teknolojia nenda Silicon Valley
3.Kama unataka wataalamu wa Mifumo ya Biashara nenda Havard na Stanford, Russia utajifunza U- Oligarchs(uchawa wa Kirusi) tu.
4.Kama unataka utaalamu wa Afya nenda Mayo Clinic. Pia Putin amechanja na bado anakaa kwenye meza ndefu mbali na wengine kuogopa Korona.
5.Elimu ya uongozi utakayoipata Russia ni ya kubadilisha badilisha katiba na Urais wa milele.
6.Kwenye intelligence CIA, Mossad na M16 ni mashirika nguli ya Intelligence. CIA walinyaka mipango ya uvamizi wa Putin Tangu December mwaka jana huku Putin akikana hataivamia Ukraine.
7.Coca Cola,.Pepsi, Burger za Macdonald na Kuku wa KFC utaendelea kula tu, tena unaweza hata kugombana na kumuacha Boyfriend wako akishindwa ku afford hivyo.
8.Amana zenu ziko kwenye USD wala usihangaike na Ruble.
Kama kuna mbadala wa vitu, bidhaa na huduma za US hautakuwa kutoka Russia bali nchi nyingine kabisa.
Duh...ni wapi free media zipo duniani?! Marekani?!?!?! Soma the propaganda model of the mass media ...Manufacturing Consent: The political economy of the mass media by Edward Herman and Noam Chomsky....hapo ndipo utajua Kama American media are free or not....Wewe hutaki kuona demokrasia ya kweli imetamalaki nchini kwako?
Hupendi media Huru zisizokuwa mouth piece ya serikali?
Hupendi free elections ? Usingependa kuona nchini mwako mchakato wa uchaguzi angalau kama unaoendlea Kenya sasa hivi?
Unataka waangalizi wa Uchaguzi kutoka AU tu? yani wakina Obasanjo na Kabila peke y
ao?
Hupendi JF ikisaidiwa na US na kuwa bora zaidi? Ukiona Max anaheshimiwa na serikali ya US hadi kupewa tuzo wakati serikali ya nchi yako inakimbizana naye mahakamani unachukia??
Kipi kibaya katika haya?!
Mnataka kuwa na taifa la aina gani??!
Nondo zimeshibaKwanini Mkuu [emoji38]
Maboresho yako kwenye Camera, processor/speed, audio na muda wa betri.
Jina lako lenyewe linatia mashaka 😂😂Urusi washatiwa mimba snake island, bado wakazae moscow
Mdau upande huu huna ujualo, we fanya kukausha tu mdau. Unazidi kujivua nguo, Omba kwa wanaolewa tukufundishe.Kama ARAMCO ina hiyo market capitalization ya zaidi ya USD Trillion 2 basi itakuwa na thamani kuliko GDP ya Italy. Kipi cha ajabu hapo??
GDP ni kipimo cha uchumi kwa mwaka, hili halihitaji ubishi, unaweza kujisomea mtandaoni au kumuuliza mwanafunzi yeyote wa uchumi wa kidato cha tano.
Wikipedia hata wewe waweza chapisha kitu sio sehem sahihi pa kupata information yenye sifa zote. Sie tuliosomea information studies tulikatazwa kutumia Wikipedia hata Kama huko swa ni mkasi tu.Ungeniona nilivyofurahi hapa we acha tu... Hiki huwa tunakisema hapa mara kwa mara. Si kila kinachopatikana ndani ya Web ni sahihi. Mtu akinyanyuka kutafuta maarifa mapya awe na reasoning ya kile kipya anachokisoma.
Asilimia kubwa ya watu ambao hawana prior Knowledge ya kile wanachokitafuta na hap ndio wengi ambao huingia kombo kwenye vitu wanavyovikurupukia.
Sasa namna ulivyoipangua hiyo source ha ha ha ha Wooooi Pro-Russia mna heshima angu popote mlipo.
Tell them buddy, Wikipedia is for everybody, Yeyote anaweza fungua account akatoa mchango wake... Nakazia hata FUSO pia [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2278518
😂😂😂😂 dah, hatareeee!Cha ajabu pro nato wanatumia na wanajiamini toka nijue ni majinga hata kusoma comments zao nilishaacha kabisa ni mandezi hata kama yananizidi umri na yana vyeo kifupi ni mandezi yamezoea kukariri tu Kama marobot yaliyosetiwa.
nakuona mjamaa wa kisiasaPamoja na yote kipondo kinaendelea kwenye kambi ya adui🤔
Recent updates as of 01.07 👇View attachment 2278552
Basi wametimuliwa nakujulisha hilo. Kila siku casualties walikuwa wanaongezeka pale, hakuna namna utalinda kile kisiwa kipo naked vileWamekimbizwa nanani!!!??
Nasasa wamekaa kina nani
Snake Island haina tofauti na KIEV
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaa hadi usakinishe program mpya kwenye bongo zao. Hivi hivi ni ngumu kazi yao ni kucompare values zilizopo kwenye bongo zao na zile waambiwazo(input) result ikiwa true hapo watakubali ila ikiwa false hatakama kitu ni cha kweli watabisha nenda rudi.😂😂😂😂 dah, hatareeee!
Mimi naona mnahama kwenye Uzi wetu. Tunachojua nikuwa uwe na apple, Google, Huwawei lkn je kwenye vita hii nani anapigwa?Muanzilishi wa Huawei Ren Zhengfei alikuwa mwanajeshi katika jeshi la China kwa miaka tisa kabla ya kuanzisha Huwawei, pia ni mwanachama mtiifu wa chama cha Kikomunisti cha China(CCP).
Unafikiri siku serikali ya China wakitaka taarifa au data za watumiaji wa vifaa vya Huwawei anaweza kuwakatalia??
Kama serikali ya CCP ya China imeweza kummaliza na kumnyamazisha kabisa tajiri na innovator mkubwa kabisa China Jack Ma wa Alibaba baada ya kuona kampuni zake na ushawashi wake unawafunika serikali watashindwa kufanya kitu gani kwa Ren ??
Nassubiri kuona na mimi,umeidadavua vyemaNi hivi RUSSIA sasa Ivi kupitia hii OP yuko kwenye interview kutuonyesha ana nini cha kutuofa sisi watu wa mawataifa mengine.
Haijaisha (OP) ila kapata KAZI anaichukua yeye kuanzia sasa
1. Kutupatia wataalamu wa mbinu za kivita.
2.Kutupatia wataalamu wa mifumo ya technology.
3.Kutupatia wataalamu wa mifumo bora ya biashara.
4.Kutupatia wataalamu wa maradhi ya binadamu ie corona imepotea kiaje wanajua RUSSIA.
5.Kutupatia wataalamu wa elimu ya uongozi wenye maono.
6.Kutupatia wataalamu wa elimu ya intelligence.
7.Kutupatia wataalamu wa elimu ya vinywaji na vyakula (refer macdonald na coke kupigwa marufuku)
8.Kutupatia wataalamu wa kulinda amana zetu.(RABBLE SAGA)
9.Kutupatia wataalam wa lishe bora(Putin hana kiriba tumbo)
Kumbuka dunia haing'ang'anii vya nyuma mmbadala bora ukipatikana.
Mdau upande huu huna ujualo, we fanya kukausha tu mdau. Unazidi kujivua nguo, Omba kwa wanaolewa tukufundishe.
Market Capitalization ni thamani ya kipande cha share multiplied by total number of share of a company. Hiyo thamani ya share ni ya wakati uliopo sio jumla tangu kutoka wapi huko unakodai wewe.
Mmeanzisha kampuni ABC, kila kipande cha Hisa ni 10, ziko hisa 500. Hivyo market cap ya ABC ni 5,000/-.
Kesho kipande cha Hisa kikapungua thamani, kipande ki1 kikawa ni 6, ziko hisa 500. Hivyo ABC itakuwa na market Cap ya 3,000/- kipande cha hisa kikipanda pia kutokana na performance yake sokoni basi na Market Cap inapanda.
Acha ujuaji mdau, Market Cap huchukuliwa kwa bei ya kipande cha hisa ya sasa (wakati uliopo) sio namma unavyodai wewe.
Market Cap inabadilika kila dakika kutokana na mwenendo wa soko la hisa, (kama kampuni lipo listed kwenye exchange) wala haina mahusiano yoyoye na Value za zamani.
Na kuna namna ya kupima Market Cap ya private companies ambazo hazipo listed kwenye exchanges!
Mfano wakati Meta Platforms inapoteza Market Cap ie Market Value, kitendo kilichopelekea Mark Zuckerberg kutoka kwenye 10 ya matajiri duniani haikuangaliwa ilikotoka.
Na bado tu Concept yako nyeupe haina mashiko, Hesabu bado unaonekana uko chenga mdau. Unasemaje kitu flani ni commulative value halafu kipungue?
Mwanzoni mwa mwaka huu January, Market Cap ya hiyo kampuni mnayoizungumzia ilifika dola 2.9 Trillion, sasa inachezea dola 2.25 Trillion. Kama ni Jumla ilikoanza imekuaje ikapungua?
Kwa kifupi Mdau kwenye hii field HUJUI kitu. Wamekuuliza unalinganisha vipi pato la taifa na thamani ya kampuni hujajibu umekosa majibu kwasababu hujui kitu field hii.
Acheni kujivua nguo, kwanza kampuni lina Operate worldwide, means baadhi ya Operation zake katika nchi zingine zinahesabiwa kwenye nchi hizo katika sehem ya Gross Domestic Product.
GDP iko limited ndani ya mipaka ya eneo husika, Sasa Unailinganisha vipi hapo? Na as a matter of fact, Market Cap haina mahusaino yoyote na faida za kampuni. Unaweza kua na basi la Mil 300, likakuingizia faida ya Mil 1 wakati Basi la Mil 50 likakuingizia Mil 5.
Mdau we huku toka tu, hakuna ujualo!
Hawajui Vita mbaya ya miaka hii ni hyo na yakiuchumi sa mrusi kajiandaa vyote yaan vyakimtandao vya kiuchumi na vya mapigano ajiulize swali dogo tu anavyofanyiwa Russia angefanyiwa USA angesimama imara kama alivyosimama mwenzie RUSSIA!!