Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Naam Naam!! Hii ndo democracy mnayohubiri na human rights lakini behind ni evils wakubwa.
 
Hakika

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hii dunia watu wanatafuta weakness yako tu wapate sababu[emoji23]. Na western Ukraine ikienda bhs Ukraine itapigwa na kitu kizito sana
 
Hakuna sehemu ya maoni mkuu, jana usiku walitoa taarifa Lischansk ipo under Ukrainian Control kumbe imechukuliwa. Wanatwambia tusambaze hiyo Poster field hali ngumu inafahamika. Tunamdanganya nani kwa faida zipi
Nnachokupendea hunaga unafiki kwenye Mambo yenye uhalisia[emoji4][emoji106]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inforwar ipi iyo imefungiwa ? Kwa hiyo inforwar haipatikani sasa hivi hata huko Mchambawima kwako?
Chombo gani cha Marekani kina mamlaka ya kufungia media?

Ulitaka RT(TBC ya Russia) iendelee kuwepo West na kueneza propoganda za Putin huku akiendelea kuchinja watu huko Ukraine ?

Ni wapi duniani ulipoona watu wanaweza kuvamia jengo la bunge kama walivyofanya US capitol wasife au kupotea kwa maelfu bila hata kuona kuta za mahakama?

Yani wewe unafikiri kundi la watu kuvamia kuharibu bunge la nchi yao na kutaka kumuua Makamu wao wa Rais nayo ni demokrasia??!
Hauko serious, hauna akili au umejitoa akili makusudi.
 
Kwani Marekani iliweka Makombora yake lini Ukraine??
Kwani Urusi ilikuwa inaitishia vp Marekani ilipoweka makombora kule Cuba mpaka marekani akawa anailalamikia Urusi iyaondoe wakati hayapo nchini mwake?
 
BRICS yote wanatumia dollar ya Marekani kwenye biashara za kimataifa.

Acha kuota ndoto nyevu mchana kijana.
Tanzanite yenyewe ni bidhaa ya luxury tu ambayo dakika yoyote mtu anaweza kuachana nayo halafu ndio mjidai kuleta usumbufu na maringo nayo, mtakuwa hamna akili.
Na sisi tulipaswa kufanya hivyo kwa tanzanite.

Inasikitisha Sana eti ndani ya Tanzania,tanzanite inauzwa kwa dollar.

Iko wapi thamanu ya pesa yetu[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…