No na wala sitaki league kwenye hili.
"Understanding"
Kwenye kila kitu mtu huelewa kutokana na prior knowledge yake kichwani juu ya kile alichokisikia.
Mathanzua hizi mambo nazipata vyedi ya unavyowaza... Hao WEF, Khazars, Zionists, Globalists, Cabalists sijui Rothschilds ama Rockefellers zote nazielewa kiundani zaidi ya vile unavyofikria.
Kuna siku hapa niliwahi sema.
Kika knowledges ina some flaws, kila elim au maarifa tunayoyapata yanatoka kwa binadam kam sisi. Hakuna aliye timilifu, na katika maarifa au elim ipo hivyo.
Hakuna elim au maarifa yaliyo hundred percent correct. Na pale inapotokea mtu anashindwa kuzing'amua hizo spot ambazo si sahihi ndipo kunazuka watu wa aina flani.
Anajua lakini mbishi kwenye kile ambacho mwingine anakiona si sahihi.
Mtu anapofikishiwa jambo, Ubongo wake huchakata katika mazingira tofauti.
πΈ Reference to Prior knowledge juu ya kile alichokisikia
πΈHisia zake juu ya jambo lile alilolisikia
πΈMazingira au external influence juu ya kile alichokisikia.
So ukielewa hayo matatu yanavyoathiri uelewa utajua namna gani uchuje kila kipya unachojifunza.
To you wote walio opposite na kile fikra zako ziliko unawaona kama Psychos.
But if you are well knowledgeble in right ways basi jibidiishe katika "Curiosity" ya kika taarifa rather than flan kasema au kikundi flani kimesema.
Mdau mie Conspiracy theorist ile ile ila nina chujio ya hizo taarifa za mlengwa huo. Not all conspiracies ni ukweli na sio kila conspiracies ni Uongo.
Unachohitaji ni kutumia utashi wako kuchukua lililo sahihi.
She is too emotional.No na wala sitaki league kwenye hili.

Mkuu si utumie akili yako vizuri yani Russia awe miaka 100 mbele..!?Na hata kama ikitokea hakuna cha kuhofia Maana Russia kashaprove kila kitu yuko mbele century nzima.
Intelligence A+ nikichagiza na technology makini ya Russia kwenye dunia ya leo inayotegemea technology kuendesha mambo hasa west.
Jeshi A+ ( tayari mataifa mengine yanajiandaa kwa vita sio west tu)
Vifaa vya kijeshi A+ S-300 mpaka S-550 hazina mpinzani uwanjani.
Viongozi wenye maono wakiongozwa na Putin ni A+ hakuna cha kuhofia kama ni ma alien wako nyuma yao wameshafeli mbele ya binadamu.
Huko west kwa wenye jambo lao la NWO wameshafeli tawala zinaanguka na maandamano tayari yanaendelea.
Hakuna cha kuhofia kwenye hiyo "End game" ushetani umeshafeli.
She is too emotional.
Atakua hachanganyi na udini kama chanzo cha factsMbona Mathanzua hukomai naye hivi??!
Per her profile picture, she is she.πππIs he she?
Abadilike tu.Huyu MK254 ni kivuruge sana sijui kwa nini mods hawamp ban juu ya tabia yake ya kuleta mambo ya udini
Mkuu si utumie akili yako vizuri yani Russia awe miaka 100 mbele..!?
Ongea point mkuu uwache mahaba.
Kwa yule ambaye hana utu na hawahurumii raia wakawaida wa Ukraine wanaolazimishwa kuwa na itikadi za kinazi za kutokomeza kabila ama kizazi cha jamii fulani kusema Russia ilishindwa kuiteka Kyev ni jambo la kawaida kwake. Kwa sababu kuua raia na kufurahia kutapakaa damu za wa mama na watoto ndiyo furaha yake! Maskini MK254!!Sasa hizo exhibition za nini zimeshindwa kuteka Kyev
Ngoja nikuache na mahaba yako endelea kuamini hivyo nisijichoshe kukuelewesha we elewa hivyo hivyo..Yes 100 na zaidi nionyeshe izo point kama tuko nao sambamba sisi pamoja na west.
Kwetu n 2022(US+EU) ila Russia n 2122.
Jibu kwa fact sio mehemko.
US inaiomba kichini chini Russia ili Mamluki wake waliokamatwa huko Ukraini kwenye uwanja wa vita wachukuliwe kama POW(mateka wa vita) lengo walindwe na Geneva-convension declaration!Hiyo passport ya Osama ilitolewa na nchi gani?
Atakua hachanganyi na udini kama chanzo cha facts
Ngoja nikuache na mahaba yako endelea kuamini hivyo nisijichoshe kukuelewesha we elewa hivyo hivyo..
Nadhani kwa sabab Unakuwa karibu na silaha ni rahisi kuifikia kukiwa na dharura..kumbuka alikuwa KGBJamn pro Russia wenzangu naombeni kujua kwann putin huwa anatembea vile mkono mmoja umestack hautingishiki? Coz ananishangaza sana
Wewe mpinga kwa facts, hili ni jukwaa huru. Kuweni na ngozi ngumu kusoma na kusikia hata yale ambayo hayawafurahishi. Mijadala huru isiyowekewa vizingiti ni muhimu kukuza fikra za binadamu ili mradi haileti madhara kwa watu au kusababisha fujo na uvunjifunwa amani kwenye jamii.
Mtu akileta mambo ya dini, uongo, au conspiracy mnachotakiwa kufanya ni kuonyesha contradictions zake au kuweka facts mezani kama mnazo.
MK254 siyo kweli. Mfano niambie humu JF wewe unatambuaje dini ya mtu? Ili pengine twende sawa, nijibuSio nang'ang'ania ila ni kitu nimeshuhudia kote, mwanzo sikua nalijua hili, hadi pale niligundua kila ninayejadili naye huu ugomvi iwe ofisini, mtaani au hata huku social media, wale wa dini ya mwarabu wote wana mtazamo mmoja tu, wameegemea upande mmoja hakuna hata mmoja anayetumia akili zake binafsi, sijakutana hata mmoja hivi mwenye mtazamo tofauti.
Kwa mfano kwenye mpira, yaani Liverpool vs Chelsea, utakuta mashabiki waliotokea kwenye hiyo dini ila wako pande zote, lakini kwenye huu mgogoro sijui ndio mnahubiriwa huko kwamba Putin anakomoa Marekani adui wenu.
Wafuasi wa madhehebu mengine wako balanced, unawakuta pande zote mbili na tunabishana kwa hoja, ila nyie dini moja wote mko upande mmoja mumeshikilia bango la mashoga Ukraine wapigwe mabomu.
Natamani sana nikutane na walau mfuasi wa hiyo dini hata mmoja tu hivi, yaani mmoja tu mwenye mtazamo tofauti.
Nimeona mwaka huu kwamba wanafuta 21 MIG29 walizoagiza mwaka 2020 (India cancelled orders for MiG-29 jets from Russia over last few weeks, claims US - hii ni ndege yenye umri wa miaka 40).Ujasikia mwezi huu oda ya ndege za urusi kwa india yenye thamani ya $3bil
Urusi ipi miezi mitatu bado inashindwa na Ukraine nchi hata jeshi haina inatumia raia wakakamavu.I used to see Rusia as super power lakina sasa na siku zinavyokwenda ptuuu bure kabisa .Sasa wakienda kwa nchi nyingine ndio wamekwishaHahahaha. Hakuna kitu wanaogopa western kama kupambana na Russia. Lithuania akipigwa na Urusi hakuna hata mmoja atakayetia pua. Take it from me. Utasikia maneno mengi hujawahi kuyasikia kutoka kwenye hiyo article yao.