lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Andiko hili ni Tamu sana mdau.nalitunza.👏👏👏👏Kwako.Ile february op ilipoanza, Zile packege za sunctions zilivyokuwa zinatangazwa na kila nchi nikajua Russia wameingia cha kike. Haswa ile ya kuizuia russia kufanya miamala ya kimataifa kupitia swift, benki zake kuzuiwa kufanya biashara, asset zake nje ya nchi kuwa freeze, nikajua russia ndio basi tena.
Jinsi biden alivyokuwa akitoa kauli za kishujaa, dah kumbe hamna kitu. Mara rubo ikashuka thamani kwa 100% nyingi dhidi ya dola. Ikafuatia warusi waliowekeza nje mali zao kutaifishwa au kushikiliwa na serekalai za magharibi. Ref Abromovich na chelsea yake.
Dah kwa sasa mdogo mdogo wanaufyata, mkuki umegeukia kifuani kwao, unatishia kuwachoma. Macdonald sasa inaoperate kwa jina lingine wateja ni walewale. Swift imegeuka mtego kwao. Sasa wanalipa kwa rubo 😁😁 bidhaa iliyopaswa kulipiwa kwa dola. Wale viongozi viburi aina ya zele wamekatiwa huduma sasa ni kilio na kusaga meno huko poland nk. Maisha yao yamekuwa magumu kuliko ya warussi waliokuwa wamelengwa na vikwazo.
Credit ziende kwa Rutin rais bora tangu karne ya 18.
Dimietry Mediedev mkuu wa usalama wa taifa. Mkuu wa majeshi Shaigu. GUR, nk
Pongezi kwa pro russia wote hapa jukwaani kwa mchanfo mkubwa mnaoonyesha kupangua hija dhaifu za wale western pro.
Ninyi wote mnaonekana ni watu wa kuogofya[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Umeanza na mifano ya dojo na kumaliza mbinu za kimedani.
Aisee wewe lazima utakua special force TU.
[emoji123][emoji16][emoji122][emoji122][emoji122]
Napenda habari za kistrategia na frontline km hiviKuzingirwa kwa Mariupol:miezi miwili na Nusu
Kuzingirwa kwa Severodonetsk: karibu mwezi
Ila kuzingirwa kwa Lyschansk: siku kumi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Halafu wanakimbilia seversk kwa waliojaribu kuchomoka kabla hawajazingira,
wakati ni kilomita 17 toka Lyschansk,
Lakini pia majeshi ya Urusi yanaweza kuwashambulia kutokea Lyman.
Hapa usalama wao ni kurudi nyuma mpaka Mji wa Dnipro ili majeshi ya Ukraine yaweze kupata supply Toka kiev au kharkiv.
Mtihani upo kwa majeshi ya Urusi, baadae wakiiteka Seversk,
Itabidi wachague kuipiga kati ya Bakhmut au Sloviansk au yote kwa pamoja ila mji wa Kramatorsk utabaki salama kwa muda mpaka hapo hiyo miji miwili itakapo anguka.
1 Uwe na nchi kubwa watu wengiAndiko hili ni Tamu sana mdau.nalitunza.[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Kwako.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Kwa putin.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Kwa pro Russia
Jeshi imara1 Uwe na nchi kubwa watu wengi
2. Resources mingo
3. Tech
4. Kesho
5. Uongozi
HUYUMBI
Snake Island warusi wametoka for good gesture kwenye sakata la usafirishaji wa ngano zingine story tu.Bila shaka story za snake island umezipata tupe dodoso kidogo,
Mkuu jana saa 2 usiku walipost hii, while I knew the city was completely surrounded. Wanatupa faraja hewa mmaeDonbass yote imechukuluwa,lysichak has fallen too
Nahatua pekee nikuelekea MOSCOW kupiga GOTIKwa hali iliyopo sasa NATO wanajuta kwanini walimpa kiburi yule kijana bila kujua yajayo kama yatawashtua waliishi kwa plopaganda sana bila kunusa hatari ya mtu aliyekulia ubaridini na mwenye kifua kilichohifadhi matukio yaliyoikumba nchi yake kipindi cha Vita baridi.
NATO bado waliishi kwenye zama za mikwala na vitisho vya vikwazo vya kiuchumi kama turufu ngao yao dhidi ya taifa lolote lenye kuonesha au kugusa maslahi yao ndani ya umoja wao.
Leo hii Putin ameihakikishia nato na Dunia kwa ujumla kuwa kila lenye mwanzo huwa halikosi mwisho na muda ni Mwalimu mzuri Mimi binafsi naliona anguko la USA pamoja na nato yake.kwa sasa ndani ya nchi wanachama kuna vuguvugu kubwa juu ya kubadirika ghafla kwa mfumo mzima wa maisha kitu ambacho kimetabiliwa naweng kuwa ni moja ya dalili mbaya ya anguko la uchumi kuwahi kutokea kwa miaka ya hivi karibuni kama serikali zao hasitachukua tahadhari mapema.
Acha ushamba wewe mrusi wa chato, JF si ya babu yako.Mkuu ukirudia tena tunakupiga nyingine cheza kwa step
Mwindaji kaanza kuwindwa.....inatisha etiUnajua haya unayoyaandika hapa unaandika kama maneno TU ya kawaida na wala hujali.
Lakini Mimi nakuambia Kuna watu wanaumia na kuugulia sana ndani ya mioyo Yao.
Wao Huwa wanaamini kuwa,Marekani haiwezekani kwa chochote.
Wanaamini Marekani ni kila kitu.
Kumbe Kuna vitu Marekani inaburuzwa kama mkia wa kenge.
Leo wanashuhudia kwa macho,wanaugulia ndani kwa ndani.
Hawa ndio walikua wanaamini kua Urusi ni taifa masikini na dhaifu sana,Leo wanashuhudia hao waliokua wanadhaniwa ni matajiri wenye nguvu za uchumi na kijeshi wanadhalilishwa na nchi moja TU Urusi,ambayo waliamini ni maskini.
Wewe uliwahi kuwaza siku moja nchi za ulaya zitaokota Kuni?
Kikwetu tuanaita kusenya Kuni.
Uliwaza watakua na kitu kama mgao wa umeme?
Bideni aliwaambia watu wake waendeshe baiskeli kubana matumizi ya mafuta.
Leo ulaya Kuna wakimbizi,hofu ya njaa,hofu ya baridi,hofu ya kuvamiwa au kupigwa,hofu ya mfumuko wa Bei,hofu ya kupunguzwa kazini.
Hata Ile Hali ya kuonekana TU kuwa Kuna silaha Urusi anazo Marekani sio TU kua Hana,maana wanaweza kusema Hana shida nazo,Bali kuona Marekani anatamani kuwa nazo lkn hawezi kutengeneza,
Kibaya zaidi kajaribu kutengeneza lakini kashindwa.
Hii inawauma sana.
Walisema Urusi itaishiwa Hela,haijaishiwa,
Itaishiwa silaha,haijaishiwa.
Nchi za NATO zimechangishana silaha wewe,lkn silaha hazijaonesha msaada,
Sasa wananchi wao wameanza kuandamana kuikataa NATO na kukataa Ukraine asipewe silaha.
Yote haya yamesababishwa na Urusi,nchi iliyoaminika kua ni dhaifu na masikini.
Leo Marekani wahuni killnet wamevamia kimtandao mifumo Yao ya Kodi,bado hawajaifufua.
Ukweli Kuna watu wanaumia sana kwa haya yanayomfika Marekani.
Na walivo na akili mbovu wameanza kumkolofisha na mchina...nato economic suicideUS kutoa sanctions alikua anaiua Russia maskini kumbe Russia walishasoma mchezo muda sana. Kinachotokea hesabu zote US zimefeli mbele ya Russia matokeo yake ameanza kuaibika hii operation inamvua sana nguo US na anavozidi kukaza ndo anazidi kutia AIBU, ushawishi wake uanazidi kuporomoka kwa kasi.
Biden ameshindwa tambua anadili na taifa la aina gani, before operation niliwaambia watu wengi wetu hatuijui Urusi zaidi ya kuisikia tokea tunazaliwa kupitia BBC na DW na ambao huwa hawawaongelei vzr Warusi, lkn warusi ni watu wanaijua historia yao na huwa mambo yao hayaamuliwi kwa ushawishi wa nguvu za nje, wao wanajua wanadili vp.
Nikawambia kipindi kile Russia kasogeza jeshi mpakani na Ukraine watu walisema Russia hana uwezo wa kuingia Ukraine atakutanaa na kichapo wengine wakasema Russia hawezi kukubali kupoteza project ya Nord stream 2. Niliwaambi Russia anaangalia na anajali usalama wa Taifa lake huo mradi kwake sio kitu watu walinishambulia sana, ona sasa Russia aliingia Ukraine zimebaki pambio tu.
Russia alijifunza sana kipindi cha crimea 2014 alijifunza sana akajipanga sasa waliyotegemea west imekua viceversa maisha ya wananchi wao yemekua magumu ila kwakua wameshikwa ndevu na US wanaogopa kutoa maamuzi kwaajili ya wananchi wao, mnasemaga africa hatuna akili ila hawa West wameonyesha ni mazombi.
West ni ngumu kushinda mbele ya Russia kwasababu Russia anawajua west vizuri Russia mpaka sasa anashinda vita ya uwanjani, kwenye uchumi mpaka propaganda zao amefanikiwa kuzizima. Taifa ambalo linabattle na nchi zaidi ya 30 kwenye vita, tech na bado anawakalisha kwangu Russia nampa heshima aseeee. Hyu ndo superpower kuzikalisha chini nchi hzo ambazo tunaambiwa ni tajiri na zina tech ya hali ya juu lakini zimeishia kuilalamikia Russia-Russia-Russia kwenye speech zao hapo nadhani mmeshajua SUPERPOWER ni nani.
Russia anawagonga kotekote wameishia vikao kila siku, sikuhzi hata wimbo wao wa sanctions hawaimbi tena. Kupitia hii operation west wakiongozwa na superpower wao wa mchongo US wametia aibu, dunia inaangalia inacheka kwa pembeni zile fujo zote walizokua wanafanya libya, serbia, iraq, yugoslavia wameshindwa mbele ya Russia[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
US hana uwezo wala ubavu wa kupigana na Russia na hilo lipo wazi hata awe na NATO wote hawawezi mziki wa Mrussi. Najua Pro US/NATO mnaumia sana ila ndo ukweli huo jamani msilie hao ndugu zenu ni maneno mengi ila Action ni zero.
GOD BLESS RUSSIA, GOD BLESS PUTIN
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
View attachment 2279354
Vipi kuhusu tanbiki 57?Mkuu nilikuomba kusoma kwa umakinifu. Jinsi unavyosema, jedwali katika makala ya wikipedia lipo wazi. Makala hii ni mfano mzuri maana inaonyesha vyanzo vyake (si vile kote wikipedia, mara nyingi hapa JF haiko kabisa).
Ukiangalia tanbiki na. 58, unapelekwa kwenye chanzo kwenye tovuti ya Oryx. Hapo utasoma "Aircraft14 Su-25s [April 2022] (Officially delivered to NATO countries for political reasons)". Natumaini kwamba utatambua ishara ya bendera.
Kusudi linaeleweka mkuu.Ni kuzitoa madarakani serikali dhalimu za nchi za Ulaya na Marekani.Nani afanye hiyo kazi,wanao-amini wanakandamizwa,kuonewa na kuuliwa kwa njia mbali mbali.Nani aorganize,watu wapo, ila tatizo ni wananchi wenyewe kutambua kwamba wana hitaji ukombozi.Watu wengi hawajui kwamba ni watumwa,wanauliwa na wanahitaji kutolewa kwenye makucha ya watesi wao na wauaji.Shida ni kutokujitambua.People are simply Zombies.Mkuu, kwa bahati mbaya hueleweki. Nani aende barabarani kwa kusudi gani?
Nilieleza hapo juu ni dhahiri viongozi wa EU wanafuata matakwa ya idadi kubwa ya wananchi wao. Katika mfumo wao wa kisiasa wanategemea kura ya wananchi wao si rahisi kwenda kinyume kabisa.
Inaonekana mashambulio ya Urusi dhidi ya Ukraine yamesababisha hofu na hasira kati ya mataifa ya Ulaya na kuwahamasisha washikamane zaidi, pamoja na kusaidia Ukraine.
Hapo naona viongozi wanafuata, ambayo inaeleza mabadiliko ya ghafla katika mwelekeo wa viongozi wa nchi kama Uswidi, Finland na Ujerumani.
Hapana si vile. Kwanza ujifunze kuandika majina ya Kirusi na Kiukraine. Mji unaitwa Lysichansk
pili haikuanguka (wala kutekeleza wala kuruka wala kulala).
Lysichansk bado inatetewa na jeshi la Ukraine. Ingawa kwa matatizo, hatujui watafaulu kutetea kwa muda gani.
Usichafushe jukwaa hii na propaganda ya Kadyrov.
😂😂😂Si nimekutafsria hapo juu mkuuMkuu kwani we hiyo Lugha unaisikia na kuelewa.!?
Maana mi sijaaambulia hata neno moja au umekuta vineno Tik tok na wewe ukapanda navyo.
Hii nilidhani ni kwa nchi nyingi za Ulimwengu wa Tatu kumbe Hata Ulimwengu wa kwanza na wapili wapo! Ajabu sana!kutokujitambua.People are simply Zombies.
Zipo mkuu lete address yako utumiweHabari njema ila wakuu link za telegram kama zipo nazihitajia Galip Vrl na wengne wote wenye link zakueleweka manning
Na pro haki amani uhuru umoja kujipenda na kujitegemea wooote link mhim
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh[emoji3][emoji3][emoji23]BBC wamesemaje? Kwahiyo Urusi bado wapo pale?