PD_Magumba
JF-Expert Member
- Apr 2, 2021
- 721
- 2,228
Cheats!! If true, why Ukraine don't drive out Russia from even 1% potential areas under total control of Russian army?View attachment 2279686
[emoji845]Share with all your friends in Russia[emoji845]
The total estimated losses of the Russian army for today.
#StopPutin #StopRussia
======
Yet we keep loosing cities everyday, Wakuu nataka kuleft hii source, wanapiga sana Propaganda.
Kusudi linaeleweka mkuu.Ni kuzitoa madarakani serikali dhalimu za nchi za Ulaya na Marekani.Nani afanye hiyo kazi,wanao-amini wanakandamizwa,kuonewa na kuuliwa kwa njia mbali mbali.Nani aorganize,watu wapo, ila tatizo ni wananchi wenyewe kutambua kwamba wana hitaji ukombozi.Watu wengi hawajui kwamba ni watumwa,wanauliwa na wanahitaji kutolewa kwenye makucha ya watesi wao na wauaji.Shida ni kutokujitambua.People are simply Zombies.
Hakuna sehemu ya maoni mkuu, jana usiku walitoa taarifa Lischansk ipo under Ukrainian Control kumbe imechukuliwa. Wanatwambia tusambaze hiyo Poster field hali ngumu inafahamika. Tunamdanganya nani kwa faida zipiKaa Kaa kwanza! Na kama hiyo source inatoa ruhusa ya kutoa maoni, wakosoe kuwa mnazidisha uongo!!!
Aiseeee! Lukashenko mbona amekuja moto sana!!!"Less than a month ago, I ordered our armed forces to put in our sights the decision centers in Western capitals," Lukashenko
Kiongozi jamaa anataka akupe sup na kisha akufanye u-carry course!! 30% [emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu naona hupendi kujadili yale ambayo mimi napenda kuangalia. Kwa hiyo ninashukuru kwa 30% zako . Tafadhali tumalize gumzo.
Ndio maana Macroni ameshinda Urais na mpinzani aliyekuwa na sera za kinyume na NATO akashindwa.
Free Media??? Haupo serious!!!free media Ulaya na US kwa maisha yako yote.
Asante sanaAliiba Kura ,hakushinda ndio maana wananchi waliandamana akawanyamzisha kwa udikteta,kuwapiga na kuwafunga wengine.
Ukraine ilikuwa inaitishia vipi Urusi?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kiongozi jamaa anataka akupe sup na kisha akufanye u-carry course!! 30% [emoji16][emoji16][emoji16]
Hakuna ban wala nini,tulikijamu hicho kifaa chako ili ujue kwamba hata warusi wa huku Nalimbudi tupo juu kiteknolojia.Warusi weusi, nimerudi. Mlinishtaki nikapigwa ban.
lengo hapo ni moja ni Baralus kugawana Western Ukuraini na Mrusi, hapo kinacho tafutwa ni "pretext cause" au kisingizio cha kuingia kwenye vita awe upande wa Urusi.
Sidhani kama Ukuraini itabaki na eneo la kujifanya iwe tishio tena kwa Urusi itabakiza tu jina, na huenda ikawa landlocked bila bahari, nina wakika baada ya Donibas Region lazima Urusi aipige odesa ndo hapa atamalizia oparation yake Ukuraini bye bye Nato imekuponza vibaya.
Mkuu mmetisha hhhHakuna ban wala nini,tulikijamu hicho kifaa chako ili ujue kwamba hata warusi wa huku Nalimbudi tupo juu kiteknolojia.
Karibu sana mkuu
Bunge Je!?
Kura za Urais mara nyingi huko Ulaya na Marekani uamuliwa na "elites", hivyo na Ufaransa haijapona katika hilo. Kura za wawakilishi ndizo hutoa mwelekeo halisi wa siasa na matamanio ya wananchi wa nchi hizo! BBC wanasema hivi juu ya uchaguzi wa Ufaransa.
- - -
French elections: Macron loses majority as French vote fragments
19 June 2022
- By Paul Kirby
- In Paris
Updated 20 June 2022
T
IMAGE SOURCE,REUTERS
Image caption,
President Macron has fallen well short of winning the 289 he needed to keep control of the Assembly
Less than two months after he was re-elected president, Emmanuel Macron has lost control of the French National Assembly following a strong performance by a left alliance and the far right.
He had called on voters to deliver a solid majority.
But his centrist coalition lost dozens of seats in an election that has left French politics fragmented.
The prime minister he had only recently appointed, Elisabeth Borne, said the situation was unprecedented.
====
Tuendelee na mjadala huu wa operation denazification and demilitarization huko Ukraine.
Aliiba Kura ,hakushinda ndio maana wananchi waliandamana akawanyamzisha kwa udikteta,kuwapiga na kuwafunga wengine.
"Elites" ni watu gani? Nitajie mifano ya watu wanne ambao ni Elites huko Ufaransa na US..
Hakika[emoji4][emoji106]Dunia ya sasa,malighafi na chakula ni muhimu kuliko dollar. Hii ya nafaka kwa ruble,itaihusu dunia nzima. Wale waliotarajia ruble kuanguaka,watasubiri Sana.
Na sisi tulipaswa kufanya hivyo kwa tanzanite.Woote sasa tutaicheza hii ngoma....... Mpaka sie watu wa bara letu la giza tuanze kuzisaka hizo currency za huyo mwamba, ila ni bora tumepewa option ya kununua ili tuje kuziba huu upungufu wa ngano